Tulipeana onyo kuhusu kutoingiza maisha binafsi ya mtu na kampeni za uchaguzi wa mwaka huu ktk ngazi yoyote ile,tulitoa rai pia hata kwa vyombo vya habari vyenye mtazamo wa kuandika maisha binafsi...
Siku ya Ijumaa CUF walifanya mkutano wao wa uzinduzi wa kampeni pale Kidongo Chekundu maeneo ya Gerezani jijini Dar. Jee hii ni kutokana na kupungukiwa wafuasi na kuona kuwa kule Jangwani...
Tuesday, 31 August 2010
Geofrey Nyang'oro
KADA wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mabere Marando ametamba kuitikisa CCM na serikali yake kwa hatua yake ya kuwahusisha viongozi wa...
Marando alipowataja Kikwete, Mkapa na Lowasa na Rostam kuwa ndo wahusija wakuu ktk wizi wa EPA, Makamba, Tido Mhando na watangazaji wa TBC wakatwambia Marando na Chadema wanatukana. Zitto...
Katika taarifa ya habari ya jana usiku, Redio One walikuwa na habari kuwa waziri mkuu Mizengo Pinda aliungana na wananchi wa mkoa wa Rukwa kulalamika kwa Rais Kikwete juu ya ukosefu wa soko la...
Marando amemtuhumu Kikwete akishirikiana na Rostam Aziz na Edward Lowassa ndio waliokwenda kwa Mkapa kuomba ile pesa ya EPA.
Si Kikwete, wala marafiki zake RA na EL waliojitokeza kukanusha tuhuma...
Nimekuwa nafuatilia kwa makini taarifa za habari za Tv mbalimbali tangu kampeni zimeanza na nimeona yafuatayo.
MLIMANI TV, Hii ndio Tv pekee ambayo imeonekana kuwa fair kwa vyama vyote na...
Katika pitapita zangu kwenye blogs..nilikutana na swali au maoni yaloandikwa na mmoja wa wadau na yanasomeka hivi:
"Ninagusia suala moja tu, 'agizo' la Raisi kwa Wakala. Nawaza na kujiuliza...
Jamani nimeamini kuwa naweza siasa, hasa siasa za Tanzania. Tatizo langu ni moja tu! MTU WA KUNIANDIKIA HOTUBA ZANGU! Kama humu ndani ku yeyote anayeweza kuandika hotuba zenye mvuto kama za JK...
naam leteni habari, kama kweli nyie chama makini mbona jamaaa wameamua kuachia mchuma?
chadema kelele na mbio zao ziko humu tu lkn kule hamna lolote zaidi ya hayo aliosema kada wenu
Kikwete...
Mimi: Kitendawili?
Jamii Forum: Tega.
Nitajie sekta moja, mfumo mmoja na ofisi moja ya umma inayofanya kazi yake kwa umakini. Iwe ni ile ambayo mtu yeyote, wa hali yoyote na kutoka popote...
CCM imeshindwa kukomboa makontena mengi yenye khanga, tshirt, vitambaa, kofia na mabango. Baada ya TRA kukataa katakata kuyatoa hadi yalipiwe kodi. Kila mkoa ulipangiwa kupewa makontena mawili ya...
Chadema kimesema kitaishangaza dunia kutokana na matokeo ya kura za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 31, mwaka huu kwa kushinda kwa kishindo katika nafasi zote.
Aidha, chama hicho kimesema kinatarajia...
Wote mnaelewa kwamba kwa sasa JK HAFANYI KAMPENI, bali anafanya ziara, akielezea nini "serikali yake" imefanya kwa muda wa miaka tano.
Baada ya kuondoka, kilichojiri ni .... Polisi watishia...
Picha na maelezo kwa Hisani ya blog za Michuzi na Michuzi Jr:
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dr. Willbrod Slaa akizungumza leo jioni wakati wa uzinduzi wa...
Kulingana na precursors zilizoanza, Uchaguzi Mkuu 2010 Tanzania utakuwa wa vituko, kama sio ugomvi wa kumwaga damu!
I am not an alarmist; just a peacemaker/keeper!
Mimi Diana na watanzania wengi tunataka kumpa kura Dr. Slaa oct.2010 lakini najiuliza nikimpa atatawala vipi huku wabunge wengi watatoka CCM? sitaki kuichezea kura yangu na watu wengi wanajiuliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.