Opinions as to why Presidents Jakaya Kikwete shouldnt be accused of breaking the Election Expenses Act by announcing the status of the decision of the Government to increase the salaries of its...
Send to a friend Monday, 30 August 2010 09:08
Daniel Mjema, Moshi
MGOMBEA ubunge Jimbo la Moshi Mjini kwa tiketi ya Chadema, Philemon Ndesamburo jana alizindua kampeni zake huku chama hicho...
Hili wimbi la wakongwe wa CCM kuhamia upinzani kipindi hiki..then mnawachekea..kitalia kitu mtashangaa!!!!!!Mnategemea nini hapo?..CCM are just very smart, wanacheza na Human Psychology..Hivi...
SIKU moja baada ya Chadema kutangaza nia ya kumwekea pingamizi mgombea urais wa CCM, Jakaya Kikwete, chama hicho tawala kimesema kuwa kinajipanga kumwokoa mgombea wake dhidi ya hoja za kutaka...
Mjini Mbozi tukio la mgombea ubunge kuzomewa lilimkumba Dk Lucas Siyame baada ya kuitwa jukwaani na Kikwete ili awasalimie wananchi baada ya kumaliza hotuba yake fupi kutokana na kuwa na mkutano...
Ndugu wananchi wenzangu wana JF na wakereketwa wote wa MABADILIKO ni vigumu kuamini lakini inatubidi tuamini kwani tumeona baada ya kusikia mwanasheria na mwanzilishi wa vyama vingi akisema na...
Mgombea Ubunge kwa jimbo la Kigoma Magharibi Mh Zitto Kabwe akiwasalimia Wananchi wakati wa kuzindua rasmi kampeni za chama chao katika kijijiji cha Mkongoro mjini Kigoma Kaskazini.
Mgombea...
Jana vyombo vya habari (hasa magazeti) vimepewa 'in CASH' shilingi za kitanzania Million 8 kila moja kuweza kuyavalisha magazeti yao covers kama inavyoonekana kwenye magazeti niliyoambatanisha juu...
Jamni mimi niko Arusha na tunapmbana kuhakikisha kuwa hawa Majambazi wanaondoka madarakani mwezi wa kumi mwishoni, upepo huku sio mbaya, kwa sababu kwa sasa ukiuliza watu kumi unaokutana nao watu...
Nilijaribu kuangalia hii picha kwa makini sikuweza kupata jibu mapema. Nilifikiri jamaa yuko msikitini lakini hapa anasaini fomu za kugomea Urais Zenji mbele ya Jaji mkuu wa Zanzibar (Mh. Hamid...
Kama ilivyo CHADEMA chama kisikivu tunaomba Timu ya Kampeni ya CHADEMA itupatie anuani za email za kuweza kuwasilisha maoni yetu kama wadau kuhusu mambo ushauri wetu kwa kuwa wakati wa kampeni...
Naona wanaCUF huku JF watakuwa wapo kwenye viwanja vya uzinduzi .Uzinduzi wao unarushwa moja kwa moja na TBC..Kuna vijana wametoa ghani tamu kweli za kuibeza chama twawala
Kwa sasa anazungumza...
Nimejaribu kufatilia blogs, magazeti, tv nyingi, mitundiko yao yame-base sana kwenye umati wa watu., ili kujaribu kuwahadaa wananchi kuwa,chama husika kinapendwa.
TBC wao hawaonyeshi kwa...
Wana Jamvi
Ugonjwa unaomsumbua Rais Kikwete uitwao "AHADIsm" umeendelea kusambaa kwa kasi na hali yake sasa ni mbaya. Wasaidizi wake wanaofuatana naye katika safari za Kampeini wameniambia...
Nimekuwa nikifatilia mambo ya siasa, hasa katika kipindi hiki cha Uchaguzi. Nimekuwa najiuliza sana nini dhamira ya CCM. Kama CCM ina dhamira ya kweli ya kuleta maendeleo kwa wananchi wake. Kwa...
Wale wanaoweza watuwekee ilani za vyama mbalimbali ili tulio katika forum hii tuweze kufanya uchambuzi makini, tuache ushabiki wa majukwaani.
Tukiwa na Ilani ndio tutajua mgombea gani anasema...
Kumekuwa na habari kuwa mgombea wa CHADEMA alikumbushwa kuongelea masuala ya Uchumi. Wapo wanaotumia hii kama silaha ya mashambulizi.
Lakini kwa miaka mitano mambo mbalimbali ya kitaifa yameenda...
Mgombea urais kwa tiketi ya NCCR Mageuzi Mh. Hashim Rungwe akionyesha ilani ya uchaguzi ya chama hicho. NCCR itaanza kampeni zake baada ya mfungo wa ramadhani.
Kama umaangalia kipindi kilichooneshwa na TBC1 mdahalo wa wagombea wote wa ubungo
Mnyika, Julius na wa CCM na wengine
Mama wa CCM alipoamka kuhitimisha alianza kuzomewa wa wasikilizaji waliokuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.