Nilitegemea blog ya Friends of Slaa FOS iwe source of informations, News and pictures kwenye mikutano ya Slaa lakini sioni updates zozote zikiwekwa tofauti na blog ya Michuzi inayoweka habari za...
Kwa aliyeangalia Taarifa ya habari ya jana ya TBC! ya saa mbili na saa nne usiku, basi moja kwa moja atakubaliana na mimi kuwa TIDO MHANDO, ana kesi ya kujibu, Tido ana kesi kesi ya kujibhu ambayo...
Patient costs for paediatric hospital admissions in Tanzania: a neglected burden?
Priyanka Saksena*, Hugh Reyburn1,2, Boniface Njau2, Semkini Chonya2, Hilda Mbakilwa2 and Anne Mills1
1London...
Ukitazama chimbuko lake si alitoka huko huko kwenye CCM au chama cha wana Mapinduzi sasa what makes him tick ili leo tumchague?
Isije ikawa yale yalee ya CCM kuwawekea CHADEMA trojan horse...
Baada ya aliyekuwa Mbunge wa CHADEMA Jimbo la Karatu Dr. W. Slaa kuchukua fomu za kugombea urais wanachama wa CCM Wilaya ya Karatu walifurahi sana wakijua jimbo hili litarudi mikononi mwao hasa...
Gazeti la majira toleo la leo ukurasa wa kwanza kuna picha ya Msajili wa Vyama vya Siasa Bwana John Tendwa akifundisha elimu ya uraia kwa wanafunzi wa darasa la Tano wa Shule ya Msingi ya Bunge...
Is democracy, political competition under threat in Tanzania?
Tuesday, 31 August 2010 15:56
Is democracy, political competition under threat in Tanzania?
BY BERNARD JAMES AND BERNARD...
Baada ya msajili wa vyama vya siasa kupokea malalamiko ya ya CHADEMA mgombea urais wa CCM Jakaya Kikwete, amekatisha kampeni zake mkoani Mbeya na kurejea Dar.
Kabla alipangiwa kuendelea na...
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilbroad Slaa bado anateswa ishu ya ndoa na sasa kila anapokwenda kujieleza, analazimika kutoa ufafanuzi kuhusu mke wake...
Haya wale waliokuwa wanataka T-Shirt za Mbayuwayu nimejaribu kudesign
hizi hapa kwa rangi mbalimbali, Leteni mchango wenu wa mawazo cha kuongeza
ama kupunguza au kama iko sawa.
Kama mtataka iwe...
Wakuu, nimekuwa nikifuatilia habari za mikutano na misafara ya mgombea urais kwa tiketi ya CUF, Mh Prof Lipumba,
sasa ambacho nimekiona kwa siku mbili hizi mfululizo zilizopita (jana na juzi) ni...
Nimeipata hii...unazunguka kwenye wanabidii net huko.....Kuna mwenye uhakika??
Mhe Zitto Kabwe ahusishwa na Kuhongwa kwa Mgombea wa CHADEMA Musoma Vijijini
Zitto tunaomba maelezo yako kuhusu...
Leo JK Kikwete alikuwa wilaya ya Kyela kumalizia kampeni zake mkoani Mbeya.
Jana Ridhiwani alitangulia ili kuweka mazingira sawa na alipewa sharti la kuhakikisha mkuu wa mkoa asihudhurie huo...
Wednesday Sept 01, 2010
A CCM member, Mr Ipyana Seme, displays CHADEMA membership cards surrendered by people who defected to the ruling party , during a campaign rally at Mbalizi in Mbeya...
Nimatumaini yangu wote wazima kwamba nyote mmesikia kwamba chama cha maendeleo na demokrasia CHADEMA kimemwekea pingamizi mombea wa urais kupitia chama cha mapinduzi CCM Mh;Rais wa Tanzania Jakaya...
Nilipofunga kompyuta yangu asubuhi leo ili nishughulikie mambo binafsi yanayoniletea kipato, nilikuwa nimechangia kwa ufupi topic kwamba "Watanzania si Mabwege" any more. Mhe. Kinana alikuwa...
Jamani naomba kuuliza, katika katiba yetu Tanzania ni viongozi wapi wanastahili kusindikizwa na vimurimuri (Motorcade) . Katika siku za hivi karibuni ninaona kama kuna magari mengi sana yakiwemo...
Nilikuwepo kwenye mkutano wa cuf bkb.maandamano kwenda uhuru yalikuwa na pikipiki 8 na magari 4.mkutano ulikuwa na watu kama 50 tu.kifupi ccm b wamefulia.ngoja aibu ya mwaka watakosa mbunge hata...
Asilimia 99.95 ya wakazi wa Zanzibar wanasubiri siku ya kuapishwa kwa Maalim Seif Sharif Hamad kuwa Raisi kiongozi wa Zanzibar mpya(New Zanzibar).Habari za ndani zinasema kuwa uhakika wa ushindi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.