Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu zoezi la kampeni na mbwembwe zote za wanasiasa.Mwaka huu inaonesha wapinzani kweli wamepiga hatua tofauti na huko nyuma.Swali langu kwa wana JF na wote...
Kama ni kuelezea sera mbona CCM wao 80% ya muda wa kampeni wanapiga miziki
Kama ni kuelezea sera mbona CCM wanatumia muda mwingi kukejeri wapinzani(tutawachana)
Kama ni kuelezea sera mbona CCM...
Gazeti la habari Leo limekuwa kama la Udaku kwa kuweka vichwa vya habari vinavyojaribu kumchafua Dr Slaa lakini nadhani nao wanataka kukataliwa na kuonekana Vipeperushi kama RAI, Mtanzania, na...
Mwenyekiti wa CCM Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na viongozi wa CCM wa Ubungo na Kinondoni katika ukumbi wa Ubungo plaza jijini Dar es Salaam jana.
Rais jakaya Kikwete akihutubia...
Tunafahamu kuwa mgombea wa CCM,Jakaya Kikwete,ni mahiri sana katika kutoa ahadi.Wakati wa kampeni zake za kuwania urais kwa mara ya kwanza mwaka 2005 alitoa rundo la ahadi ambazo hata angekuwa na...
Katika hali inayoonyesha kuanza kushika moto kwa Kampeni, CCM imeonekana kubadili mbinu zake ambapo sasa katika mikoa ya kanda ya ziwa Maji aina hii yameanza kuingia mitaani yakiuzwa.
Na...
Kitendo cha mtatiro kugombea ubungo kimeudhi wengi tukiwemo wanaharakati wenzie tuliokuwa naye pale chuo.kwani hukuwepo wakati mnyika anaibiwa ushindi na keenja? Sasa nawe umeweka ili utawanye...
Aonya wakibweteka wapinzani watashinda
Awataka wajibu kero za wananchi
Awaagiza Ilani wamwachie yeye
Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais...
Wachambuzi wa mambo ya kisiasa hapa Tanzania wanasubiri kuona kama Tendwa ataamua kujiwekea historia katika siasa za Tanzania kutokana na maamuzi atakayoyafanya kuhusu pingamizi alilowekewa...
Nimekuwa nikijiuliza sana, pamoja na ufisadi mkubwa uliofanywa na kikwete na CCM kwa ujumla ambao hakuna mtanzania yeyote anayeweza kupinga ,maana kila kitu kiko wazi na hata CCM wanakili kufanya...
Nilifurahi sana baada ya kumpigia jamaa yangu mwenye Number ya tigo...kwa kutumia Tigo na kusikia wimbo wa Kampeni wa CHADEMA "CALLER BACK TUNES"
Wenye baadhi maneno yafuatayo "Huzuni kwa...
Mgombea wa Chadema ambwaga Malima baada ya kukata rufaa NEC. Zingine zinakuja!
Source: Daily News | Chadema calls for head of Nyamagana returning officer
By KATARE MBASHIRU, 3rd September 2010...
Wiki iliyopita chombo kikuu cha dola kilitoa matangazo yasiyo ya kawaida katika vyombo vya habari kuwa inatarajia kuajiri madereva wasio na idadi wenye elimu kuanizia darasa la Saba. Na wanaotaka...
Kwa mpendwa Mama Maria (Mama wa Taifa ), Natumaini yubuheri wa afya hasa baada ya kukuona amemsindikiza mgombea uraisi kwa tiketi ya chama cha mapinduzi (CCM) chama alichokiasisi na kukiongoza...
Mwaka 2005 watu waliahidiwa maisha bora kwa kila Mtanzania. Wapo wengi walioamini hiyo ahadi lakini mimi sikuwa mmojawapo. Nilijua tu ni zile zile blah blah za kila siku.
Sasa basi kwa vile...
ILANI YA CHADEMA 2010-15
Ichi kibwagizo kama ni kweli JK hayuko serious Hivi karibuni Rais wetu, Jakaya Mrisho Kikwete, aliulizwa na waandishi wa habari wa
Jijini Paris, Ufaransa kwamba Nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.