Ni mara ngapi tumechagua wasaii kuwa viongozi wetu? Angalia hizo attachement uone kiongozi anatakiwa aweje na msanii utamtambua.
FANYA MAAMUZI SAHIHI WAKATI NDIO HUU.
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetupilia mbali pingamizi alilowekewa mgombea ubunge wa jimbo la Karagwe kupitia Chadema, Deusdedith Kahangwa.
Kwa mujibu wa barua ambayo gazeti hili limeona...
Wajameni, habari za leo tena. Kuna tetesi kuwa yule mgombea wa chadema aliyeenguliwa Karagwe NEC imemrudishia hadhi ya kugombea. Kama ni kweli tujiulize "wasimamizi wa uchaguzi majimboni ni wala...
SERIKALI inatarajia kuanza kutumia njia ya reli kwa ajili ya kusafirisha abiria kwa mkoa wa Dar es Salaam ili kuondokana na adha ya foleni ambayo inazidi kila kukicha.
Kauli hiyo ilitolewa jana...
Miaka michache ya hivi karibuni tumekuwa tukisikia ama kuona katika vyombo vya habari kuhusu watu wa huko U.K. kuendelea kufungua utitiri wa matawi ya C.C.M.
Mbona hatuna hayo matawi huku USA...
Kulingana na makubaliano yaliyofikiwa baina ya tume ya uchaguzi(NEC) na vyama vya siasa ikiwemo kutunga sheria mpya juu ya matumizi ya fedha pamoja na taratibu zingine za kuendesha uchaguzi. Mimi...
Ndugu wanaJF, nimeanza kuwasiliana na baadhi ya maadvocate kuona ni kwa vipi tunaweza kumwekea pingamizi Kikwete asigombee Urais kutokana na sababu zifuatazo:
Sababu ya kwanza Inatokana na afya...
People are divided into three main groups depending on the mind set..
1. Lower mind - (Discuss other people)
Group hili wao ni kujadili mambo binafsi ya watu.. Ambayo ki u halisia hayana...
In the same way that a baby is branded an angel, and goes unpunished for mistakes the creature makes, due to newness in the world into which he or she has been thrust, crazy behaviour and...
Pingamizi ndio kama tulivyotarajia,Tendwa katekeleza maagizo aliyopewa Ikulu na JK.Sasa kila dakika ni mithili ya muujiza usiojirudia. Tumeshanyanyaswa vya kutosha, utawala wa sheria umeshachezewa...
MGOMBEA ubunge wa jimbo la Vunjo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour (TLP), Agustine Mrema, amenusurika kupata kipigo kutoka kwa kundi la vijana wanaodaiwa kuwa ni wafuasi wa...
Hoja za maisha binafsi ambazo ni dhahiri zimepikwa na CCM, Makamba ndio alianzisha, akafuatwa na makada wengine, zitaijenga Chadema na mgombea wake wa urais. Kwa nini hizi hoja zitajenga badala ya...
Kwa walio Jijini Dar es salaam, Msajili wa vyama vya siasa Ndg, J. Tendwa alitegemewa kuzungumza na vyombo vya Habari leo kutoa maamuzi juu ya Pingamizi la CHADEMA dhidi ya JK wa CCM, je maamuzi...
Tendwa aionya CCM kuacha kutumia nyenzo za Ikulu
BARAZA la Ushauri wa Vyama vya Siasa nchini, limekishukia CCM na kukitaka kutotumia picha zilizopigwa Ikulu katika kampeni zake.Onyo hilo...
Kuna kitu kimoja kimenifurahisha sana kwenye kampeni za uchaguzi wa congress wa marekani mwaka huu. Kuna mgombea mmoja wa senate toka jimbo la Nevada anaitwa Sharon Angle. Mrs Angle bana alikuwa...
Hivi huyu aliyekubali muandike kwamba toka JK aingie madarakani watu milion mbili zaidi wamekuwa masikini bila kuonyesha percentage ni nani??Alitoa oda makusudi au sababu hii itawagharimu...
Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM Bibi Hawa Ng'ambi, usiku huu alishindwa kujizuia na kupandisha hasira kiasi cha mara kwa mara kumzonga mwendeshaji wa kipindi cha mchakato majimboni kilichokuwa...
Kufuatia maamuzi ya uonezi dhidi ya uteuzi wa wagombea wa upinzani yaliyofanywa na wasimamizi wa uchaguzi (Returning Officers) katika baadhi ya majimbo kutupiliwa mbali na Tume ya uchaguzi (NEC)...
Unapoingia jf unakutana na mchakato wa kura dhidi ya wagombea wote wa ngazi ya urais. Kati ya wote, dr. Slaa anaongoza kwa %79 akifuatiwa na kikwete kwa %14. Hizi takwimu zinaakisi hali halisi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.