Wakati wa uhai wa Baba wa taifa JK Nyerere RIP kulikuwa na uvumi kuwa na maziwa ndani ya kibuyu ambayo yalikuwa hayagandi. Kwa namna hiyo hiyo nasikia kuna mtu kashikilia kibatari cha Kikwete na...
Vi "nzi" vilivyotangulia mitaa ya Buzwagi machimbo ambayo yalichangia kuipa chati na Zitto Kabwe ujiko wa pekee katika siasa za Tanzania vinadokeza kuwa wananchi wa huko wanasubiri kwa hamu...
Mimi na familia yangu ni wanachama hai wa CCM,tumekiri na kuamini ilani ya chama, lakini kwa haya niyaonayo Ndg kikwete si chaguo letu na kura zote Dr slaa atapewa. Chama kilifanya maamuzi mabovu...
Wana JF Habarini za mchana.
Nahitaji msaada wa ufafanuzi kidogo kwenye swala zima la wagomea waliopita bila ya kupingwa ambao ni wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kutakuwa na modality gani...
Rais J K Kikwete hakua chaguo la Watanzania au kipenzi cha Watanzania wakati wa kuchaguliwa kwake 2005 bali alikua chaguo la MAFISADI Kama angelikua Kipenzi au Mwenyesifa na mvuto wa kuongoza...
CHADEMA REACTION: Tendwa missed these 4 points
By Frank Kimboy,
THE CITIZEN
Chadema yesterday accused the Registrar of Political Parties of being unfair in his handling of the...
source: Tanzania Daima
na Mwandishi wetu, Meatu
MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amesema kamwe hafanyi jambo lolote kwa kukurupuka.
Dk. Slaa...
Kama ni kosa la kiufundi walilofanya CCM ni kumteua kada wao na mjumbe wa Kamati kuu ya CCM Abdulrahman Kinana kuwa msemaji mkuu wa kampeni ya Kikwete.
Post hiyo muhimu ilitakiwa ijazwe na mtu...
Kutoka Katika Ilani ya Chama Cha Mapinduzi 2010-2015
"Idadi ya wanafunzi wa shule za msingi imeongezeka kutoka milioni tatu na nusu mwaka 1995 na kufikia zaidi ya milioni saba na nusu mwaka...
Wadau Nadhani ni wengi hawajaridhika na majibu ya hii timu ya uchaguzi. Kuna mambo mengine hayahitaji uwe umesoma sheria ili uelewe kipengele cha sheria kina maaniasha nini?
La labda sielewe...
Wana-JFNimeipata hii mpya leo. Eti ukiwa na gari lako hapa jijini, ukabandika picha ya JK (ile yake ya smiling face yenye maandishi Chagua Kikwete Chagua CCM) hawa manjagu wetu hawatakupiga bao ...
Leo wakati nakuja, nilikuwa napitia kumbukumbu za Bunge lililomalizika, nikaona hiyo ahadi ya Kikwete ya kununua Bajaj, ilikuwa kwenye kumbukumbu za Bunge wakati akihutubia Bunge mjini Dodoma...
chama cha mapinduzi ni chama amabacho kimejipanga vizuri kuweza kuhakikisha kinapata ushindi wa kishindo, kwani ndio chama chenye Sura nzuri ukilinganisha na cha ma kingine chochote...
From the Mouth of the Horse . . . . .
JK and CCM have managed to steer this country towards peace, harmony and prosperity. Vote CCM, Vote JK!
The opposition folks in this country are full of...
Watanzania tumeshuhudia mbinu chafu za kila namna za kuharibu uwezo wa watanzania kutathmini na kufanya uamuzi sahihi juu ya kiongozi anayefaa kuongoza taifa hili ifikapo October 31.
Wametumia...
Dr. Slaa,
Majuzi ulilazimika kusimama kwenye kampeni ukatufungulia maisha yako na mahusiano yao na mchumba wako Bi. Josephina.
Hii ilikuwa ni nia wako kuweka sawa kile ambacho CCM wameanza...
Je, Habari Leo wamegundua kuwa wanampa umaarufu Dr Slaa kwa kumwandika vibaya?? Maana ukifungua gazeti lao kwenye website yao, kwenye habari zaidi, zile heading zilizokuwa zinamchafua Dr Slaa...
Kwa jinsi hali ya upepo inavyoelekea kuna dalili CCM maji yako kidevuni sasa! Chadama na mgombea wake Dr. Slaa wanaonyesha wamekubalika kwa kiasi kikubwa. Hadi sasa inaonyesha kuna mtaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.