Nikiwa mtanzania mwenye haki yakikatiba napinga kwa nguvu zote uteuzi wa Kikwete kuliongoza taifa hili kwa miaka mitano tena. Najuwa wengi mtasema sijielewi ila hata katiba haimkubali tena...
Jana nilikuwa napata kilaji mahala fulani, akapita omba omba fulani. Alivyokuja kwangu nikamwambia mimi hela hata nikikupa haitasaidia, cha maana October 31 usiipigie kura CCM. Nikamwambia...
From CCM yazuia JK kushiriki mdahalo
Comments
#46 CAROLINE 2010-09-12 19:57
Doctor wa miujiza amekataa kuingia kwenye mdahalo kwani majini ya Muuguzi wake Shehe Yahya Hussein hayajakamilisha...
Leonard Mubale na Richard Katunka, Kigoma
MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe amemtaka Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Joseph Simbakalia na Mkuu wa Wilaya ya Kigoma, John Mongela...
Atishiwa kuuawa kwa kutoinadi CCM Moshi Mjini
Mgombea aliyeshinda kura za maoni katika jimbo la Moshi Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), kisha kuenguliwa na Halmashauri Kuu ya Taifa (Nec)...
Kivuko cha MV Pangani kikivusha wananchi wa Pangani leo. Kivuko hiki ni mojawapo ya ahadi zilizowekwa na Chama cha Mapinduzi 2005, ya kuwaletea wananchi wa Pangani kivuko cha uhakika:
Wadau, najaribu kufuatilia coverage ya mgombea urais wa CUF, Prof Lipumba...swali ni kwamba, je, hastahili kuonyeshwa au kundikwa kweye magazeti kama wenzake?? Haki sawa kwenye vyombo vya habari...
Katika kipindi cha miaka miwili: 2005 na 2006; JK aliahidi (mengine zaidi ya mara moja) kama ifuatavyo:Good governance (accountability, corruption); electricity, education, water, infrastructure...
Kuna usemi wa wahenga usemao, dalili za Mvua ni mawingu, namwingine husema, sikio lakufa halisikii dawa. Nisingependa kuandika .
Maisha ni zawadi toka kwa Mungu. Ujana ulitesa maana kipindi kile...
Kutokana na uzoefu tulioona katika uchaguzi wa 2005 na chaguzi ndogo zilizopita ni wazi kuwa CCM hushinda kwa uwizi, ujanjajanja wa mabox ya kura au kula njama na mawakala uchwala wenye njaa kali...
Source: https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania-2010/71623-slaa-akata-anga-morogoro.html
Slaa akata anga Morogoro
Akiwa Mikumi, alimlipua mwenyekiti wa kamati ya kampeni za CCM...
Na Mussa Juma
GAVANA wa kwanza wa Benki Kuu Tanzania(BoT) na aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika utawala wa Baba wa taifa, Mwalimu Julius Nyerere, Edwin Mtei amemtahadharisha Rais Jakaya...
Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara pasipo kupata majibu as kwa nini kusiwe na SERA YA TAIFA?
Katika vipindi vya Chaguzi za Raisi na Wabunge vyama mbali mabali vimekuwa vikimwaga au kunadi sera (...
Nchi yetu imekuwa na Mipango ya Taifa ya muda Mrefu ambayo imekubalika kwamba itatekelezwa. Kila mwaka wa fedha mipango hiyo hutengewa fedha kutegemea na jinsi mapato ya taifa yanavyogawanywa...
Habari za Kitaifa
CCM yamkana Shehe Yahya
Imeandikwa na Mwandishi Wetu; Tarehe: 12th September 2010 @ 08:16 Imesomwa na watu: 579; Jumla ya maoni: 0
MWENYEKITI wa Kampeni wa mgombea urais...
Nimeangalia uchaguzi huu tangu uanze, siku 20 zimeshakatika; bado siku kama 50 hivi kufika siku ya uchaguzi; tofauti na changuzi zingine; CCM mwaka huu wako defensive zaidi; tafiti zao za Redet...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.