Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Wakuu, Mambo yanakuwa matamu huko, Hilda ameweka bandiko kupitia account ya X kuwa mpaka CHADEMA yanatokea mambo ya hovyo ambayo kila wakati wanayapinga wakifanya CCM. Katika orodha hii...
2 Reactions
68 Replies
3K Views
https://youtu.be/mPmjrS_HcYk?si=9ZuRb3PSprgMakCN Wajumbe sikilizeni huu Wimbo kwa makini sana hakika Watanzania wanataka mabadiliko 2025
8 Reactions
12 Replies
743 Views
Baada ya Dr. Faustine Engelbert Ndugulile kuchaguliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Dunia (WHO) hapo jana jimbo la Kigamboni ambalo alikuwa anahudumu yeye kama mbunge lipo wazi kwani kwa...
6 Reactions
34 Replies
2K Views
== Chonde chonde waheshimiwa wajumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA Taifa kwa unyenyekevu mkubwa tunawaomba sana kamwe msiruhusu Freeman Mbowe ashinde kwani madhara yake ni makubwa sana kwa chama na...
16 Reactions
51 Replies
2K Views
Kwa heshima na taadhima naomba ushauri kwenu wadau.Mimi ni mwananchi katika nchi moja ya SADEC.Kwa hali ilivyo hivi sasa nchini kwangu,mwananchi yoyote anayeweza kusema siasa za taifa lake...
0 Reactions
13 Replies
347 Views
Ndugu wanajamii, Katika mazingira ya sasa, uzalendo na maadili ya taifa yamekuwa masuala muhimu sana yanayohitaji kufanyiwa kazi kwa bidii, hasa miongoni mwa vijana. Kama taifa, tunahitaji kizazi...
0 Reactions
0 Replies
129 Views
HONGERA NCHIMBI RAIS AJAYE 2030. Bashir Yakub, WAKILI Asubuhi ya leo baada ya tafakuri ya usiku mzima wajumbe ndio sasa wanajua kuwa ule mkutano wala haukulenga kumpata makamu mwenyekiti...
4 Reactions
5 Replies
223 Views
=== Wana jamii forum hii ndio habari kuu mpya toka mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa kuwa Mhe Dkt Emmanuel Nchimbi ndio Mgombea mwezi wa CCM katika Uchaguzi Mkuu Ujao Oct 2025...
24 Reactions
270 Replies
15K Views
Wakati wowote kuanzia sasa Mhe Freeman Mbowe kutoa tamko rasmi la ama atagombea Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa ama laa. Mtakumbuka Mhe Freeman Mbowe ameitumikia nafasi hii kwa zaidi ya...
18 Reactions
742 Replies
26K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika ikiwa upo mbali na Tv yako basi nenda hata migawahani au vibanda umiza au hata kwa jirani mwenye Tv ushuhudie kinachoendelea Dodoma. kwa sababu ikiwa upo mbali...
21 Reactions
269 Replies
7K Views
Na. M. M. Mwanakijiji Hakuna jinsi. Kinachotokea CHADEMA ni matokeo tu.. Nashauri wafanye uamuzi kuwa atakaye peperusha bendera ya mgombea wa Urais HATOKUWA Mwenyekiti wa chama na kuwa...
15 Reactions
47 Replies
2K Views
Ukisikia mambo yamezidi kunoga ndiyo hii sasa. Tunasubiri final nani kuwa bingwa wa mchezo huu mkubwa na wa kihistoria hapa Tanzania. ========================= Mwenyekiti alifanya kikao na Watu...
17 Reactions
59 Replies
3K Views
Angalizo:- Huu sio uzi wa kidini, ila nitatumia Biblia na vifungu vyake kukuelekeza ni kwa jinsi gani unaweza kupeta kibali, upended, uteuzi, vyeo nk kutoka kwa rais. KIBALI:- Kibali ni upendeleo...
9 Reactions
26 Replies
2K Views
Hawa mabwana mvua ikinyesha kidogo tu afisa mkata umeme anakata mji mzima na hawafanyagi kazi usiku hivyo mvua ikinyesha wakikata sa 1 jioni hiyo ni mpaka kesho yake. Napendekeza meneja wa mkoa...
3 Reactions
10 Replies
290 Views
Uchaguzi wa Taifa wa CHADEMA, umekuwa ni jambo la heri sana. Ndio uchaguzi uliowafanya watu wengi wayatambue madudu ya baadhi ya viongozi. Ni uchaguzi uliowaamsha wanachama na viongozi wa ngazi...
6 Reactions
15 Replies
394 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Katavi Rhoda Kunchela ameeleza kusikitishwa na kauli iliyotolewa na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA kutoka jimbo la Hai, mkoani...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
=== Baada ya ukimya wa muda mrefu hatimaye Mhe Rhoda Kunchela Mbunge pekee mstaafu wa kike wa CHADEMA aliyechaguliwa kuongoza chama ngazi ya mkoa ataongea na wanahabari kesho katika Hoteli...
3 Reactions
27 Replies
1K Views
Kiongozi mwandamizi wa Chadema Mh Mdude Nyagali ameshangaa vikosi Vya polisi kujazana Kwenye Mkutano wao Mlimani City Mdude anasema 2019 shujaa Magufuli aliwaacha Wajichague Kwa Amani na Haki Ni...
9 Reactions
37 Replies
1K Views
Kupitia ukurasa wa Youtube wa Jambo TV, kumevuja sauti ambazo zinaonesha baadhi ya viongozi wa CHADEMA wakiwa wanapigia simu wajumbe watakaoenda kupiga kwenye uchaguzi mkuu wa CHADEMA...
19 Reactions
60 Replies
3K Views
Mbowe analaumu Lissu kugombea Uenyekiti huku akilalamikia kumsaidia Lissu wakati tukijua yeye ni alimsaidia Lissu ili kufanikisha biashara zake za kisiasa. Sasa kama walikubaliana abaki na...
2 Reactions
9 Replies
596 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…