Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Kweli Sasa nimeamini kama Lissu hatashinda basi hakuna CHADEMA tena Tanzània, Mfikishieni Mbowe habari hizi,
11 Reactions
29 Replies
3K Views
Huyu ni Kada maarufu wa CHADEMA na mtu wa karibu wa Freeman Mbowe kwa miaka mingi anaandika haya, "Siasa zinabadilika sana Leo kumnadi Freeman Mbowe ni sawa na kunadi nyama ya kitimoto Visiwani...
20 Reactions
55 Replies
2K Views
Mimi nadhani ingekuwa heri sana kwa Mbowe kuachia nafasi hiyo ya Uongozi ndani ya CHADEMA kabla ya UCHAGUZI. Ajabu ni kuwa leo CHADEMA mpaka makanisa na Watumishi wa Mungu wameanza kuonesha...
17 Reactions
48 Replies
2K Views
𝐓𝐮𝐧𝐝𝐮 𝐋𝐢𝐬𝐬𝐮, 𝐉𝐨𝐡𝐧 𝐇𝐞𝐜𝐡𝐞 𝐧𝐚 𝐋𝐞𝐦𝐚 𝐧𝐢 𝐰𝐚𝐩𝐢𝐠𝐚𝐧𝐢𝐚 𝐡𝐚𝐤𝐢 𝐰𝐚 𝐮𝐤𝐰𝐞𝐥𝐢 𝐭𝐮𝐰𝐚𝐮𝐧𝐠𝐞 𝐦𝐤𝐨𝐧𝐨. Lissu, Heche na Lema hawa ni rafiki na ndugu wa haki. Kujitoa kwao kupigania haki za mtu & watu wowote kwao ni jambo la...
14 Reactions
40 Replies
1K Views
Makamanda kama kweli itatokea mtaanza kupokea pesa huko Majimboni kwenu kutoka kwa Freeman Mbowe basi ondoeni mashaka kabisa kuwa Mwenyekiti wenu tayari ni mtu wa Serikali na nirafiki wa...
14 Reactions
52 Replies
2K Views
MAJARIBIO YOTE YA KUTAKA TUNDU LISSU AONEKANE MSALITI NDANI YA CHADEMA YAMESHINDWA VIBAYA SANA. WATANZANIA NA WANACHADEMA WAMEKATAA NA MBINU HII IMESHAFELI VIBAYA SANA. Je! UPEPO WA LISSU...
32 Reactions
96 Replies
3K Views
==== CCM Wana haki ya kutuchamba. Mheshimiwa Freeman Mbowe ametufedhehesha sana. Unadhani CCM watakwenda kuruhusu katiba mpya na tume huru ikiwa kama kiongozi wetu mwenyekiti wa taifa...
10 Reactions
50 Replies
2K Views
BARUA YA WAZI KWA WAJUMBE WA CHADEMA WA MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI JAN21. Ndugu Wajumbe, Mara ya mwisho Mwenyekiti freemanmbowetz alipotangaza maandamano alijikuta peke yake barabarani na...
8 Reactions
24 Replies
873 Views
Anaandika Boniface Mwambukusi == KUMCHAGUA TL ni KUVAA MWILI MPYA USIO HARIBIKA. Mzee Kingunge aliwahi kumwambia Mrema wakati wa Kipindi cha Kitimoto miaka hiyo kwamba " Usipong'atuka...
14 Reactions
55 Replies
2K Views
Na. Francis Garatwa, Mbowe ni Mwanachama pekee asiye na hasara ndani ya CHADEMA na mnufaika Mkuu japo wengi hawaoni kwa macho ya kawaida na anatumia mbinu zifuatazo; 1. Pesa yake yoyote ile...
12 Reactions
47 Replies
1K Views
Na; Bob Chacha Wangwe Mhe. Mbowe na Mhe. Lissu wote ni viongozi wetu. Mchango wao ni mkubwa sana na tunawapenda. Lakini tunaipenda zaidi CHADEMA. Katika kuchagua mmoja kwenye nafasi ya Uenyekiti...
18 Reactions
33 Replies
2K Views
Na Shabani Lissu Jaribio la panya la kumchagua mmoja wao kwenda kumfunga paka kengele si jaribio la lelemama linamhitaji panya shujaa wa kufanya hivyo, vivyo hivyo jaribio la kukabiliana na...
10 Reactions
40 Replies
2K Views
  • Poll Poll
=== Wakati zikiwa zimesalia siku kadhaa kwa chama kikuu Cha Upinzani nchini Tanzania CHADEMA kuwapata Viongozi wake mbalimbali wa ngazi ya Taifa. Kwa mujibu wa kalenda ya Chama kabla ya Uchaguzi...
4 Reactions
85 Replies
4K Views
==== Swali moja la msingi kwa WAJUMBE wa CHADEMA ni hili , Ikiwa utapewa pesa , usafiri , pombe na chakula wakati huu lakini hukuletewa pesa wakati wa uchaguzi wa serikali za Mitaa , Kijiji na...
29 Reactions
112 Replies
3K Views
Hakika Umma wa Watanzania na Mungu wa Mbinguni wako na Lissu, Mbowe ajitafakari sana kulinda heshima yake kidogo aliyosalia nayo atangaze kujiondoa tu kwa heri bila kukigawa chama
3 Reactions
11 Replies
260 Views
Wenje naona Kuna kitu hakiko sawa kwake nadhani ni PRESHA ya Uchaguzi inamzidia, Akiwa Wasifi TV alituambia ni Lissu aliyeasisi Maridhiano na moja ya sharti alilotoa kwa Rais Samia ni kumwachia...
5 Reactions
14 Replies
510 Views
=== Katika hali isiyo ya kawaida Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA ) Taifa wameshindwa kujizuia na kuonesha hisia zao kwa Mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa Mhe Tundu Lissu alipokuwa...
6 Reactions
33 Replies
1K Views
TATHMINI FUPI PRESS YA WENJE: 1. Waandishi wa Habari wamemuonyesha Wenje kwamba wamechoka kusikia uongo wake. Maswali aliyoulizwa Wenje katika Taaluma ya Sheria kwenye hatua za Dodoso (Cross...
13 Reactions
25 Replies
1K Views
=== Lissu akijibu swali kuwa yeye hana "KABA" yaani hana siri, Lissu amesema Kuna Siri aina mbili Kuna Siri kwa masilahi ya chama hizi zinaitwa Siri HALALI lakini Kuna zile ziri zinazokigharimu...
7 Reactions
13 Replies
546 Views
Kuna haja washauri wa Mwenyekiti Mbowe kumshauri upya. ====== Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Jimbo la Ukonga jijini Dar Es Salaam, Gaston Makweta pamoja na Katibu wa Jimbo hilo...
12 Reactions
53 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…