Ndugu zangu Watanzania,
Leo ilikuwa ni siku ya Majonzi na huzuni kubwa sana kwa wana Mbozi na Mkoa mzima wa Songwe.Ambapo ilikuwa ni siku ambayo Aliye kuwa DC wa Mbozi Mheshimiwa Esther Mahawe...
Salaam, Shalom!!
Historia inatuambia, Ufalme ulipomtaka Daudi, ulimfuata porini akichunga Kondoo wa baba yake aliyekuwa mfugaji na Mwananchi wa kawaida.
Urais au Ufalme ni title na Cheo Cha...
Mgombea Uenyekiti BAVICHA Masoud Mambo akifunguka A to Z kilichotokea kwenye Uchaguzi BAVICHA baada ya wakubwa kuingilia kati.
Source: East Africa Radio
My take: Usafi wa Heche na Lissu uko...
Ukifuatilia Press conference za Godbless Lema kwa wiki nzima, hazina impact yoyote kisiasa kwenye kumuongezea Tundu Lisu kura za wajumbe wa mkutano mkuu na hatimae kumfanya awe mwenyekiti wa...
Viongozi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu, wametishia kujitoa unachama wa chama hicho endepo Mwenyekiti wa Chadema Taifa atachaguliwa...
Toa vitambulisho kwa Wajumbe , Wajumbe wengi mpaka sasa hawajapata vitambulisho. Hii haikubaliki. - Godblless Lema
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia...
Nimefanikiwa kuusoma unaoitwa Waraka wa Mabadiliko 2013 uliotayarishwa na Samson Mwigamba, aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Arusha, na kuhaririwa na Kitila Mkumbo, aliyekuwa Mjumbe wa...
Nakumbuka kwenye birthday yake ya kutimia miaka 75 kama sikusoe, namba moja mstaafu kutoka Butiama, alikejeli watoto wadogo wanaokufa wakiwa bado wadogo.
Kama namnukuu sawa sawa, alisema, "vitoto...
Wasalaam
Habari za uhakika kabisa kutoka ndani ya familia ya Freeman Mbowe ni kwamba amekubali ushauri wa wanafamilia na wazee wa CHADEMA kutogombea uenyekiti wa CHADEMA na badala yake...
Bwana Twaha! Sikia
Mie, nilivuliwa uongozi wangu kwa maelekezo ya TAL Januari 9, 2025.
Nami, siku hiyo-hiyo ya Januari 9, 2025, niwasilisha rufaa yangu kwa KM tena kwa hati ya dharula chini ya...
Heshima kwenu wanajamvi.
Lema kafanya press conference 3 ndani ya week hoja zake ni zile zile hana jipya.
Uhuni wa Lema ni pale alipowaburuza wenyeviti wa mikoa wasiozidi wanne na kuwachanganya...
Akizungumza leo Januari 20, 2025 katika ufunguzi wa Kikao cha Baraza Kuu Mbowe amesema “kila mmoja wetu katika ukumbi huu waliofika Dar Es Salaam na watakaoendelea kuja Dar Es Salaam wote tuje...
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X (zamani Twitter), Lema ameonesha kushangazwa na mwelekeo wa chama kuelekea uchaguzi mkuu wake unaotarajiwa kufanyika kesho, Jumanne, Januari 21, 2025...
Mwaka wa uchaguzi ndio huoo, lakini umepooa kama uji wa mgonjwa? Hakuna zile amsha amsha tulizo zizowea kama kipindi kile cha mwaka 2015 ambapo vijana wa 4u Movement waliungana na vijana wa M4C...
Ili Chadema kiweze kuwa Chama mbadala, kinahitaji major overhaul ya kiuongozi na utendaji. Matokeo ya uchaguzi mkuu wa 2010, yamoenyesha wazi kuwa safari ya Chadema kuinga Ikulu na kushika hatamu...
Mwenyekiti wa Chadema alipotambulishwa mbele ya Baraza Kuu na katibu mkuu mh Mnyika alisimama na kuwaamkia Wajumbe
Mbowe: Shikamoo Wajumbe
Chadema imeelekezwa kibra na TAL dadeki 😂😂
Sisi CCM...
Kama CHADEMA mtakataa kuwa tawi la CCM basi DP (Chama Cha Demokrasia) kitawafaa sana au njooni CCM,
Mbowe aendelee tu na SACCOS yake.
Haya ndio majibizano kati ya Mwanachadema na MwanaCCM...