Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Baada ya wataka urais wengi kutokuwepo kwenye baraza hili jipya la uwaziri na Seleman Jafo kuwepo sasa njia ya Chamwino 2025 ni nyeupe. Jaffo amepunguziwa upinzani kabisa hapo amebakia yeye na...
12 Reactions
212 Replies
22K Views
Habari za asbh Kutokana na umahiri wa Kabudi katika wizara ya Sheria napenda kuamini ya kuwa huenda akaja kuwa kiongozi wa nchi hii. Binafsi nampenda anavyotoa maelekezo na majibu bila Shaka...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Wanachama Wengi wa Chadema hawanaga vigezo Vya kuwa Viongozi ndio sababu uchaguzi wa Serikali za Mitaa wengi waliondolewa na October hata Mgombea uRais wao ataondolewa Mzee Alipipi Kasyupa ni...
0 Reactions
0 Replies
110 Views
Nimesikitika sana na vitendo viovu na hujuma mnazosema mmefanyiwa. " Wote mliokatwa majina, Wote mlioenguliwa, Wote mtakaodhihakiwa, Wote mnaopenda demokrasia pana, Kwa mikono miwili na kwa...
0 Reactions
0 Replies
118 Views
Kwa ujumla huu mfumo ni mzuri sana. Maana umeondoa ukiritimba wa maafisa utumishi kwa watumishi. Tatitizo kubwa ni kuwa sasa hivi watumishi wa umma wanatakiwa kutumia mfumo wa Ess kwa kufanya...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Katika ukurasa wake wa X Lema ameandika hivi, "LEADERSHIP IS A BEHAVIOR NOT A TITLE." Swali: Kwanini anahangaika Lissu na Heche ili wawe viongozi kwani hawana Title? Pia, Soma: Godbless Lema...
0 Reactions
3 Replies
314 Views
Usibishe. Angalia watu wenye misimamo mikali, wenye akili nyingi na majasiri. Hawaishi sana. Hufa mapema. Waliowahi fanya mambo makubwa au harakati kubwa duniani wengi walikufa mapema. Walikufa...
36 Reactions
105 Replies
7K Views
Kikao cha Baraza Kuu la CHADEMA 2025 kinafanyika muda katika makao makuu ya chama yaliyopo Mikocheni, ambapo viongozi wakuu, Freeman Mbowe na Tundu Lissu, wakutana uso kwa uso. Huu ni mkutano...
3 Reactions
36 Replies
2K Views
Habari njema itawaamsha waliolala kwa kukosa MATUMAINI waliokata tamaa kujaa Furaha walioshindwa kutembea KURUKARUKA wasio ona KUONA walio na KIU kuuona mto walio na machozi KUFUTWA Kesho NYATI...
8 Reactions
47 Replies
2K Views
Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Januari 20, 2025 ulilipuka kwa shangwe kutoka kwa wajumbe wa mkutano wa Baraza Kuu la Chadema unaoendelea baada ya Katibu Mkuu wa chama...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Historia yake Stephen Wasira alizaliwa mwaka 1945 katika Wilaya ya Bunda, Mkoa wa Mara (ana miaka 70). Alisoma katika shule tatu tofauti, ya kwanza ni Shule ya Msingi Bariri 1956-1959, ya pili ni...
2 Reactions
62 Replies
23K Views
Kuna vyeo vya kisiasa ukishavifikia huwezi tena kusonga mbele,inakuwa ndio climax ya mafanikio yako. Tanzania haijawahi kuto Rais ambaye amewahi kuwa PM au VP,imeonekana kama ndio kautaratibu...
8 Reactions
63 Replies
3K Views
I hope African leaders will address the unfriendly, inhumane treatment of employees in Chinese companies operating in Africa, which is not in accordance with the labor laws of African countries...
0 Reactions
2 Replies
356 Views
Wasiwasi ndio akili. Chadema leo wamekuja hadharani na kutamka kwamba Lissu hafai kuwa mwenyekiti wa chama chao. Chadema wanasema Lissu lazima awe chini ya mtu Yaani mwenyekiti. Kwa mazingira...
0 Reactions
7 Replies
198 Views
Mpo salama! Ni hakika Kesho Lisu anashinda. Ubatizo wa Utakaso "Baptism of purification" ndio Jambo pekee ambalo Lisu itampasa aanze nalo. Hakuna haja ya kugombana, kuvunja Chama. Mshindi...
0 Reactions
0 Replies
151 Views
Ukifuatilia siasa za upinzani za nchi hii utaona NCCR Mageuzi ilianza kama chama mahiri cha upinzani Tanzania kikapotea katika ramani kisha CUF ikafuatia kama chama kikuu cha upinzani nacho...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
  • Redirect
https://www.youtube.com/live/z2jNbADMJ_A?si=47oGOnBf4YbVgAA_ BAWACHA wanafanya Uchaguzi wao wa kuwachagua Viongozi wao wa Baraza kwa mwaka 2024-2029. Usiondoke Jf kwa habari motomoto
2 Reactions
Replies
Views
Hali si shwari CHADEMA lolote laweza kutoka ni chama kufa au kupona, tuiombee sana CHADEMA
9 Reactions
59 Replies
2K Views
Wana JF wenzangu baada ya timu Lowassa kuangukia pua na akina Nchimbi kukimbilia kwenye media nini kitafuatia. Mawazo yenu tafadhali.
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Hii Nchi ilishapata Uhuru so mambo ya siasa ni ajira tu na kusaka Fursa Mchungaji Msigwa kalipiwa faini ya Kutoka gerezani na kuahidiwa Ubunge lakini akakataa akidhani Chadema ndio wazazi wake...
0 Reactions
8 Replies
299 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…