Ndugu zangu Watanzania,
Nimekaa nikatafakari juu ya Mama yetu huyu mpendwa nikaona kuwa pamoja na kuwa Rais Samia alisema kuwa yeye katika mawazo yake hajawahi kuwaza kugombea Urais wala kuwa...
Ni wazi kwamba Tundu Lisu ni mwenyekiti Mpya wa CHADEMA. Wakati huo Mbowe anakwenda kuwa mjumbe na mshauri wa chama.
Mabaraza yote yamesimama na Lisu siyo kwa bahati mbaya, wamesukwa kufanya...
Wakuu kesho ndio kesho..
Je serikali itakubali chadema ionekane?
Je Media zitakubali kutangaza ikibidi 'live"
Kama walivyofanya kwa CCM?
Binafsi naona matangazo yakikatwa katikati
2025 ndio uchaguzi rasmi wa kwanza kwa mama kugombea urais
2030 itakuwa ni awamu ya pili, Wajumbe wa CCM kwa kauli moja hawana tatizo lolote kwa Samia Suluhu Hassan kuwania tena nafasi katika...
Uchaguzi wa kumpata Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa kesho una maana kubwa sana kwa Taifa letu.
Ni siku ambayo Historia ya siasa za upinzani Tanzania inakwenda kuandikwa.
CHADEMA wanakwenda kuamua ama...
Kamati Kuu ya CHADEMA kupitia ofisi ya Katibu Mkuu imetangaza Majina ya watu wanaoaminika sana miongoni mwa wengi, ambao wameteuliwa kusimamia Uchaguzi wa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa Chama...
ENGUA style ya Mbowe ni ya kikatili mno haina maelezo, wajumbe wanaenguliwa bila sababu maalum, Tulizoea kusikia watu kuenguliwa kwa makosa kwenye ya kuandika barua ila hii ni next level, unapigwa...
Wadau hamjamboni nyote?
Umewashtua na kuwashangaza pakubwa mno wamebaki wasijue nini kimetokea na nini wafanye
You took them by surprise very much unprepared!
Tafakuri ya kina kwa wenye hekima...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.hii leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa...
1. Hongereni CCM kwa Mkutano Mkuu Maalum hapa Dodoma.
2. Yanayofuata yote ni kukamilisha mechi za kwenye ratiba tu a.k.a stand up comedy.
**Sasa naelewa kwann Wasanii wote walialikwa Dodoma
Habari wadau!
Kama kumbukumbu zangu ziko sawa, sheria ya uchaguzi ilifanyiwa mabadiliko enzi za Mwendazake lengo ni kudhibiti watu kuhamia vyama vingine uchaguzi unapokaribia.
Kwa kumbukumbu...
1. V8 zinatembezwa mwanzo-mwisho (400-1000kms) ifikapo weekend kisha kurudi Dom J3 alfajiri. Hapo NI mbali na wanaosafiri na ndege, SGR kila weekend kwa gharama za mwajiri wao.
2. Hii si sawa...
Mimi nilikuwa mmoja wa watu niliyekuwa nikimuhamasisha Mzee Philip Mpango afanye kampeni kubwa ya kuifanya Dodoma ya kijani kwa kupanda mamia ya mamilioni ya miti.
Hii ingemuacha na kumbukumbu...
Uko Dar? au mikoani? Unafanya nini? Mpaka Bozi Boziana yuko Dodoma!
Ni mkutano mkuu wa chama kongwe kuliko vyote Afrika. Ni mkutano ambao unaenda kupanga sera za nchi kwa ajili ya vizazi vingi...
Wakuu,
Mpina hapa alipigwa na kitu kizito, hakuamini alichokuwa anakisikia :BearLaugh: :BearLaugh:.
Kama vile alitaka awe anaota, hajaelewa kabisa kuhusu mama ake Lucas Mwashambwa kupitishwa...
Kwenu wana CCM mnaojitambua, wenye mapenzi mema na chama na mustakbali mwema wa nchi hii.
Hicho mlichofanyiwa Dodoma ni uhuni mtupu, hakipo ndani ya kanuni, taratibu wala culture ya chama...
Wakuu,
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara na 'mgombea' wa nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho Taifa Tundu Lissu amewashukia wale wote wanaodai kuwa...
Watanzania wana maumivu mengi na hasira kubwa dhidi ya CCM, chama ambacho kimekuwa kama syndicate ya kuwaumiza watanzania walio wengi na kuzineemesha familia chache kupitia kodi za hao wengi...
Na Mwandishi Wetu
WANANCHI wa Kijiji cha Bulembo, Tarafa ya Kamachumu, wilaya ya Muleba mkoani Kagera wamechangishwa fedha za nguzo ‘hewa’ katika mradi unaotekelezwa na Wakala wa umeme vijijini...