Baada ya mahesabu ya mgombea uenyekiti wao kugoma kabisa, na kwamba kura za wajumbe wa mkutano mkuu haziko upande wao licha ya kufanya press conferences wiki nzima kwa kutambulisha wajumbe...
Hii ndiyo hali halisi.
Wote waliopinga uteuzi wa Magufuli kugombea Urais wa Tanzania ndiyo wanaelekea kushika hatamu ya uongozi wa nchi. Chato ijipange upya kukabiliana na ukweli uliopo na kamwe...
Kama Leo ingekuwa ni 2015 na Dkt.Ncimbi angekuwa ni Katibu Mkuu wa CCM naamini angepambana vya kutosha kumpambania Lowassa ndani ya CCM lakini Kwa Sasa ana mtazamo tofauti kabisa, mtazamo alionao...
Kwa wale wahenga watanielewa. Kwamba kuna watu walistahili wapotee kabisa ktk siasa za TZ kutokana na tabia zao na hata tuhuma walizonazo. Mmojawapo ni huyu Nchimbi.
Akiwa Umoja wa Vijana...
Namuona Mbunge wa Kariua kwa mbali akiwa kati ya Mashehe wa Bagamoyo walioenda kwa Lowassa jana kumshawishi achukue form yakugombea urais na kumchangia sh 700,000. Hivi Mzee Kapuya naye ni shehe...
Boniface Jacob au maarufu Bon Yai ni mmoja wa wanasiasa vijana wenye akili na ambao kimsingi wanajua siasa kutoka moyoni.
Kama unafahamu temperaments za watu, huyu bwana ni real ktk siasa zake na...
Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa DSM Mh Albert Chalamila zingatia ushauri huu
Mlimani City ni eneo la Uwekezaji hivyo kufanya Mikutano ya Kisiasa yenye viashiria Vya vurugu na...
Mjumbe wa Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Joseph Haule ‘Prof Jay’ leo Januari 20, 2025, amefika katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kikao cha...
1. Lissu na Mbowe watakosana. Kutakuwa na mgongano wa kimtazamo na kimwelekeo kati ya Mh. Lissu ambaye ni mtarajiwa mgombea wa Urais kupitia CHADEMA na Mwenyekiti wake Mh. Mbowe.
2. Kuna kiongozi...
Watanzania siasa siyo nyepesi kama mnavyodhani, lissu hawezi kushinda uenyekiti hata mbowe akimpigia kura Lissu, ila baada ya miaka mitano mnyika atakuwa Mwenyekiti na Lissu atakuwa amesajili...
Ndugu zangu Watanzania,
Naamini kama Lissu atatumia Akili ndogo sana ya kibinadamu atakuwa amejifunza mambo mengi sana kupitia michango hii ya kununua gari mpya la bei kali na la kifahari pasipo...
https://youtu.be/pfMrZF7ISCc?si=WHSR_MisNg9yIa0e
Sikuwahi kufikiri wala kumuona huyu dada kuwa kumbe ni jembe kiasi hiki...
Cha ajabu eti Freeman Mbowe anamfanyia figisu figisu asiwe mwenyekiti...
Hii Sasa ni hatari, kuanzia Mke wa Nyerere, Mke wa Sokoine, Mke wa mpaka latest kwa Mpango, Kasimu Majaliwa, na Sasa Emanuel Nchimbi wataendelea kula pension ya Umma. Gari latest la Kijapani ama...
Mwaka 1983 Mzee wangu alihamia Tabata,kipindi hicho kikiwa ni kitongoji duni kabisa,maji shida,barabara mbovu ,kumepoa.
Taratibu mpaka mwanzoni mwa miaka ya 2000 Tabata inaanza...
Mhandisi Ndolezi Petro, Waziri Kivuli wa Ofisi ya Waziri Mkuu Bunge, Sera, Vijana, Kazi na Ajira kutoka ACT Wazalendo, ametangaza nia ya kugombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Kusini katika uchaguzi...
Mtu kazaliwa kijijini, kakulia chumba kimoja na mbuzi leo ana madaraka anataka atembelee gari ya million 600, ambayo hajaitolea jasho, ni kodi za maskini wenzake.