Hayawihayawi!
Kesho tarehe 21 itafanyika Operation kubwa kwa mgonjwa ambaye hapa ni CHADEMA.
Madaktari wasiopungua 1200 wataendesha zoezi hilo. Kiukweli mgonjwa yupo taabani. Upasuaji huu ni...
Kwa wanaofuatilia Uchaguzi huu watakubaliana na mimi kwamba ukimsikiliza Mbowe unaona picha ya Mwanasiasa imara na Kiongozi na ukimsikiliza Lissu unaona Picha ya ya Mwanaharakati aliyekomaa ila...
Ndugu zangu Watanzania,
CCM ndio habari ya Mjini, Rais Samia ndiye Habari ya Dunia na Tanzania ndio inayovuma Dunia Kwote.
Kwa Sasa habari inayovuma na kuteka mijadala mitaani na Dunia nzima...
Naombeni kujua tu wadau, maana ya Mungu mengi.
Makamu wa Rais amejiuzulu lakini anamalizia muda wake mpaka mwezi wa 10.
Sasa ikitokea Rais akapata dharura na akashindwa kutimiza majukumu ya...
Kweli wapiga dili hawataisha nchi hii, hadi Chadema wapo sana. Kuna genge fulani la makamanda wa Chadema ambao walijipachika jina la wanyeviti wa mikoa wa Chadema na kufika nyumbani kwa Mbowe ili...
Kutakuwa na mdahalo wa wagombea uenyekiti wa Chadema leo kuanzia saa 3:30 usiku pale Star Tv.
wagombea wanaotarajia kuwepo kwenye mdahalo huo ni pamoja na jabali wa siasa, Tundu Lissu pamoja na...
Hawa waropokaji ALIYE Walea hata wakikataa upo mchango mkubwa wa siasa zao za Leo kutoka kwa rinjendari wa siasa Dr Freeman Aikaell Mbowe.
Kwa takribani miaka 21 Mh Mbowe alifanikiwa kutuletea...
Ndugu zangu sukuma gang poleni sana. Najua mmeumia sana. Ila huo ndo mchezo wa siasa ulivyo.
Watu wali mu underestimate sana Samia kuhusu uwezo wake wa kufanya siasa. Sasa mmejionea kwa chenga ya...
Leo hapa Iringa kwenye yale mabishano ya mitaani kuhusu siasa nimeshangazwa Sana na wana CCM.
Zaidi ya wana CCM 50 niliokutana nao na kuwauliza ni kwa nini chama chao kinaitwa "Chama Cha...
Nitazidi kupiga kelele kadiri niwezavyo na kutoa tahadhari kadiri niwezavyo katika moja ya makosa yaliyo fanyika Tanzania ni kutengeneza nchi kimaandishi ya kisekula lakini kivitendo ni ya Ukristo...
Kwanza nianze kwa kusema, kutokana na vuguvugu hili la Uchaguzi wa Uenyekiti wa Chadema lilivyo na mvuto katika jamii ya Tanzania,nimetokea kufuatwa na wadau wengi wa kisiasa wakinitaka nitoe...
Ndugu zangu Watanzania,
Ni shangwe , Nderemo,vifijo na vigelegele huku mitaaani baada ya kupitishwa kwa jina la Rais Samia kugombea Urais kupitia CCM katika uchaguzi Mkuu utakao fanyika hapo...
Ndugu zangu Watanzania,
CCM chama kiongozi Barani Afrika na chama kilichobeba matumaini ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania na chama kinachoaminika ,kupendwa , kukubalika na kuungwa mkono...
Wengi Hawajui Mchango wa Nchimbi Kwa Vijana wa sekta mbali mbali nchini lakini ni huyu Nchimbi ndiye aliruhusu Vijana kutumia ukumbi wa Kinondoni kukuza vipaji vyao bila kujali itikadi za kisiasa...
Wakuu,
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM, Jokate Mwegelo ame-share video hii ya Mabasi (Yutong Bus) ya CCM katika msafara ukielekea Dodoma kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Mapinduzi...
Maandiko mengi ya Pascal Mayalla anayoyaita voices from within mengi yamekuwa kweli isipokuwa lile alilosema Marehemu JPM yupo sehemu safi huko tusikojua kwa akili za Kawaida za kibinadamu hakuna...
Nimesikia watu wakisema kwamba eti Dr Mpango ni mzalendo lakini cha ajabu yeye mwenyewe anasema tatizo ni umri sio ufisadi.
Yeye mwenyewe hajawahi kukemea lolote kwa miaka yake . Hajawahi...
Kwako Freeman Mbowe,
Mwenyekiti wa CHADEMA
Ni wazi CDM mnapoteza focus maana Kama alivyosema E Lowassa mwaka 2015 kuwa Chama chenu ni wana harakati zaidi kuliko wanasiasa. Wanaharakati huenda na...
Nakupongeza kwa moyo wa dhati kwa kupitishwa na chama chetu kuwa mgombea urais na ndipo utakuwa rais wa JMT 2025-2030.
Kuna jambo ambalo sisi tukupendao kwa dhati na wenye kulipenda Taifa letu...