Adam Kimbisa, Sophia Simba na Emmanuel Nchimbi ambao ni wajumbe wa kamati kuu wamepinga uamuzi wa kamati kuu ya CCM kwa kusema kuwa wao hawapo pamoja na uamuzi wa kamati hiyo utakaosomwa leo...
Samia ndio rais aliyepo madarakani, katiba ya CCM na utamaduni wake inamruhusu kugombea urais, ni mwenyekiti wa CCM, huu woga uliopitiliza wa kuwania urais 2025 unaletwa na nini mpaka aamue...
Wengi sasa wameanza kumwangalia kwa jicho flani huyu msomi na jamaa mwenye utulivu flani. Wanasema anafaa kuwa Rais wa kupitia CCM yaani yeye ni bora kuliko manyang'au wengine.
Hata uongeaji...
Kwa sasa na kizazi kilichopo Dkt. Emmanuel Nchimbi PhD Ndiye Gwiji la Siasa za CCM
Ni Imani yangu kuna nafasi kubwa pale CCM inamsubiri na Muda si mrefu CCM yetu itayarejea makali yake
Mlibwanji...
SIKU chache baada ya aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk. Emmanuel Nchimbi kuvuliwa wadhifa wake kwa tuhuma za kushindwa kusimamia wizara yake, kiongozi huyo ametaka apewe moyo wa upendo na...
Kama lipo kosa analojilaumu Emma basi ni la yeye kuanzisha uasi kwa kile kilichotangazwa na na aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM wakati huo ndugu Jakaya .M. Kikwete kuhusu kukatwa kwa jina la bwana E...
Naona Mheshimiwa Rais wa JMT ameamua kumrudisha nyumbani Mwanasiasa nguli Emmanuel Nchimbi.
Nahisi kuna mabadiliko ya Baraza la Mawaziri siku si nyingi. Kama sio hivyo nahisi kuna mabadiliko...
Kuna kila dalili asasi na azaki mbalimbali pamoja na watu mbalimbali wanaonesha kiu ya kuongozwa na mwanadiplomasia huyu mbobevu wa Kimataifa.
Sababu za kwanini awe Nchimbi,
1. Unyenyekevu kwa...
Tangu jana, mara baada ya Wakili Tundu A.M. Lissu kutangaza kugombea uenyekiti wa Taifa wa CHADEMA, kumekuwa na 'kuwapambanisha' Mwenyekiti wa sasa Freeman Mbowe na Lissu kwenye uchaguzi wa...
Anaitwa Dr Emmanuel John Nchimbi, Moja Kati Ya Masenior Comredi Ndani Ya Chama Cha Mapinduzi Ni Mtu Mahiri Katika Kile Anachokiamini Na Hafundishwi Punda Kumwita Farasi.
Ni Mwanasiasa Mwenye...
04 December 2024
Benguela, Angola
Makamu wa Rais wa Tanzania Dr. Philip Isdori Mpango kumuwakilisha rais Samia Hassan, uzinduzi Lobito Corridor Angola
Dr. Philip Isidori Mpango amewasili...
Alhamisi, Aprili 18, 2013 07:41
MPAMBANO WA MGOMBEA URAIS CCM 2015
*Vita kali yatabiriwa kati ya Wasira, Lowassa na Nchimbi
*Mpango wa kukatwa jina la Lowassa waunganisha makundi
KATIKA hali...
Makonda anakubalika nchi nzima Sema sasa kwa Arusha kidogo kuna wapinzani walikuwa wanamchafua Sana Sasa mama anataka atembelee nyota ya Makonda 2025.
Lakini walikaa wakagundua mwamba anakubalika...
Yuko wapi Mbunge wa Bumbuli, Januari Makamba tangu atumbuliwe uwaziri hajaonekana hadharani kuanzia jimboni hayupo wala bungeni hayupo Je Januari Makamba yuko wapi?
Matokeo ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa yamewatangaza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Pamoja Na Rais Dkt Hussein Ali Mwinyi Kuwa wagombea Urais 2025-2030.
Marais hawa watakuwa wanakamilisha Ngwe...
Za ndani kabisa imefichuka kuwa Kuna Kila Dalili ya makundi matatu yenye nguvu kuungana na kupinga mwenyekiti aliyepo madarakani kugombea URAIS tena 2025. Lengo lao ni kuvunja matabaka na tofauti...
Wajuvi hebu tuliangazie macho bunge lijalo,hiv litakuwa na sura gani? Naliona kama litajaa pongezi nyingi sana kwa walioteuliwa,halafu kila kitu kitapita bila kupingwa ikiwa kama hongo.Namuona...