Ijulikane mwanzoni kabisa kuwa Mkutano Mkuu wa CHADEMA ndiyo, kwa mujibu wa Katiba ya chama hicho, chombo mahsusi cha kumchagua Mwenyekiti na Makamu wake wawili-wa Tanzania Bara na yule wa...
Wakuu,
Maria Sarungi ameendelea kumwaga mchele kuhusu tukio la kutekwa kwake ambapo amesema kuwa anaamini Mtanzani anahusika katika kutekwa kwake kutokana na sababu mbalimbali.
Maria amesema...
Baada ya kifo cha Magufuli na Samia Suluhu Hassan kuanza kuachana na yule aliyemtengeneza, kumekuwa na juhudi za makusudi kwake na chama cha Mapinduzi kushikilia dola. Hata hivyo, wawili hawa...
Kuna kitongoji kimoja huko mashariki ya kati wamekaa viongozi wao ambao ndio wasomi, ndio wenye uono wa mbali, ndio ma genius.
Hao viongozi kwa pamoja wanashangalia na kushinikiza kitongoji chao...
Wakuu,
Lissu anazidi kumwaga mchele! Anasema kwenye mkutano ule BAWACHA hawakumualika Rais Samia kama mgeni rasmi bali aliakiwa na Mbowe! Baada ya kuwa kamualika ndio alikuja kuwajulisha wengine...
Tumeandika humu JF kwa miaka mingi kwamba kwa namna yoyote ile Chadema haikuwahi kuteua Wabunge wa Viti Maalum baada ya Uchaguzi wa 2020, tulifafanua kisomi kwamba Chadema haikuwa na uwezo wa...
Baada ya wazee wenye maono kama Pinda na Mama Makinda kukataa kazi ambayo itafanya historia yao iharibike ya kuwa makamu wa CCM kwenye chama ambacho kwa sasa kinategemea Polisi na usalama...
Godbless Lema akizungumza na wanahabari leo Januari 19, 2025 amesema kuwa mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA taifa, Tundu Lissu anaungwa mkono na asilimia kubwa ya wenyeviti mkoa
"Mheshimiwa...
Aisee, nani angeweza kujua kuwa ndani ya CHADEMA kuna ujambazi wa kutisha wa fedha za wanachama na wananchi. Hiki kinyang'anyiro cha kugombea uenyekiti wa chama umeibua mambo mazito na kukianika...
Nimekusikia katika hotuba Yako unasema kuwa hautafanya maridhiano na mtu mmoja na kwamba utafanya maridhiano na jamii, asasi za kiraia, jamii za kimataifa n.k
Sasa nakuuliza tu Kuna ugomvi gani...
Tundu Lissu amewahi kusimulia mkasa ambao alinusurika kupigwa mashumbwi na Mzee Wassira.
mkasa huo haujawahi kuthibitishwa na upande ulio huru lakini uliandikwa katika gazeti la Mwananchi.
Sasa...
Katibu mkuu wa Chadema mh Mnyika amesema tarehe 21 January 2025 ni zaidi ya Uchaguzi kwani ndio Chadema Day
Mnyika amesema tarehe 21 January 1993 Chadema ilipata Usajili kamili hivyo 2025...
Hamjamboni Wandugu...
Tashtwiti Yangu Ya Leo Ni Juu Ya Chadema Imara Zaidi. Chadema Ya Kipindi Cha Dr. Slaa Na Zito.
Ndugu Wananchi Kwa Mbinu Na Maarifa Waliyotumia Chadema Mwaka Huu Katika...
“Winga ya kulia Lissu, Winga ya kushoto Heche halafu mimi(Godbless Lema) napita katikati halafu wanasema nilisema tutamleta Dkt. Slaa. Kaka tulimpa Lowassa(Hayati Edward Lowassa) Urais mtu wa...
1. Katika kuhimiza uwekezaji jiji la Dar es Salaam kutanuliwa kujumuisha wilaya za Mkuranga, Kibaha, Bagamoyo na Kisarawe.
2. Pia, uwanja wa ndege wa kimataifa na bandari kujengwa Bagamoyo...
Rais wa awamu ya 4 mzee Kikwete Leo amesafiri kwa TREN ya SGR kutoka Dar es salaam hadi Morogoro na kusema safari yao wametumia muda wa saa 1 na dakika 49 tu
Mzee Kikwete amesema mradi wa SGR...
Watu 13 wanaodaiwa kuwa wahalifu wameuawa na Askari wa Jeshi la Polisi. Watu hao wamekutwa na Bunduki nane, Pikipiki mbili pamoja na Begi moja la nguo.
Tukio hilo limetokea katika maeneo ya...
Wanabodi,
Tangu baada ya Uingereza kupiga kura kujitoa kwenye EU, wanabodi wetu humu ambao ni Wanzanzibari, wanashadadia sana uamuzi huo, na kushinikiza wananchi wa Zanzibar nao, wapewe fursa ya...
Chawa Mungu anawaona mjue
Yaani baada ya Rais wa JMT kupatikana mnamuona Mbowe hana Dili tena?
Mnataka Lisu alete amshaamsha Ili pawepo kampeni zenye Fursa kuanzia Kwa Madiwani na Wabunge...
Hayawi Hayawi sasa yamekuwa.Mkutano Mkuu wa Chadema uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu umewadia. Ni hapo kesho kutwa tarehe 21 Januari, siku ya Jumanne.
Hakika yamesemwa mengi na kampeni za kuwania...