Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo (MNEC) ambaye pia Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi tarehe 25 Februari, 2025 amekutana na viongozi wa...
0 Reactions
0 Replies
86 Views
Kunazidi kuchangamka sasa, ni kama ujumbe umetumwa kwa machalii wa Arusha, Gambo na Makonda === Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amewataka viongozi wa kisiasa na...
3 Reactions
17 Replies
669 Views
Huko Tanga ni mashindano tu yakutoa zawadi kwa Rais Samia == Mbunge wa Muheza, Hamis Mwinjuma maarufu kama Mwana FA, pamoja na wananchi wa Muheza, wamemzawadia Rais Samia Suluhu Hassan Ng’ombe...
1 Reactions
9 Replies
368 Views
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Batilda Burian amesema walianzisha kauli mbiu ya "Mtoto wa leo, Mama Samia wa Kesho" ili kuongeza ufaulu na katika Wilaya ya Handeni
0 Reactions
0 Replies
110 Views
Taarifa yake hii hapa Jambo la kufurahisha, kwenye Uchaguzi huo ni kwamba, hakuna mgombea aliyepata %99 kama inavyopata ccm ya Tanzania, wala hakukuwa na Mgombea aliyekatwa kama wanavyokatwa...
3 Reactions
10 Replies
440 Views
  • Redirect
Kunazidi kuchangamka sasa, ni kama ujumbe umetumwa kwa machalii wa Arusha, Gambo na Makonda === Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amewataka viongozi wa kisiasa na...
2 Reactions
Replies
Views
Binafsi mwaka huu 2025 nataka Kugombea moja ya Jimbo ambalo mpaka Sasa linaongozwa na Mbunge ambaye ni Waziri kwa Sasa na amedumu kwa miaka 25. Wananchi Jimboni hawamtaki lakini juu huku yeye ni...
5 Reactions
23 Replies
404 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema kwamba mwaka 2019 wagombea wao wengi walikatwa akiwemo mgombea wao mwenye degree 2 aliyeambiwa hajui kusoma na kuandika lakini mgombea wa CCM...
1 Reactions
3 Replies
188 Views
Wakuu, Baada ya umoja wa walimu wasiyo na ajira naona umoja mwingine wa vijana wasiyo na ajira umeanzishwa, umoja huu ukiwa unahusisha kada zote nchini ili kupaza sauti juu ya maslahi yao. Pia...
1 Reactions
8 Replies
266 Views
SERA ZANGU KAMA MGOMBEA BINAFSI 2025 Nipeni kura zanu, mm nitawafanyia haya yafuatayo😝🥲😛😛Nichagueni mm tuishi kama Mamtoni 1. Gharama ya ufungaji wa umeme itashuka na kuwa 10,000 kwa kila...
0 Reactions
8 Replies
148 Views
Kijana mzalendo David Nkindikwa amepinga vikali kauli ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) chini ya Mwenyekiti wake ngazi ya taifa Tundu Lissu kuhusu msimamo wa "No Reform, No Election"...
1 Reactions
23 Replies
787 Views
Wakuu Aliyewahi kupendekeza Hayati Magufuli aongoza nchi zaidi ya awamu 2 amerudi tena na mapendekezo ya Rais Samia kuongoza nchi kwa miaka 14 akidai miaka hii 4 ilikuwa ya Magufuli. == Ally...
3 Reactions
39 Replies
1K Views
Nini kimeifanya hii CHADEMA ya Lissu kuwa ya baridi hivi? Hatusikii kama Kuna Chama cha upinzani Binafsi sikutaka Mbowe awe Mwenyekiti wa Chama ila Sasa nimeanza kuamini kuwa Mbowe alikuwa...
0 Reactions
9 Replies
412 Views
Nimemsikiliza Mhe.Keissy, mbunge mstaafu, akihojiwa na kipindi cha One on One cha Wasafii Media ameleta hoja mpya kuwa Rais Samia kwa sasa kipindi cha miaka minne na nusu atakuwa anamalizia...
4 Reactions
47 Replies
1K Views
Wakuu, Huko Korogwe mkoani Tanga, Rais Samia akiwa anazungumza na wananchi amegusia na maslahi ya walimu ambapo alisema kuwa anaelewa vizuri changamoto za walimu kwa sababu pia baba yake alikuwa...
3 Reactions
51 Replies
2K Views
Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza mbele ya wananchi wa Lushoto, Tanga leo Februari 24, 2025, amesema alimpiga kofi Mbunge wa Bumbuli, Januari Makamba, lakini akamfichia chakula kama ulivyo...
11 Reactions
112 Replies
7K Views
Wakuu, Makonda asema Tangu alipopata uenezi, mshahara wote ameweka mahabahuni kwa Mungu, na hata alipoteuliwa kuwa mkuu wa mkoa Arusha hajawahi kula hata sh kumi, mshahara wote unaenda...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Rais Samia akiweka Jiwe la Msingi Upanuzi wa Msikiti Mkuu wa Ijumaa Tanga Februari 26, 2025 "Mmenipa heshima kubwa sana kuja kuweka jiwe la Msingi katika Msikiti huu wenye historia kubwa na ya...
0 Reactions
5 Replies
278 Views
October ya mwaka huu 2025, ndio mwezi wa uchaguzi wa Tanzania kwa mujibu wa katiba. Ni wasaa muhimu sana kwa vyama vya siasa kote nchini kujiandaa vizuri kisera na kwa hali na mali ili hatimae...
4 Reactions
115 Replies
1K Views
Kiukweli nilianza kuvutiwa na Paul Makonda ila hivi karibu hasa vita anavyompiga mbunge wa Arusha mjini kwa kweli naona ni ushambaa na pia hajakomaa. Makonda ajitafakari matendo yake kwani...
5 Reactions
44 Replies
1K Views
Back
Top Bottom