Wanabodi,
Ninakubali kwamba kuna mapungufu makubwa kwenye sheria ya uchaguzi, kwenye tume yetu ya uchaguzi na vilevile kwenye katiba yetu. Kurekebisha mapungufu haya kutahitaji washika dau wote...
Tanzania inatarajia kuingia kwenye historia mpya ya kisiasa ifikapo mwezi Oktoba mwaka huu baada ya Tume Huru ya Uchaguzi Tanzania (INEC) kuweka wazi utaratibu wa kuwashirikisha wafungwa kwenye...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Bara, Ndg. Stephen Wasira akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mstaafu, Mhe. Frederick Tluway Sumaye, Ofisi...
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Ally Hapi, amesema kuwa CCM ndicho chama pekee chenye uwezo wa kusikiliza na kutatua kero za wananchi, huku akidai kuwa vyama...
Baadhi ya wananchi vijana wameungana na madiwani wa Arusha Mjini kumtaka Paul Makonda ambaye kwa sasa ni mkuu wa Mkoa wa Arusha kuchukua hatua ya kugombe nafasi ya Ubunge katika jimbo la Arusha...
Heshima sana wana jamvi.
Tume inayojiita tume huru imetangaza mchakato wa kugawa majimbo ya uchaguzi.
Vigezo vikuu ni idadi ya watu na ukubwa wa eneo.
Majimbo ya mijini idadi ya watu itakuwa...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amekana kuhusika na tukio la ukamataji viongozi na wanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mwanza leo wakielekea ofisini kwake...
Bado sijajua Kwanini Wanaccm wa Arusha Mjini wamekuwa Wajinga kiasi cha kutia aibu namna hii, Yaani Diwani mzima baada ya"kununuliwa"anamwaga chozi hadharani kumlilia mtu mgeni na ambaye tayari...
Tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu wa Tanzania kwa mujibu wa katiba ya nchi,
Ni vizuri sana kuambiana ukweli kama wadau wa siasa na waTanzania kwa ujumla, kwamba eti kuna mabadiliko ya sheria za...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi Taifa Fadhili Rajabu Maganya ametahadharisha vyama pinzani kuwa chama chao hakiendi kirahisi wala kuonea huruma mpinzani aliye dhaifu katika...
Wanachama na viongozi 20 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Viktoria wamekamatwa na Polisi wakiwa njiani kwenda kuonana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda.
Makada hao...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu akizungumzia harakati za 'No Reform No Election' amedai kuwa "Ilituweze kushinda uchaguzi lazima tuwe na bunduki kama...
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama Kuu, Asina Omari, amewataka watendaji wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ngazi ya Halmashauri, katika Halmashauri ya...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso akiwasilisha zawadi mbalimbali kutoka kwa Wazee na viongozi wa Pangani walizotoa kwa Rais Samia ikiwa ni pamoja na Ng'ombe 5, Nazi na zawadi zingine tofauti.
Kupata...
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema yuko radhi kujiuzulu nafasi yake endapo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitathibitisha kuwa na wanachama milioni 12.5.
Shaibu amesema chama chake cha...
Katibu wa Chadema Kanda ya Nyasa, Grace Shiyo amesema CCM hakuna uhuru wa kutoa mawazo, bali mawazo ya Mwenyekiti ndiyo yanasikilizwa.
"Kwa ufupi CCM hakuna uhuru wa maoni, CCM siku zote...
Baada ya Kabudi kusema alitolewa JALALANI, Aweso naye amesema Wanapangani wametolewa PANGONI
"Nataka niseme Rais jambo ulilolifanya katika wilaya yetu ya pangani nataka nikuambie umetutoa pangoni...
Mkongwe Maalim Seif hadi anakwenda kwa muumba wake (Mwenyezi Mungu amrehemu na ampunguzie adhabu za kaburi) amefanya Kila jitihada za kuingia Ikulu ya Zanzibar lakini hakufanikiwa, hakuna mkakati...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika na kiukweli Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli...
Wakuu,
Yaani kwa kauli hii inaonekana hawa ACT kwanza kabisa watashiriki huu Uchaguzi na pa so far hawana hela za kuzunguka kufanya kampeni kufanya Uchaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.