Gambo amesema kuwa yeye ndiye Mbunge halali kwa muda huu na yeyote anayehitaji nafasi hiyo anapaswa kusubiri muda ufike kisha kufata taratibu zote za kuwania nafasi hiyo na sio vinginevyo.
“Kama...
Wanaosema wanataka debate waulizeni hizi hoja za Lissu. Maana naona Lissu hakuna mtu hata mmoja aweza kujibu hoja ya msingi. "Tuende kwenye uchaguzi kwa sheria hizi ili iweje"? Hata wandishi wa...
Wanabodi,
Mpaka sasa, nafikiri kwamba wengi tutakuwa tumeisha uzoea mwaka 2025. Mwaka ambao kama watanzania, tutatekeleza haki yetu ya kikatiba ya kuchagua viongozi wetu.
Wafuasi wa vyama vya...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema jamii ina Wàjibu wa Kujifunza Umuhimu wa Amani kupitia Mambo yanayojiri katika Nchi zilizokosa Amani...
Leo nimeshtushwa sana, kama vile Mheshimiwa Dk. Nchimbi hakusikika alipowaonya watu kuhusu kampeni.
Madiwani hawa wanapaswa kuonywa, na ikiwezekana, kunyimwa posho kwa muda kutokana na kwenda...
Najiuliza hili swali mara nyingi.
Angekuwepo je wananchi wangemkubalia astaafu baada ya kumaliza mihula yake miwili?
Je, yeye mwenyewe angekuwa tayari kustaafu na kurudi Chato huku akimtazama...
Mmoja ya wananchi wa Wilaya ya Korogwe, mkoani Tanga amejitokeza kwenye Mkutano wa hadhara unaofanyika katika viwanja vya Chuo cha Ualimu Korogwe, ambako Rais Samia Suluhu Hassan anatazamiwa...
Watu wengi wanaamini Wenyeji wa Mbeya Mjini ni Wanyakyusa na Wasafwa kwao ni Mbeya Vijijini
Lakini ukweli ni Kuwa Mbeya Mjini na Vijijini kote ni Kwa Wasafwa ila inasemekana Wasafwa ni Watu...
Diwani wa Kata ya Themi wilaya ya Arusha mjini Mkoani Arusha Petro Lobora wakati wa kikao cha Baraza la madiwani bajet ya halmashauri kwa mwaka 2025-2026 alisimama na kuzungumza kwa niaba ya...
Wakuu,
Wakati CHADEMA ikikoleza moto wa ajenda ya No Reforms No Elections, Serikali ya Tanzania imetoa kanuni za Uchaguzi ambazo zitatumika kwenye uchaguzi wa mwaka huu...
Wanabodi
Mimi ni story teller, from time to time, nitakuwa nafanya short sessions za News analysis ambazo zitaitwa "PPR News Analysis".
Nichukue fursa hii kuelimisha kidogo hii news analysis ni...
Wakuu,
Makamba na Ummy washamaliza kutumikia vifungo vyao, sasa hivi wapo vizuri na mama. Rais Samia kaonesha leo ni mtu wa visasi sana, ukionesha kitabia cha kumchallenge tu unafinywa fastaaa...
Kwa sasa, ni wazi kabisa kwamba Mheshimiwa Paul Makonda hana mpinzani wa kweli kwa ushawishi alionao hapa Arusha Mjini.
The undeniable truth is that the regional commissioner of Arusha possesses...
Sisi kama Watanzania na tume yetu Huru ya uchaguzi kuna jambo la kujifunza.
Ujerumani ni nchi ya watu mil 83, wamefanya uchaguzi mkuu jana uliokuwa na ushindani mkubwa sana na ukifuatiliwa...
Wale wote ambao wametosheka na maendeleo ndani ya majimbo yao ya kiuchaguzi wanaweza kuchagua wapiga porojo wenye ubishi mkali, wapenda sifa za maongezi, wasioweza kufanya lolote ndani ya majimbo...
Wanabodi,
Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa.
Naangalia mijadala mbalimbali ndani ya Bunge , naliona kama Bunge limedorora fulani hivi, limepoza...
Wakuu,
Kama hivi haya ndo maandalizi ya Uchaguzi au nini?
======================================================
Serikali imetoa Sh209 milioni kwa vikundi 18 vya vijana ili kusaidia...
Mbunge wa Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, amewahimiza wakazi wa jimbo lake kumpigia kura Rais Samia Suluhu Hassan katika...
Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) taifa Sigrada Mligo amewataka watanzania kufanya mabadiliko kwa kuchagua madiwani toka vyama vya siasa tofauti...
Serikali imezindua Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia mkoani Pwani, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuhakikisha haki inapatikana kwa wananchi wote, hususan wale wenye changamoto za kisheria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.