Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Balozi Omar Ramadhan Mapuri, tarehe 23 Februari, 2025 amefanya ziara ya kutembelea washiriki wa mafunzo ya watendaji wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la...
My Take
Nakubalina na PM 💯 💯
Kwenye suala la Maendeleo Samia hana mshindani Kila mtu anaona huko aliko 👇👇
---
RAIS DKT. SAMIA NI TIBA YA MAENDELEO – MAJALIWA
▪️ Waziri Mkuu asema Rais Dkt...
Kuna habari nimieona ambapo madiwani wa Arusha mjini walikuwa kwenye kikao rasmi cha kazi. Jambo la kusikitisha ni kwamba hicho kikao kilikuwa kama kikao cha chama huku watu wenye maslahi yao...
Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Iringa, Zainabu Mwamwindi ametoa wito kwa wanachama wa UWT Wilaya ya Iringa Vijijini kuwa makini na matukio ya utekaji kwa kupigiwa simu na kufuata maelekezo pasipo...
Akizungumza leo, Jumatatu, Februari 24, 2025, katika mkutano wa hadhara wilayani Lushoto, Makamba amesema kuwa uzinduzi wa jengo la Halmashauri la Bumbuli ni kielelezo cha shukrani na mapenzi ya...
Naibu katibu mkuu wa umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi UVCCM Taifa bara, Mussa Mwatikinya amesema ushindi wa CCM katika uchaguzi mkuu unaotegemewa kufanyika mwaka huu ni lazima na wala sio...
Sijawahi ona RC ambae muda wote anabishana na kuwa kwenye migogoro na Wawakilishi wa Wananchi badala ya kutatua Kero za watu.Pia soma Pre GE2025 - Ulega katika kikao kizito na Makonda na Mrisho...
https://www.youtube.com/watch?v=wOKzLLdnpDQ
Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA, Godbless Lema ametangaza ujio wa uzinduzi wa kampeni ya kidigitali ya Chama hicho utakaofanyika February 27,2025...
Salaam, Shalom.
Katika Unabii wa mwaka 2024, Nabii Sanga ametoa ujumbe Kwa Watanzania kuingia katika maombi kukiombea chama tawala CCM, amesema ameambiwa kuwa mwaka huu 2024 kutakuwa na...
Kimsingi hapa duniani huwezi fanya uovu halafu usilipie gharama za huo uovu wakati ukiwa hai. Moto anaopitia Gambo kwa sasa ni gharama za uovu alioufanya wakati akiwa RC. Kwa msiojua ni kuwa kuna...
Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed amesema yeyote anayekerwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kusifiwa kwa maendeleo...
Wakuu,
Hatimaye Tundu Lissu amefichua alifhoenda kuzungumza na Balozi wa Norway:
Lissu kupitia ukurasa wake wa X amesema:
"Balozi Tine Tonnes wa Norway ametukaribisha kwa mazungumzo kwenye...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu anasema kuwa uamuzi wa mtu kugombea Ubunge au nafasi nyingine ni wa Chama si wa mtu mmoja, na uamuzi wa Chama ni hakuna...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amejitosa kuzungumzia sakata la barua ya malalamiko kuhusu uteuzi alioufanya wa viongozi watendaji wa juu na wajumbe wa...
Taarifa kamili hii hapa
Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA-Bara Mhe Amani Golugwa leo amefika ofisi ya Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Mkoa wa Kipolisi Kinondoni kufuatia wito wa Polisi...
Ziara ya Kikazi ya Rais Samia Mkoani Tanga Februari 23, 2025
https://www.youtube.com/live/A5Kayo33810?si=SkcoQaTDduuUWupm
Akiwa kwenye ziara hiyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe...
Gambo acha ngonjera;
1. Kwanza hukuondoka kwenye kikao, bali ulikimbia baada ya kusikia Makonda anakuja. Na ulisahau baadhi ya vitu vyako ukumbini ikabidi mtu mmoja akukimbizie kwenye gari. Kikao...
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Ummy Mwalimu ambaye alikuwa na amehudumu katika wizara mbalimbali hapa Nchini ikiwepo Wizara ya Afya .ambayo alikuwepo kama Waziri wake mara ya mwisho kabla ya...
Mbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo amejibu kilichotokea jana February 24,2025 kwenye baraza maalumu la jiji la Arusha la kupitisha bajeti baada ya madiwani kumtaka Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.