Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Mpo salama! Kama utafuatilia mikutano na mambo ya CHADEMA utagundua kuwa Sugu ushawishi wake umeshuka Sana. Yaani akiwepo sehemu ni kama hayupo hivi. Yaani huwezi kujua yupo au hayupo. Hakuna...
13 Reactions
92 Replies
3K Views
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini na ambaye alitajwa kuratibu vuguvugu la Join the Chain, Godbless Lema akizungumza na wanahabari siku ya...
2 Reactions
12 Replies
549 Views
Mikoa mingi nchini Tanzania leo imekumbwa na tatizo la kukosekana kwa umeme kwa muda wote wa siku, jambo lililosababisha usumbufu kwa wananchi na shughuli za kimaisha. Wengi wanajiuliza ni nini...
1 Reactions
11 Replies
369 Views
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, amesema iwapo atafanikiwa kushinda uongozi wa juu wa chama hicho, atapeleka mapendekezo kwenye mkutano mkuu ili uchaguzi wa ndani uwe unafanyika kila baada ya...
0 Reactions
21 Replies
753 Views
Jana Clouds FM walifanya jambo muhimu sana kisheria, kuiepusha taasisi na kesi ya defamation, walionyesha kwamba taasisi hai-own maneno machafu yaliyokuwa yakitolewa. Vyombo vingine vya habari...
1 Reactions
16 Replies
872 Views
Chadema moja ya kiongozi waliyofanikiwa kupata ni pamoja na katibu Mkuu. Alipoondoka Dr. Slaa watu walihoji kama Mrithi wake anaweza akavaa viatu vyake. Nimeona namna alivyosimama neutral kwenye...
6 Reactions
16 Replies
530 Views
Hatimaye kijana Shadrack Yusuph Chaula (24) mkazi wa kijiji cha Ntokela kata ya Ndanto Tukuyu wilayani Rungwe, ameachiwa huru kutoka mikononi mwa jeshi la magereza baada ya kufanikiwa kulipa faini...
6 Reactions
116 Replies
9K Views
Freeman Mbowe amesema katika mahojiano yake na Azam TV kuwa anafanyiwa character assassination na wabaya wake kwenye Mitandao ili aonekane hakubaliki ila ukweli ni kwamba yeye anakubalika sana na...
7 Reactions
51 Replies
1K Views
Waandishi wa habari na wasanii wameondoa kabisa seriousness ya Mkutano mkuu wa CCM Dodoma. Ni vigumu kwa compositions hii watu wakafuatilia mkutano unavyokwenda kwa sababu waandishi wa habari wapo...
2 Reactions
3 Replies
362 Views
Wakuu, Wakiwa kwenye vikao wanatabasamu na kucheza pamoja, wakitoka hapo ni spana kwa kwenda mbele! Ni huzuni! :PepeHands: :KEKLaugh: "Taarifa kwamba sikusema nilichozungumza na Rais ni umbea...
5 Reactions
31 Replies
1K Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema wakati anajiunga na chama hicho kulikuwa na ukomo wa miaka 10 kwa kiongozi kukaa madarakani, hivyo kukawa na ukosefu wa watu wenye uzoefu wa...
0 Reactions
1 Replies
146 Views
Taarifa yake iliyonukuliwa na Vyombo vya Habari hii hapa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)-Bara, Tundu Lissu ameitaka Serikali ya Kenya kuingilia kati katika madai...
13 Reactions
92 Replies
3K Views
Weekend hii kutakuwa na mkutano mkuu wa ccm, lengo ni kumteua makamu mwenyekiti mpya atakayechukua nafasi ya Comrade Kinana. Je unahisi nani atateuliwa kwenye nafasi hiyo? Tupe utabiri wako Soma...
4 Reactions
55 Replies
2K Views
Godbless Lema, mmoja wa Wanasiasa wa chama cha upinzani CHADEMA, ameongea kwa ujasiri kuhusu Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, akimtaka akatae vikali kuitwa "Alfa na Omega". "Nilisema...
2 Reactions
5 Replies
472 Views
Tundu Lissu anaongea kama mgonjwa wa malaria iliyopanda kichwani,au kuku aliyekatwa shingo nussu na kuachiwa Mbowe anaongea kama padri kanisani au sheikh msikitini,haeleweki. Mbowe hawezi kushinda...
7 Reactions
18 Replies
577 Views
Fikiria anakuja mtu anayetaka kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA bara, Ezekia Wenje huyo maana yake ni kwamba Mwenyekiti akiwa hayupo huyo ndiye anakuwa Mwenyekiti wa chama taifa. Taswira ya mtu...
0 Reactions
13 Replies
570 Views
=== Hiki ndicho alichokiandika Godbless Lemma baada ya Press Release ya Ezekiah Wenje. Hii inaitwa Jino kwa Jino. Pia soma Ezekiel Wenje: Lema ndiye aliongoza kumshughulikia Zitto Kabwe mpaka...
14 Reactions
85 Replies
3K Views
Mimi toka nianze kumsikiliza Mbowe katika kampeni zake sijawahi kumsikia akikemea rushwa. Hii inatupa picha gani ndugu wadau?
5 Reactions
12 Replies
260 Views
Ndugu zangu Watanzania, Siweki neno lolote lile zaidi ya kuweka taarifa ya John Mnyika katibu Mkuu wa CHADEMA.👎 #JoinTheChain ilikuwa ni kampeni Maalum iliyofanywa na CHADEMA kukusanya fedha kwa...
5 Reactions
114 Replies
4K Views
Haki ya Kugombea imetolewa kwa Kila aliye na nia. Nafasi ya uenyekiti kwa mfano, Kila aliyeweka nia amepewa fomu na atagombea kutafuta kura za wanachama. Sasa hili shinikizo la Mbowe jitoe, Mbowe...
0 Reactions
2 Replies
149 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…