Utangulizi
Katika kipindi ambacho Tanzania inajiandaa kwa uchaguzi, mawazo na hisia mbalimbali zinatawala miongoni mwa wafuasi wa vyama vya siasa.
Miongoni mwa wagombea wanaotajwa kuwa na...
Serikali ya awamu ya sita imetekeleza Ilani Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi 2020-2025 katika Eneo la Umwagiliziaji kwa asilimia 82 mpaka sasa.
Lengo lilikuwa ni Kuongeza eneo lenye miundombinu...
===
Freeman Mbowe anasema baada ya Uchaguzi kumalizika watawarudia wale wote waliokuwa wanatoa upotoshaji kwenye vyombo vya habari na Mitandao ya kijamii.
Huenda mambo yakawa mabaya zaidi kwa...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa na mgombea wa nafasi hiyo kwa mara nyingine Freeman Mbowe akizungumza siku ya Ijumaa Januari 17, 2025 katika kipindi cha Morning...
Habari wakuu,
Tokea nimeanza kufuatilia Siasa nimekuwa nikimsikia Joyce Mukya. Nimemsikia kwa mengi kuanzia bungeni akitajwa na mpaka uraiani, bahati mbaya au nzuri sijawahi kumuona sehemu yoyote...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kinachoketi leo tarehe...
Wenje ametoa tuhuma nzito kuwa pesa za Join The Chain pamoja na Chadema digital zinatumika kwa ajili ya kufanya mapinduzi ndani ya CHADEMA.
Katibu Mkuu wa upande wake amemjibu Wenje kuhusu...
Katika kipindi hiki, kumekuwepo na hali ya kushangaza kuhusu sera za serikali, hasa zinazohusiana na ujenzi wa majengo ya taasisi za elimu na afya.
Serikali ya awamu ya sita imeweka marufuku juu...
Nilidhani ni lazima MTU anayepitisha Press awe na KIBALI cha katibu mkuu Kwa sababu anakwenda kuongea mambo ya Chama tena " live"
Naomba Ufafanuzi
Nimekaa pale 🐼
Ni ukweli usiopingika kuwa CHADEMA ndicho chama kinachovuta hisia za Watanzania walio wengi bila shaka kuliko CCM na chama kingine chochote cha siasa na kwamba katika mazingira huru CHADEMA...
Waziri wa Uchumi na Uwekezaji Prof Kitila Mkumbo amesema Hakunaga chama chenye akili Duniani kitaruhusu Mwenyekiti na makamu wake wakaingia Kwenye Ushindani hata kama Kuna Demokrasia
Waziri huyu...
Pafukapo moshi ujue kuna moto,
Za chini ya kapeti Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA yupo, kwenye harakati za chini kwa chini kutaka kumpindua mwenyekiti na kukiongoza chama kama mwenyekiti.
Kikao...
Wakuu
"Tunakubaliana wote kwamba rushwa ni kitu kibaya, wala asitokee mtu akijifanya yeye ni mtakatifu sana kwamba yeye katika maisha haya ni msafi kama Mtume, kwamba wengine tu ndio wa rushwa...
Nimekutana na Jina hilo kwenye taarifa za kinachoitwa Mkutano wa Katibu wa UWT, Msanii duni wa filamu Jokate.
Taarifa zaidi zinaonesha kwamba kikundi hicho kimezindua Wimbo (sijui unahusu nini)...
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Mbowe Mwamba na Jabali la Siasa za Upinzani hapa Nchini akipita na kushinda uchaguzi hiyo tarehe 21 mwezi huu .ambapo anatarajiwa kushinda na kupita kwa...
Mwenyekiti wa Bavicha Wakili Msomi Mahinyila amejikuta akipigwa Tanganyika Jeki na Kikosi cha Ulinzi wa Chadema kinachojulikana kama HAMASA
Ikumbukwe hayati Mohamed Kibao ndio alikuwa mkuu wa...
Fikiria tarehe 19 na 20, ccm itafanya mkutano mkuu kumpata makamu mwenyekiti tanganyika lakini mpaka leo hakuna majina yaliomba hiyo nafasi ili wanachama wakayapigie kura!!
Haya ni maajabu kwa...
Wapenzi wa chadema na wapenda mabadiriko ya kweli na upinzani wa kweli popote pale walipo
Wanayo machaguo mawili tu kuhakikisha CHADEMA inabaki na pengine kushika dola na ama kufa kifo cha mende...
Baada ya Jana Tundu Lissu kutoa Elimu kwa Mtangazaji Kijakazi Yunus wa CLOUDS TV kupewa Elimu na Makam Mwenyekiti wa CHADEMA, Leo Freeman Mbowe ameendelea Kutoa Elimu ya aina Hiyo na hapa ni azam...
Anaandika Moses Mwaifunga
===
MUONEKANO WA WAJUMBE ENDAPO MBOWE ATATANGAZWA MSHINDI KWA WADAU NA WAPENDA MAGEUZI,
Wakimuona tu mjumbe anacheka watamwangalia mdomoni je alilambiswa nini,wakiona...