wakuu,
kwenye post inayopatikana hapa mwenzetu zyansiku ametoa mantiki ya ujio wa bashe huko nzega akidai ametumwa na mungu pale aliposema:
...nyuma ya bashe yupo mungu maana watu wa nzega...
Nikilinganisha kwa muonekano wa picha za mikutano kati ya CCM na CHADEMA naona kuna kundi kubwa la wapiga kura nalikosa kwenye picha za CHADEMA, si waongeaji sana lakini ndio huamua nani awe...
Kila kitu Kina mwanzo na mwisho wake, kama Msosi unakula kisha unaisha, shibe huisha, watu hufa na duia huendelea mbele wala hairudi nyuma,,
nasema hivyo Kwa sababu zifuatazo...
Maendeleo yeyote...
kama inavyofahamika kwa wengi, Ndugu Hussein Bashe ni kijana wa karibu sana na Rostam Aziz yeye ndio msimamizi wa miradi mikubwa pale Caspian na kwingineko kwa niaba ya RA, izingatiwe pia RA ndiye...
Wakuu, wasambazie watangazaji wa redio zote hii taarifa ili wahudhurie na kuweza kuwa fair wakati wa uchaguzi.
Form ya Usajili
Tangazo la Workshop yenyewe
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Taifa, Rais Jakaya Kikwete amesema hana tatizo na wanachama wa chama hicho wanaohamia vyama vingine,lakini wasijaribu kukihujumu.
Kikwete amesisitiza...
Jitahidini mle hivyo hivyo, ili mkue, watapita na matarumbeta kuwaomba kura zao
Mama endelea kutuchagua, tutawajengea barabara za juu na chini.
Tuchagueni tutawajengea makazi na ofisi bora...
Government warns Mgaya for his defiant remarks
By ABDULWAKIL SAIBOKO,
13th August 2010
THE government has warned the Trade Union Congress of Tanzania (TUCTA) Acting Secretary General, Mr...
CCM wajipanga kumzuia Dr Slaa
• Waandaa mamluki kumdhamini
• Waomba msaada wa vyama vidogo
Na Saed Kubenea
Mkakati umesukwa na viongozi ndani ya CCM ili kuzima safari ya Dk Wilbrod...
Kwa waratibu wa kampeni ya Mh. Slaa katika kugombea Urais 2010,
Napenda kuwajulisha tu kuwa nina wazo lililonijia katika siku chache zilizopita ambalo nina amini linaweza kusaidia katika kampeni...
Napenda nianze kwa kuwaomba samahani wanawake kwa kauli yangu.
Nimefanya uchunguzi na kugundua kuwa umasikini wa nchi hii umetokana na kung'ng'ania CCM. CCM ni chama ambacho kimeshauzwa na...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam William Lukuvi amepita bila kupingwa kwa tiketi ya CCM na kata tisa zilizopo jimbo la isimani wagombea wa CCM wapita bila Kupingwa
Jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe...
Mojawapo ya vitu ambavyo sipendi kwenye CCM ni huu utaratibu wa kikomunisti ambapo watu fulani katika majoho yao wanatengua maamuzi ya kura kwa ajili ya maslahi ya "chama". Badala ya kuwachuja...
Wagombea ubunge kwa Majimbo ya Morogoro Mjini na Morogoro Kusini mashariki kupitia CHADEMA wamerejesha form zao leo na kuahidi kufanya makubwa endapo wakichaguliwa.
Mwanasheria Amani Mwaipaja...
Ikulu lawamani
Yafuja mamilioni kwa chakula cha jioni
na Edward Kinabo
WAKATI baadhi ya wadadisi wa mambo wakihoji faida gani taifa lilipata kwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa uchumi wa...
hii article hapa chini ni kutoka gazeti la mwanahalisi........kama ni kweli basi twazidi twafwa
serikali yafadhili kampeni za ccm
na saed kubenea - imechapwa 11 august 2010
msemaji...
Kwa Mara ya kwanza kizazi kipya cha mabadiliko kitaanza kupiga kura au kushiriki uchaguzi mkuu mwaka huu.Kizazi hiki ambacho hakijachakachuliwa ni wale vijana ambao walizaliwa kuanzia mwaka 1992...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.