Naona kama kitu hiki kinakuja na kinaniumiza sana moyo wangu maana hatuwezi kuendelea kamwe. Kuna watu wanaleta siasa hizi sa dini(mmeona na gazeti fulani lilivyosema leo),,,,,,
Kwa minajili...
Kwa jinsi mambo yalivyoenda leo mchana huu naona kigagula Yahaya si muchezo jamaa kidogo achungulie Jehanamu ameishia lango la kuzimu! Ama kweli ushirikina hauna maana kama Sheikh Yahaya...
This is the first time i feel like Tanzanians have come to their sense that we need changes and i mean right changes, it is time we make those changes and 1 day our sons will ask us what we did to...
Magazeti wiki hii yamekuwa yakiandika kuwa mabadiliko ya 10 yaliyofanyika Zanzibar ya kuonyesha kuwa hiyo ni nchi iliyo na uhuru kamili na mipaka yanataka kuanzisha mgogoro wa kikatiba nchini...
Nilifuatilia ufunguzi wa kampeni wa chama tawala jana pale jangwani na kwa kweli nilisikitika nilichokuwa nasikiliza. Wote waliozungumza hawakuongea jambo la msingi la kuwashawishi wananchi...
Ndugu wana JF nimejaribu kuuangalia mfumo tunaotumia wa kuchagua viongozi na hakika nikakataa kuukubali kwa vigezo kadhaa. Mfumo huu wa kupiga kura na anayepata kura nyingi kuwa ndiye mshindi sio...
Kikwete aikosesha CCM jeuri ya mwaka 1995
MWAKA 1995 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilikuwa na jeuri. Baada ya mkutano mkuu kumteua Benjamin Mkapa kuwa mgombea urais wake, na Mwalimu Julius...
Kwa wale wote mnaopenda kupata habari mbali mbali za Rais wetu mtarajiwa mnaweza kuzipata kupitia Facebook Page yake,Dr. Wilbrod Slaa | Facebook pia kutakuwa na hotuba zake mbali mbali na ratiba...
Ramadhani na Dk.Slaa
Habari ndugu zangu,poleni na swaumu.leo nilipokuwa masjidi nikakumbuka kwamba niko kwenye mwezi wa toba na ata siku moja sijawai kumwombea Raisi wangu Dk.Slaa,kwaiyo kuanzia...
The countdown is over and today, August 20th, 2010, Tanzanians are just one step closer as we are gearing towards the 2010 Presidential, Parliamentary and Councilors Election. But no one in...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeendelea kupata wakati mgumu baada ya mgombea ubunge wa Jimbo la Nzega mkoani Tabora, aliyedaiwa kuwa si raia wa Tanzania, Dk. Hamisi Andrea Kigwangala kuwekewa...
Inashangaza kidogo Tume ya Uchaguzi ya Taifa ya Tanzania haina hata majina ya wagombea wala habari za uchaguzi wa mwaka huu. sana sana hutuba za wakubwa wa NEC .
Ukiangalia Presential...
Leo katika kipindi cha Jahazi cha redio clouds mtangazaji Kibonde amesema CCM imepata wabunge 10 waliopopita bila kupingwa katika majimbo 10 nchini. leo ndio siku ya kwanza ya kampeni je wapinzani...
Tayari CCM imeshayakamua makampuni mbalimbali yaliyopo tanzania. Mpaka sasa imekusanya tzs bilioni 40, lengo ni bilioni 50(milioni 50,000.00). Kisa... Kampeni!
...kwangu hiki ni kielelezo cha...
It's election time again, two thousand and ten
It's treason season again, democracy bargained
Conspiracy charging, voters chagrin
Mandarins and pretenders babbling margin while margarining
The...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.