Wananchi wengi katika umati mkubwa wa watu waliohudhuria mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM kule Jangwani siku ya Jumamosi iliyopita walifika hapo baada ya kuliupwa kufanya hivyo.
Baadhi...
ni kawaida binadamu kutofurahia maanguko au mateso ya mtu mwingine waziwazi. lakini kwa nini hili la kikwete nachelea kumsikitikia?
ninazo sababu zangu nyingi lakini baadhi tu ni hizi
1...
Mojawapo ya faida alizonazo mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu ukiondoa kuwa yeye ni Rais ni ukweli kwamba yeye pia ni Mwenyekiti wa Taifa wa CCM. Hivyo, licha ya kwamba ni...
Kuna taarifa kwamba kikao kimoja kimefanyika leo na watu wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) wamepewa jukumu la kuandaa karatasi za ziada za kupigia kura na masanduku.
Kikao hicho...
SIKU tatu baada ya mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete, kuishiwa nguvu wakati akizindua kampeni za Uchaguzi Mkuu wa chama hicho akiwa jukwaani, jana...
Wakati wa kuelekea kampeni za uchaguzi mkuu wa hapa Uingereza kulijitokeza tetesi za wasiwasi kuhusu afya ya aliyekuwa Waziri Mkuu Gordon Brown.Katika kilichotafsiriwa kama kukata mzizi wa...
TUCTA lakebehi kauli ya JK
Monday, 23 August 2010 11:48
Na Job Ndomba,Jijini wa Dar Leo
SHIRIKISHO la Vyama Vya Wafanyakazi Nchini (TUCTA) limesema kwamba kauli ya Rais Jakaya Kikwete kuwa ni...
:juggle: KAMPENI KUANZA KESHO KTK VIWANJA VYA JANGWANI.....MAANDALIZI NI KABAMBE.....TUFIKE TUSIKIE SERA ZAO...KAMA NI PUMBA AMA MCHELE.....nadhani personaly ntakuwepo kusikiliza namna...
Kitendo cha yeye kusema kuwa hakuzikataa kura za wafanyakazi ni sawa na kutuona tusio na ufahamu.
Hotuba yake aliyoitoa akihutubia wazee wa CCM wa DSM tunayo.
HATUDANGANYIKI NG'O!!!!
Spin masters kama kawaida yao!
Wanasema angefika Mwanza asubuhi mpaka sasa hivi hajafika bado sijui asubuhi haijaisha? Why not take a rest mkuu??????????????????
Kitu kinachonikera kwa tv zetu zote hasa wa startv na TBC ni pale wanapoacha kazi yao na kujiingiza kupiga kampeni. Wanaeleza hisia juu ya chama fulani kuliko kufanya kazi ya kuripoti kile...
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, anayewania ubunge katika Jimbo la Hai, amewekewa pingamizi kwa madai ya kukwepa kulipa kodi ya serikali inayofikia Sh. milioni 48.
wimbo wa harambee unaotumiwa na ccm utakuwa mzuri tu pale ile sehemu ya kuwachanachana na kuwatupa wapinzani itakaporekebishwa kwani inaweza kuleta hisia za ubaguzi kwa watanzania wengine...
Wana JF, tumeona jinsi Tume ya Uchaguzi (NEC) ilivyakazania kuvisainisha vyama (kwa maana ya viongozi wao wakuu) kwenye hati kwamba watafanya kampeni za kistaarabu, bila vurugu, bila matusi etc...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.