Mimi kila nikiangalia hii thread machozi yananitoka. Kwa kweli inatia huruma sana. Rais ana huruma au nini? Mimi nadhani kwa sasa lazima Waziri wa Afya aingilie kati _ Dr Mfisi should be out kwa...
Wanachama Wote na Viongozi wa CCM,
Kutokana na hali ya mambo ilivyo na hasa kwa faida ya nchi yetu kama Watanzania, tunawaomba sana Mbadilishe mgombea wenu wa Kiti cha Urais awe Dr. Salim Ahmed...
Kwa watu ambao walimsikiliza Rais Kikwete jana huko Mwanza alianza kutoa ahadi ambazo haziko katika Ilani ya CCM bali ziko katika Ilani ya Chadema. Nimebahatika kupitia Ilani zote mbili nikiwa ni...
Wadau nalileta kwenu hili...!
Huyu mtangazaji ana matatizo gani..Maana kwenye kipindi cha magazeti anapenda sana kupotezea habari zinazoiponda Serikali..Mfano leo Hakusoma kabisa habari kubwa...
Ni ndani ya Tanzania pekee, yaweza tokea yafuatayo:
1. Kiongozi wa kisaiasa anaweza kukejeli wapiga kura na bado akashangiliwa.
2. Wanasiasa hawawajibiki kwa waliowachagua.
3. Uraia unakuwa muhimu...
Kuna vyama vya siasa mbavyo bado sijajua nia yao hasa katika Taifa hili. Nimesikitishwa sana na chama kimoja siasa (hivi ambavyo havina majina) ambacho kimemsimamisha mgombea ambaye ni Barmaid...
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Jakaya Mrisho Kikwete, amemtambulisha Mwalimu wa Kimataifa wa Ujasiriamali, Eric James Shigongo kwamba ndiye mpigadebe mkuu wa...
NIMEFANIKIWA KUWA MGOMBEA WA KITI CHA UBUNGE WA JIMBO LA KINONDONI, DAR-ES-SALAAM KUPITIA TIKETI YA CHADEMA.
NILIZALIWA WILAYANI KINONDONI, NIKASOMA CHUO KIKUU CHA DAR-ES-SALAAM, NIMEJENGA...
Limited edition jakaya kikwete tshirts for sale.
Available in green,black and yellow (small,medium,large and extra large)
tzs 15,000 only
get yours today.call 0719 37 31 31 to place orders.
Habari zilizopatikana sasa hivi zinasema kwamba Dk. Slaa ndiye mgombea urais wa Chadema mwaka 2010.
Kikao kilichomchagua Dr. Slaa kuwa mgombea urais wa CHADEMA
More to come
RAIS Jakaya Kikwete amesema ni matusi anapoambiwa kwamba hajali maslahi ya wafanyakazi nchini, wakati serikali yake imekuwa ikiboresha maslahi ya wafanyakazi mwaka hadi mwaka na kusisitiza...
RAIS Jakaya Kikwete amesema, tangu aingie madarakani Desemba 2005, hajawahi kuidhinisha kunyongwa kwa mtu yeyote.
Kikwete amesema, atatoa uamuzi wa kunyongwa au la kwa watu waliotiwa hatiani kwa...
MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dkt. Willibrod Slaa akiongea leo
Na Waandishi Wetu
MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt...
Wajibu Wa Wananchi Kwenye Uchaguzi Mkuu
ZIKIWA zimesalia miezi michache kabla ya kufanyika kwa uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Oktoba ni muhimu kwa kila mwananchi kujua jukumu lake katika...
Idadi kubwa ya wanafunzi wa vyuo vikuu, pamoja na wale wa sekondari nchini Tanzania wamenyimwa haki yao ya msingi ya kushiriki ktk kumchagua Rais wa taifa hili, atakaye waongoza kwa kipindi cha...
Mapingamizi mengi yamefunguliwa na wagombea sehemu mbali mbali.
Wagombea wa ccm walipomtuhumu mgombea wa upinzani kwa kumwekea pingamizi, yule aliyewekewa pingamizi ndie aliyetakiwa kuwakilisha...
Nilitoa changamoto kwamba nieleweshe ni namna gani tunaweza kuwa na mapato ya ziada yatakayoweza ku-accomodate mshahara wa kima cha chini wa Sh.315,000/=! Kama kawaida yao, hamna aliyejibu hoja...
Dont celebrate yet,Nec tells unopposedrunners
By Mkinga Mkinga
Its too early for unopposed parliamentary candidates to celebrate after their rivels were disqualified through...
1. Mpaka sasa kumekuwa na maswali mengi kuliko majibu kuhusu kuanguka kwa JK jukwaani, hasa nyakati za uchaguzi.
2. Kama kawaida wanasiasa Watz walishapata majibu hata kabla ya JK kuzinduka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.