Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Anaanza na mishahara haitoshi! Kazi nzuri itv!Ebo! Kaingia makala kumbe kipindi! Ila kaongoea vema naona kapiga mahesabu ya mshahara wa mfanyakazi unatosha nauli tu! Ametoa na hesabu kabisa ila...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wengi tunajua historia ya Zimbabwe kwa takriban chaguzi mbili hivi Mugabe anashindwa na mpinzani wake wa karibu Tsvangirai. Kwenye uchaguzi uliopita pamoja na chama cha MDC kuwa na wabunge wengi...
0 Reactions
65 Replies
5K Views
MKUTANO wa Kampeni wa CCM wa Jakaya Kikwete, leo majira ya saa 10 umeshindwa kufanyika wilayani Ngara mkoani Kagera kutokana na Helkopita yake kushindwa kutua kutokana na Hali ya hewa. Kutokana...
0 Reactions
81 Replies
7K Views
Je na kwa hili Wa TZ tutaambiwa Kikwete bado ni Rais kwa hiyo mali ya serikali lazima itumike na CCM kweni kampeni......Basi ni kwa namna gani chama tawala kitakatazwa kutumia resources za...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Na ashindwe na kulegea huyo zitto
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Ndugu zanguni tangu kikwete alipoanza kung'ang'ania kuingia ikulu na kuomba sana awe anaitwa JK (Jakaya Mrisho Kikwete) badala ya JM yaani alidhamilia kuwasahaulisha watu ile imani ya JK (Julius...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakazi wa Dar wametakiwa kutokuwa na hofu pale ndege za kivita zitapokuwa zikipasua anga la Dar kuanzia leo 25.08.2010 hadi 01.09.2010 kwa ajili ya mazoezi ya kujiandaa kuadhimisha siku ya JWTZ...
0 Reactions
42 Replies
7K Views
Na Kizitto Noya, Mwananchi WAANDISHI wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) wamefukuzwa kwenye kampeni za kumnadi mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Jakaya Kikwete. Ray...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Ibrahim Lipumba, jana aliuacha hoi umati wa wanachama wake waliokuwa wamefurika katika mkutano wa kampeni wa chama hicho baada ya Mgombea Udiwani wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana JF! Sorry, kuna kitu kinanisumbua kidogo. Nimejaribu kufuatilia safari za jk kwa ajili ya kampeni sijaona tofauti yeyote kimuundo na kigharama kati ya safari za kawaida anapokuwa rais...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
HAYA WALE WANAOPENDA MABADILIKO UTARATIBU WA KUCHANGIA CHADEMA NI KAMA IFUATAVYO TUMA UJUMBE "CHADEMA" KWENDA 15710 KILA UJUMBE NI SHS 350/= TU KWA WATEJA WA ZAIN NA VODACOM TU. TUMA KADRI...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Moja ya kazi za Ofisi ya Msajili wa vyama ni kusajili, kusaidia na kuvilea vyama vya siasa. Lakini kadri siku zinavyokwenda inaonekana Ofisi ya Msajili wa vyama imekuwa kama adui wa vyama vya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wale jamaa wanaowanadi wagombea uraisi kwa tkt ya ccm na cuf pale buguruni relin(nmc) wameanza kazi yao rasm.swali langu ni: nani anawaweka hapo.uchaguzi uliopita niliwaona wakiwa na marundo ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimesikitishwa sana na wimbi la ubakaji wa demokrasia linaloendelea kuelekea uchaguzi mkuu 2010..kubwa katika yote,ni hili suala la 'kupita bila kupingwa" kwa baadhi ya wagombea katika majimbo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ebu tazama picha hizi kwenye blog moja na jiulize utampigia mgombea yupi kati ya hawa tunaowana kwenye maeneo yetu gonga hapa
0 Reactions
12 Replies
2K Views
  • Closed
Uchaguzi mkuu ukiwa unakaribia na hata tarehe tayari imetangazwa, nahisi litakuwa jambo la busara kama Jamii Forums ikafikiria kuandaa mdahalo kwa wagombea uraisi. Naiona JF kuwa na nafasi nzuri...
0 Reactions
216 Replies
17K Views
Jamani mimi ni mtanzania ambaye nimeona mnisaidie kwa hili, Kwenye kampeni ya CCM mwanza JK aliahidi kulipa madeni yote ya NYANZA... ambayo ni zaidi Tsh billion tano. kati ahadi hiyo alikiri...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu, Mnaweza kuwa hamwelewi CCM ina-operate vipi au wengine mnafahamu zaidi yangu lakini sasa naona mwenzenu yamenikera mpaka nimeamua niyaseme. Ndiyo, inasikitisha kuona Usalama wa Taifa...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Tuesday, 24 August 2010 Frederick Katulanda, Sengerema MWENYEKITI wa CCM Jakaya Kikwete jana alitumia mkutano wa kampeni kwenye jimbo la Buchosa kujaribu kutuliza wimbi la wanachama...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Magari ya serikali yakampenia CCM Gazeti la Mwananchi -Thursday, 26 August 2010 LICHA ya sheria na kanuni za Uchaguzi kuzuia matumizi ya magari ya serikali, msafara wa mgombea urais wa CCM...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom