WANA KALENGA WALIKUWA NA HAKI YA KUTOMPIGIA KURA ABAS KANDORO KTK ZOEZI LA KURA ZA MAONI NDANI YA CCM,AMEONYESHA UWEZO MDOGO JUU YA SWALI LA KWANINI MAGARI TENA YENYE NEMBO ZA SERIKALI NA HATA...
vijana waliokuwa nje wanachukulia kuwa CCM kwa sasa ni chama cha wazee hasa kwa wale vijana walioko nje, tufanyeje ili tuweze kujua hali halisi ya kila mahali kwa kuweza kufanya mikakati ambayo...
Blogu hii ya KULIKONI UGHAIBUNI inafungua ukurasa mpya na kuweka historia ya kipekee katika fani ya habari nchini Tanzania kwa kutangaza hadharani kuwa inam-endorse mgombea urais wa Jamhuri ya...
Nguguni zangu kulikuwa na joto na fukuto kali kutoka kwa waislamu kuhusu mahakama ya kadhi na waliishatangaza kutokipigia kura chama cha mapinduzi ccm kwa sababu tu waliondoa mipango hiyo kwenye...
Katika kile kinachoonekana ni kujipanga dhidi ya uwezekano wowote wa kuugua ghafla au kupata ajali kwa viongozi au makada wake, msafara wa kampeni za mgombea huyo umekuwa ukiongozana na magari...
KWENYE TOLEO LA LEO LA GAZETI LA MTANZANIA LINALOMILIKIWA NA KAMPUNI ILIYO CHINI YA ROSTAM IMEJARIBU KUGUSA MAISHA BINAFSI YA NDOA YA DR SLAA, KIUJUMLA LENGO LA HABARI NI KUMDHARIRISHA DR SLAA...
Makala ya Bw Deodatus Balile katika gazeti la Mtanzania toleo no 0856-5678 lenye kichwa cha habari "Dk Slaa avunja ndoa" imenishangaza sana. Imenishangaza kwa sababu kadhaa, kwanza, mtu kama...
WAPIGA KURA ZAIDI YA MILIONI MOJA NA NUSU WAMEGUNDULIKA KUWA NA KASORO KWA HIYO HAWATAPIGA KURA,TUIULIZE HII NEC YA CCM,HAO WAPIGA KURA WENYE KASORO NI WA MAJIMBO GANI?ISIJE IKAWA JANJA YA NEC...
Dk Slaa: Ni gharama kubwa kuiacha CCM iongoze nchi Send to a friend Tuesday, 24 August 2010 22:55 0diggsdigg
Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Dk Wilbroad Slaa
Elias Msuya
MGOMBEA urais kwa...
Kuna hypothesis ambayo mwandishi Jenerali Ulimwengu ameiweka kwenye gazeti la The East African toleo la wiki hii, kuwa nchi ndio inauzwa, hela yako tu.Ukiwa na hela ya kutosha unapata udiwani...
Wapendwa wana jamii wenzangu, ktk utafiti wangu usio rasmi, nimeona kuwa kiujumla wanawake hawapendani, wanaoneana wivu usio wa lazima, wanatumia muda mwingi kudidimizana, hawatakiani yaliyo mema...
Hivi CHADEMA wamejiandaaje kuhusiana na kutengeneza matangazo mafupi mafupi ya kampeni ambayo yatarushwa na vituo vya televisheni na redio?
Ningependa kujua kama kuna wanaojua.
KWENYE GAZETI LA TZ DAIMA LA LEO UKURASA WA MBELE KUNA PICHA YA GARI LA WAGONJWA LA HOSPITALI YA BUGANDO LINALODAIWA KUSINDIKIZA MSAFARA WA KAMPENI ZA JK,JAMANI THIS IS TOO MUCH,HAWA CCM...
Hili ni swali GUMU zaidi kupata kuulizwa katika historia ya Tanzania.
SWALI: Taja mambo matatu(3) tu ya maendeleo ambayo Serikali ya JK imeweza kufanya tangu iingie madarakani miaka mitano...
Wajamane.
kundi la waandishi wapatao 9 walipo kwenye msafara wa JK katika mikoa ya Kanda ya ziwa hali zao ni mbaya kifedha
Bw Muhingo Rweyemamu aliye na fungu la kuwapatia waandishi hao...
Muda mfupi uliopita, msafara wa Rais Jakaya Kikwete ukielekea Kamachumu umeua mtoto wa shule ya msingi katika maeneo ya Muhutwe - Muleba Kaskazini.
Hii ni habari ya kusikitisha na ninawapa pole...
Aliyekuwa mgombea ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika Jimbo la Musoma Vijijini, Michael Makenji, anashikiwa na Takukuru kwa tuhuma za kupokea rushwa ya Euro...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.