Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

About 4,103 Chama Cha Mapinduzi members in Orkolili ward in Siha District, Kilimanjaro Region, have defected to the opposition Chama Cha Democrasia na Maendeleo (Chadema). Speaking to 'The...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
CCM ni vululuvululu na Waandishi wetu, Thomas Nyimbo atua CHADEMA BAADA ya kuelemewa na malalamimiko kutoka kwa wanachama wake huku wengine wakipandishwa kizimbani baada ya kuhusishwa na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tangu jimbo la Tarime kubebwa na Marehemu Chacha Wangwe(CHADEMA), na makundi mawili yaliyokila Chama cha Mapinduzi Tarime, imekua vigumu kwa CCM kurudisha jimbo hilo, hata Uchaguzi mdogo ukapita...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Nahakikisha watu wote wanaoishi kwa kutegemea hiki kijimshahara changu kutoka kwa JK na mimi mwenyewe hatumpigii Kura CCM na Kikwete. 1. Alizikataa mwenyewe, 2. Alisema atatutumia Polisi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
MWENYEKITI wa Democratic Party (DP), Mchungaji Christopher Mtikila, amekiri kuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilbrod Slaa ni mpambanaji wa siasa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Waungwana Leo nimesema hebu nitembelee hii tovuti ya hiki chama kinachoitwa majina lukuki. Orodha fupi ni kama ifuatavyo: 1. Chama Cha Majambazi - CCM 2. Chama Cha Mafisadi - CCM 3. Chukua Chako...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
JULAI 14 mwaka huu aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Kishapu na msemaji mkuu wa kilichokuwa Chama cha Jamii (CCJ), Fred Mpendazoe, alijiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Mbali na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
:crying:Ikiwa ni mwitikio wa wito wa kukataa rushwa uliorushwa na Asasi ya Agenda Participation 2000 kwenye ITV, Channel 5 na East Africa Radio, Wananchi wengi wa jimbo la Igunga wamepiga simu na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
wakuu, nimekuwa mfuatiliaji wa karibu sana wa kipindi cha vichekesho almaarufu ze komedy. huyu jamaa anayejiita bepari la kihaya,(kila sehemu yake ya kujidai inapafika), hakosi kumtaja abdul...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Chama cha Mapinduzi-CCM kimesema mwanachama yeyote wa chama hicho aliyeshindwa katika uteuzi wa wagombea ubunge na udiwani anayeona ni vizuri akahamia chama kingine cha siasa, anaruhusiwa kufanya...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Polisi Mkoani Morogoro wakionyesha vifaa vipya, katika maandalizi ya uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba. (Picha na Ida Mushi) Source: Nipashe 18.08.2010
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MGOMBEA Urais kwa tiketi ya Tanzania Labour Party (TLP), Muttamwega Mgahywa, anadaiwa kutapeli Sh 18,829,500 za watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro. Mgahywa anadaiwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
AG responds in anti-JK petition Tuesday, 17 August 2010 By Bernard James The Attorney General has asked the High Court to dismiss a petition seeking to disqualify President Jakaya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari ndiyo hiyo wanaJF, inabidi kuwa makini na hizo kura 1.5 Milioni si haba isije ikawa ndo mchezo ule wa jadi kwa upende fulani. Source: IPP Media
0 Reactions
12 Replies
2K Views
  • Closed
Hii ni tanzania ninayoitamani, nchi imara ambayo watu wake wanajali uwezo wa mtu wa kuongoza Dr. Slaa. Mashehe watamke Dr Slaa ni chaguo la Mungu wamuunge mkono.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Gonga hapa ili kusikiliza mahojiano.
0 Reactions
3 Replies
4K Views
WAGOMBEA kutoka vyama mbali mbali vya siasa nchini, wamejitokeza katika ofisi za Tume ya Uchaguzi, Manispaa ya Kinondoni kwa ajili ya kuchukua fomu za kugombea ubunge. Wagombea 31 walifika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
JUZI SERIKALI IMETANGAZA KUONGEZEKA KWA KIMA CHA CHINI NA WARAKA UANONYESHA KUWA KIMA CHINI KIMETOKA KUTOKA TSH 135,000/= ALICHOTANGAZA JK SIKU ANAVYUNJA BUNGE HADI TSH 260,000/= AMBACHO NDICHO...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani Waungwana wezangu mimi nashindwa kuelewa matamshi ya viongozi wakuu wa CCM kuelekea uchaguzi mbona hayaendani na chama kinachotegemea sanduku la kura kupata ushindi. Mwenyekiti wao alisema...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom