Ni kweli umekaa/umetutumikia muda mrefu,sasa ni wakati wako wa kupumzika,wala usijisikie vibaya kushindwa. Hata kama hakuna tafrija ya kukuaga,mimi nitakuaga kwa kukushukuru kwa machache mazuri...
East Africa's leading youth channel - East Africa Television (EATV/Radio) - yesterday launched a special campaign which aims at educating youths on the importance of participating in the...
Katika makala yake ya leo, Ansbert Ngurumo amejadili suala nyeti na ndani yake kuna tuhuma za hujuma za kimafia zikifanywa na wasaidizi wake juu ya wagombea ambao wanaonekana kuwa tishio kwake...
ninapenda sana kuona uongozi wa vijana ktk nchi hii,alipokatishwa Zitto uenyekiti ili baadae agombee urais niliona kweli wazee wa CHADEMA ni waoga kwa vijana na ndio maana kumekuwa na kambi...
Mmoja wa wagombea ubunge wa CCM aliyeshinda nafasi hiyo kwenye kura za maoni amenusurika kuuwawa na jambazi aliiyetumwa kummaliza baada ya jambazi huyo kumwambia kwamba yeye ni mtu mwema...
Neno samahani am soory kwa wanasiasa wengi na hata sisi tusiokuwa wanasiasa huwa ni gumu sana kulitanka kama kunywa sumu.
Naomba nipendekeze 1ja ya swali muhimu kuwauliza wagombea watarajiwa...
Naizungumzia NCCR ile iliyokuja kuibuka baada ya sakata la Mrema na Chavda! Naizungumzia NCCR iliyokuwa imemtunuku Mrema uenyekiti wa chama hicho mara baada ya kuihama CCM kwa mbwembwe(haijapata...
Chadema leaders in Tarime move to CUF
By DAILY NEWS Reporter,
13th August 2010
Political wind has hit hard Chadema in Tarime District, Mara Region where hundreds of its members returned their...
Tumeshuhudia vituko, vioja, mbwembwe, rafu, rushwa, kamata kamata na mengineyo katika siku za kampeni kuelekea kura za maoni ya chama twawala!
Sasa nimeamua kuanzisha thread mahususi kwa ajili...
Wakuu tarehe 14 kuna kikao muhimu cha Chama. Dalili zinaonesha kuwa kuna-fouls zinapangwa kuchezwa ili kuwanufaisha baadhi ya watu walioshindwa kwenye kura za maoni, na kuwakwamisha wale...
Wajumbe wote wa kamati kuu ya CCM wamehudhuria kikao cha CC kinachoendelea Dodoma isipokuwa mwanasiasa mkongwe, John Samuel Malecela pamoja na waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa.
Haikuweza...
UKIONA kwa mwenzio kunaungua ujue kwako kunateketea. Hiyo ni kauli iliyodhihiri jana baada ya uchaguzi wa wabunge wa viti maalumu wa Chadema, kufutwa baada ya kutokea vurugu zilizohusisha utoaji...
Napendekeza Watanzania wote wenye nia ya kuufahamisha umma wa Wa Tanzania kwa nini CCM hawastaili kupewa miaka mingine ya kuongoza nchi hii kuanda cd zikionesha picha kutoka sehemu mbalimbali za...
CHADEMAs leadership is contemplating whether or not to field a candidate to contest a Parliamentary Seat in Mlele constituency , which Prime Minister Mizengo Pinda passed unopposed on CCM ticket...
Wana JF nimehaha kutafuta Ilani za Uchaguzi za vyama vya siasa bila mafanikio nilienda CCM nikaambiwa zinauzwa lakini mara bado mara anayeuza hayupo..nikatia timu CHADEMA nikaambiwa hazijatoka mtu...
Nilishatoa kwenye jf nia yangu ya kugombea ubunge kwa tiketi ya chadema mnamo may 2010, sasa baada ya kura za maoni kupigwa pale jimbo la lushoto mjini na shekifu kuibuka kidedea sasa naona njia...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM wa Mkoa wa Iringa ambaye pia ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu John kilichoko Dodoma, Fadhili Ngajilo (32) amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.