Wana JF,
Ninapenda kusema haya machache tuu kwa wafanyakazi wa TAKUKURU, Kuwa hii kazi yao waliyoifanya kipindi cha kura za maoni naona waliishindwa 100% kwanini,
Ntaanza na maswali machache...
Naona kata za KARIAKOO watakuwa wanaongoza kwa kufanyiwa uhuni kura za maoni
na natabiri hawa watakuwa wanaongoza kwenye kuzirejesha kadi za CCM
Ya nini kwenda mbai? Tafuteni chimbuko la DR...
Chanzo cha Habari hii ni Gazeti la Tanzania Daima;13 August 2010
walidai inaonyesha wazi kuwa chama kimekuwa na tabia ya kumbeba Chiligati kwa kuwa anayo nafasi kubwa katika chama hicho jambo...
Link hii inaonyesha Shein na Bilal wakipita kwenye mitaa ya Zanzibar na Pemba
"http://www.youtube.com/v/fw3L02j_lGM"
Link hii inaonyesha Kikwete na Makamba wakimtaja kwa jina mgombea fulani...
Ingawa uchaguzi wa kura za maoni CCM umeshafanyika na mbunge anayeshikilia kiti hicho ndugu Abdulkarim Sha au BULJI alimshinda OMAR KIMBAU lakini katika kuonyesha kutoridhishwa kwa maamuzi ya...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam Juma Simba Gadafi (mwenye baraghashia kichwani) akijaribu kuwatuliza wana CCM kutoka Kata ya Mchikichini Ilala na Miburani Temeke...
From The East African
Beyond Kikwete: Will the slighted Slaa be the star of the succession script?
By Jenerali Ulimwengu
July 26 2010
When, in 1995, Dr Wilbrod Slaa, a defrocked priest, won...
Nitafurahia kusikia takukuru wanawakamata wagombea wa igunga,nzega,kahama,vunjo,kyela,urambo,monduli ambako kumeripotiwa rafu za waziwazi wakati wa uchaguzi,kamatakamta yao isiendeshwe kwa misingi...
NAIBU mkuu wa kitengo cha propaganda wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Richard Tambwe amesema Rais Jakaya Kikwete hajawahi hata mara moja kukataa kura za kundi lolote la jamii, wakiwemo wafanyakazi...
Habari kutoka Buasanda zinasema mbunge aliyemaliza mda wake LOLENSIA(CCM) tayari imedhibitika hawezi kushinda kwenye uchaguzi mkuu mwaka huu.....na badala yake wananchi wa Busanda wamejiandaa...
Mmoja ya wagombea ubunge kwenye jimbo la sikonge ni balozi David Kapya ambaye alikuwa anafanya kazi kwenye shirika la UNHCR na sasa yupo Office ya rais mstaafu Benjamin W. Mkapa.
Kesho ndio...
Mhariri wa HabariLeo amekuja na mpya baada ya kuacha kazi yake ya kuutumikia umma wa Watanzania (wanaolipa mshahara wake) na kujivika ukada wa CCM kumtetea JK. Mimi niliisikiliza kwa ufasaha...
Mtoto wa Rais Jakaya Kikwete Miraji Kikwete(kushoto) akiwa na Mdau akionyesha kwa Mbwembwe Flana Maalum za Kikwete 2010 - PHOTO: Haki Ngowi
Naona kampeni zimeanza rasmi, na familia inaonekana...
Inapokuja maswala ya kitaifa na si jimbo wala chama,baada ya kura za maoni ndani ya CCM najisikia uchungu sana nikikumbuka yale yaliyowapata SELELII,LEMBELI, KIMARO nk(wenye kupigania haki kama...
RAIA MWEMA UGHAIBUNI
Maslahi ya umma ni zaidi ya vyote
Evarist Chahali
Agosti 11, 2010
MARA ya mwisho makala zangu kuonekana katika jarida hili ilikuwa katikati ya Juni mwaka 2008...
Ndugu wana JF, Jana nilipata habari kupitia TV zetu kuwa Bw. Tambo hizza akikanusha kilichochapishwa na MwanaHalisi, Lakini pia Mwanahabari Mhariri wa gazeti la MwanaHalisi Said Kubenea akisema...
Kwa ufupi:
Mzee Malecela amehakikishiwa nafasi na Lusinde katupwa nje vibaya sana na kudaiwa kuwa alidanganya suala la Elimu yake, Lusinde kakasirika sana kwa hali hii na huenda akachukua hatua...
Wadau,
Leo gazeti la Mwanahalisi limeripoti ufisadi mkubwa wa mabilioni ya mapesa unaofanyika Ikulu ukimhusisha Salva Rweyemamu. Ni kuhusu mapesa ya serikali kutumika katika kampeni za JK katika...
Kwa mujibu wa ratiba ya uchaguzi ya Chadema inaonyesha kesho trh. 12/8 kutafanyika Mkutano Mkuu wa chama hicho. Pamoja na mambo mengine tunategemea utampitisha mgombea wake wa urais Dr. Willibrod...
Sina hakika ni kwa kiasi gani zitasaidia, lakini naamini kwa wakati huu hata silaha ndogo inahitajika katika mapambano.
Siku hizi simu za mikononi zenye camera na uwezo wa kurekodi sauti na hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.