Kubadilisha Chama au Wanasiasa si tija ya kuleta mabadiliko ya kweli nchini Tanzania.
Kujipanga upya kupitia Vyama au kutafuta Wanasiasa wapya si njia bora ya kuleta mabadiliko nchini Tanzania...
Kutoka katika vyanzo vya kuaminika inasemekana matokeo ya Kura za maoni huko Monduli bado ni kitendawili kwani zimesharudiwa lakini bado hazijatangazwa na inasemekana kesho jumatano wanarudia...
Katika taarifa ya habari ya TBC1 saa mbili usiku huu, makamu mwenyekiti wa CCM bara Pius Msekwa amenukuliwa akisema kwamba Chadema wameanza kampeni kabla ya muda.
Kutokana na hilo, katibu wa CCM...
TAMKO lina gharama, tamko la Jakaya Kikwete kwa wafanyakazi limemgharimu uwezo wake kiuongozi, tamko hilo limemgharimu heshima, tamko hilo sasa linamgaharimu kisiasa, pia tamko hilo linamgharimu...
Vunjo ni jimbo lililopo mkoani Kilimanjaro, wilaya ya Moshi vijijini. Jimbo la Vunjo limewahi kuwa chini ya wabunge kutoka vyama mbalimbali vya siasa kwa nyakati tofauti. Anaye maliza mda wake ni...
Dr Slaa akiwa wodini
Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Dk. Willibrod Slaa, amelazwa katika Hospitali ya Taifa, Muhimbili. Blogu hii ilizungumza na Dk Slaa hospitalini hapo, akasema alilazwa...
MAANDAMANO, urudishwaji wa kadi na vurugu zimeendelea kutawala maeneo mbalimbali nchini kutokana na wanachama kupata taarifa kutoka ndani ya vikao vya kamati za siasa za mikoa za CCM zinazoonyesha...
nimesikia habari kuwa dr slaa leo anachukua fomu za urais toka NEC!!
nimefuatilia nimeona kama ifuatavyo....
7.7.10 Kazi za Mkutano Mkuu wa Taifa ni:-
(a) .............
(b) ........
(c) Kuteua...
Slaa achukua fomu, hajathibitishwa
Imeandikwa na Theopista Nsanzugwanko; Tarehe: 10th August 2010 @ 08:35 Imesomwa na watu: 356; Jumla ya maoni: 1
MGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
I wish our words, writings would be translated into actions,
Watanzania tu wanafiki sana, including myself. Everyone seems tired with the current system, but what have we done? Talk as usual...
Someone sent me, you can read if you want
It has been long since our Humanity, Personality, Democracy & Resources being explored; the count down of almost 50 years has passed across with...
Kitendo cha Kikwete kutokabidhi chama chake fomu ya kutafuta wadhamini bado kimekuwa kikihojiwa na baadhi ya wana-CCM walioonekana kuudhiwa na hatua hiyo ya Rais Kikwete kuonesha kukosa imani na...
CHONDE CHONDE CHADEMA, msije mkasahau kutumwagia sera zenu wakati wa kampeni! Wakati nikikumbusha hilo, vilevile napenda kukumbusha kwamba kKuna mwanaharakati mmoja (katika masuala ya upigaji vita...
REDET walishazungumza mapema! Watu wakawakejeli kwamba eti wanatumiwa!! Gazeti la Tanzania Daima likadai eti REDET inatumiwa na Kikwete; kwamba REDET wanapotoa utafiti kuonesha kukubalika kwa...
Jamani nimesoma magazeti ya sikumbili tatu huyu mama ati anadai kaibiwa kura nahisi awakumchagua na ni mmoja wa waheshimiwa wa sasa wanaokimbia mashangingi ya uwaziri/unaibu
anyway mama pole sana...
Watanzania wamechoka na maisha kuwa magumu hawaoni direction ya maisha yao
mbeya walishaonesha ukomavu wao wakampiga JK mawe. Je watanzania katika kuelekea uchaguzi watamzomea na kupiga mawe baada...
Jamaa kwa Jinsi upepo unavyovuma sasa hv katika Siasa za Tanzania, kutona na Kura za Maoni ndani ya JF pamoja na Kura za Maoni zinazoendeshwa na Gazeti la Serikali ya Kikwete ni wazi kwamba Dr...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.