Kesho kwenye viwanja vya Jangwani Jijini DSM kutakuwa na mkutano mkubwa wa hadhara wa Dr.Slaa kwa ajili ya kuhitimisha zoezi la kuzunguka mikoa yote ya Tanzania kwa ajili ya kuomba kudhaminiwa na...
Kama hii ilikuwa mbinu yao, CCM kwishneiy, eti wamemchagua mtu mwenye jina kama la aliyekuwa mbunge wa Karatu ambaye sasa ni mgombea urais wa Chadema Dr. Wilbroad Slaa kugombea jimbo hilo...
Watoto wengi wa Kitanzania wanaishi maisha ya namna hii.
Kosa lao kubwa ni kuwa walizaliwa na wazazi wa kitanzania, ingawa hilo halikuwa chaguo lao. Je unataka waendelee kuishi namna hiyo...
Nimesikia katika kituo cha Channel 10 taarifa yao ya saa moja usiku huu kwamba katika mkutano wake wa hadhara katika viwanha vya Jangwani leo hii, Mwenyekiti wa Chadema amesema kwamba Chadema...
JK asipuuzie suala la siasa za Mbeya kama zilivyojionyesha katika chaguzi za kura za Chama kuteua Wabunge.
Mkoa wa Mbeya ni kati ya mikoa ambayo JK alipata kura nyingi sana hata kuzigi the...
Kwa wazalendo wote waliona uchungu na nchi hii
Ndugu zangu muda wa mananeno umeisha sasa inatakiwa vitendo
wazo langu ni kuwa Tuwaombe Chadema waanzishe ule mtindo ambao umezoeleka
siku hizi...
..huyu ni fisadi lakini wana ccm rombo "hawaoni", wala "hawasikii."
..na hili inaelekea kama vile ni tatizo la nchi nzima. hata wale mafisadi walioshindwa ktk mahimbo mengine inaelekea...
Wapendwa kwanza hongeren kwa imani na mwmako mliokuwa nao
nimeona ni vyema tusaidiane kwa hili kama tujuavyo silaa akiwa mwenyewe
atapata shida sana embu tujitahidi kama tunamipigia dk silaa rais...
Kwa wale waliofatilia kwa makini uchaguzi wa Marekani wa 2008 watakumbuka jinsi matumizi ya internet yalivyomsaidia rais wa sasa Barack Obama kushinda. kwa wale waliokuwa na access waliweza kupata...
Japo vyombo vya habari vya serikali vimejitahidi kukaa mbali au kimya kwa maswala yanayohusu mwenendo wa mgombea Uraisi kwa tiketi ya chadema na kujitahidi kufunika habari zake kwa kuweka habari...
Hii ni Thread maalum kwa ajili ya Kampeini za uchaguzi kwa njia ya simu.
1. Wadau mtakuwa mnaingiza sentensi fupi fupi za kampeini zinazofaa kutumwa kwa njia ya simu kila siku. Sentensi iwe yenye...
Wana JF,
Nilibahatika kushuhudia uchaguzi wa Kyela.
Nilichogundua
1.Hata uwe na pesa kiasi gani-huwezi kuwaridhisha wana Kyela, jamaa wanapenda pesa kuliko wachaga, wanavuta kwa kila mtaka kura...
Ndugu waTanzania napenda kuchukua fursa hii ili kila mpenda amani wa Nchi hii na walio nchi za Nje waweze kufahamu kuwa ,picha inayopatikana katika kura za maoni kupitia Chama kikuu Tanzania CCM...
WanaJF, kama tulivyozoea kuoa chama tawala kikitumia pesa nyingi kuhahakisha kinashinda chaguzi mbali mbali hapa nchini. Ninaomba sasa tukubali kabisa kuwa uchaguzi mwaka huu hautakuwa huru na...
Mimi namuaona kama mmoja wa wajenga Hoja makini sana na mtu mwenye maendeleo yake mwenyewe na Taifa kwa ujumla, koz atleast ameweza kutoa ajira kwa Watanzania Kadhaa katika Kampuni yake. Lakini...
Ningependa Dr Slaa atoe ahadi hizi:
1. Akiingia madarakani fedha zote za mapato yote ya serikali zitokanazo na madini ya nchi hii zitumike katika kusomesha watoto wa nchi hii -- kuanzia primary...
Mshindi wa kura za maoni za CCM kugombea ubunge jimbo la Karagwe Nd. Gozibert Begumisa Blandes yuko mahakamani kwa rushwa.
Kesi hii ni ya mwaka 2007, ila jana mahakama imesema kulingana na...
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe jana akiwa kwenye Uwanja wa Manyema mkoani Kilimanjaro alizindua rasmi kaulimbiu ya chama hicho kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu, ambayo ni CHADEMA MWAKA 2010...
Nimesoma posts nyingi sana humu za baadhi ya watu na naona ni wale wanaompinga Dr. Slaa. wengi wao wanasema huyu ni mkatoliki mara ni padre n.k.
napenda kutoa angalizo kwa watu hawa...
January Makamba, mtoto wa katibu mkuu CCM na msaidizi wa raisi uandishi wa hotuba, ametangazwa kuwa mshindi katika kura za maoni jimbo la bumbuli baada ya kuwashinda wagombea wenzie kwa zaidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.