Zipo taarifa za kuaminika kuwa tume ya uchaguzi mwaka huu haitawatumia tena walimu katika shughuli zake wakati wa uchaguzi mwaka huu. Badala yake tume imewachukua baadhi ya wanafunzi wa vyuo...
Usipoteze muda wako umeshaumia kiasi cha kutosha, kataa kuendelea kuumia tena. Yote haya yatawezekana kwa kupiga kura yako na kuchagua CHADEMA.
Kumbuka Dr. Slaa ni silaha yako ya kupambana na...
Wanajamvi ni muhimu tukatengeneza slogan nzuri kwa ajili ya uchagu huu. Mimi napendekeza kati ya hizi moja itumike:
KATAA CCM, KATAA UFISADI
KURA KWA CCM NI KURA KWA UFISADI
SEMA HAPANA KWA...
Kweli uchaguzi wa CCM una mambo
Baada ya wana kinondoni kutema upupu wa meya wao na huku sehemu aliokimbilia
kugombea ubunge akimwagwa kama ana akili nzuri;aliekuwa meya wa jiji letu S LONDA...
Ama kweli tungepata TARIME Kama 10 kati ya 25 hakika akuna uupuuzi wa CCM wangeufanya ...kwa walioona TBC mwenyekiti wa CCM tarime amesema ameshindwa kutangaza matokeo baada ya kukaa na wagombea...
haijawahi kutokea tangu kuumbwa kwa tanganyika rushwa nje nje, ngumi mkononi, takukuru kama chui wa karatasi.
Wasimamizi wa mkutano wa wanachama wa CCM Kata ya Kigogo, Dar es Salaam wakimtoa...
Dk. Slaa abeba makombora 20
CCM nao waandaa mamluki kummaliza
na Waandishi wetu
MGOMBEA urais kupitia Chama cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA), Dk. Wilbrod Slaa, ameandaa makombora...
Imeandikwa na Tumaini Msowoya, Iringa na Brandy Nelson, Mbeya
Mwananchi
August 3, 2010
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chadema, Willibrod Slaa jana aliendelea kuvuta watu wengi kwenye mikutano yake...
Shibuda ambaye alijitoa kuwania kiti cha urais hivi karibuni kumpisha Rais Kikwete, anadaiwa kuwa katika wakati mgumu wa kuamua hatima yake kisiasa kutokana na matokeo ya kura za maoni na...
Courtesy of GLOBAL PUBLISHERS
Siandiki uchochezi huu kwa sababu mjomba wangu kashindwa kura za maoni ndani ya CCM, naamini familia yetu haitateseka kwani alichochuma akiwa mbunge aliniambia...
Ushindi mwembambaa alioupata hadi sasa aliyekuwa mbunge wa Ukonga, Makongoro Mahanga kwenye kura za maoni katika Jimbo jipya la Segerea umepingwa na wagombea wote 11 wa jimbo hilo.
Inasemekana...
this is the high season in which a massive exodus of politicians happens,
its in this reason that i am starting this special thread to enlighten the general population and discuss politicians...
Muda mfupi nimetoka kwenye mkutano wa Dr. peter W. Slaa hapa Iringa. Kaongea mengi sana. Lililonigusa ni sana ni hilo neno '' yeye kasema hataki kura zenu, mimi nazitaka'' Sijui nyinyi mnasemaje?
Wadau mimi natamani makombati ya CHADEMA hasa wakati huu wa mapambano. Je, wanaweza shona na kuniuzia? Wana-CHADEMA tafadhalini shoneni mengi watu tutinge vitani...kumbuka yanaamsha morali ya...
Kura zimejitokeza 1,000 eneo la msitu wa Mabwepande.
Wanachama wa CCM wakiwepo baadhi wa wagombea wamepanga kuandamana leo baada ys kura karivia 1,000 kujitokezaeneo la msituni wa Mabwepande...
Nilizaliwa kabla Tanganyika haijapata uhuru.
Nilikuwa na akili zangu na kutambua vizuri siku Tanzania ilipopata uhuru.
Niliouona muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Niliona kuanzishwa kwa...
Si wabunge wote nawaongelea hapa, Mbunge kama Sleeliii, Kimaro na wengine, natamani wajiunge na kambi ya Dr.slaa. kwanini wasikaribishwe?...na, nimefurahi sana kwa malecela na bakari mwampachu...
HABARI TOKA JIMBO LA MTERA LINASEMA MGOMBEA LIVINGSTONE LUSINDE AMEMSHINDA MH. JOHN SAMWEL MALECELA KATIKA KURA ZA MAONI NA ANATEGEMEA KUWA NDIYE ATAYEPITISHWA KUGOMBEA UBUNGE KWA TIKETI YA CCM...
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Capt. George Huruma Mkuchika, amepita katika kura za maoni
-------
Naibu Katibu Mkuu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.