Ndiyo, nimeshinda kwenye kura za maoni tena nimewaacha mbali sana wapinzani wangu. Sina shaka na kupitishwa na chama kwani sikupata tuhuma zozote zinazothibitika za rushwa ama nyinginezo...
Wednesday, 04 August 2010 05:20
Na Makumba Mwemezi
RAIS Jakaya Kikwete amewekewa pingamizi kortini kugombea urais mwaka huu kwa madai ya matumizi mabaya ya madaraka na ufujaji wa fedha za umma...
Tunataka Bunge lenye sura mpya.
kero za watu wa chini.
Sasa tunakupa jimbo letu, tunataka kero uzifanyie kazi.
Najua sisiemu watabana sana, lakini zimwage mjengoni.
Wishing u all the best.
Sekretarieti ya CHADEMA jimbo na Wilaya ya Kinondoni imemwomba mwanachama wake aliyehamia chama hicho hivi karibuni, Fred Mpendazoe (CHADEMA) kuwania ubunge katika Jimbo la Kinondoni. Tayari...
Aliyekuwa Mbunge wa Kishapu CCM na baadae kukihama chama hicho na kuhamia Chama mfu CCJ na kuhama tena CCJ kwenda CHADEMA, Freddy Mpendazoe leo hii amebwagwa vibaya katika kura za maoni kuomba...
kwanza kabisa nawapongeza sana wana CCM kwa ukomavu wa kisiasa kwa kuweza safari hii kuchagua mchele na pumba kuwekwa kando. Nimesikia matokeo mbalimbali yanatia moyo, nafikiri safari hii...
This is one of the report that has been circulated for sometime now by Lusinde's camp with incredible help from TISS as I have noted in my previous post. This reporting has unfortunately been...
Linganisha na hawa hapa, chini ndipo utakapojua nani walitayarishwa kwa ajili ya picha na ni nani wlihudhuria tukio kwa kuvutiwa na sera.
Nimeanza kupata matumaini.
"Dk. Slaa si tishio kwa CCM ila ni tishio kwa mtu binafsi…hawezi kuwa tishio kwa chama. Nani alikuwa maarufu kama Mrema. "Santuri mpya ikitoka itachezwa katika nyumba mbalimbali lakini baada...
Nimefuatilia thread ya matokeo ya uchaguzi wa kura za maoni ndani ya CCM, nikagundua kama alivyodokeza ndugu Kasheshe kuwa uletaji wa matokeo hauko user friendly. Hii ni kwenye uchaguzi ndani ya...
Wabongo Hawana Nyongo, CCM itashinda Tena!
WIKI chache zilizopita zilikuwa ni wiki za watu kuchukua fomu za kugombea Urais wa Tanzania. Baadhi ya watu wamejitokeza kuchukua fomu. Hiyo yote ni...
Aliwasiliana nami kwa sms alfajiri ya leo akiniambia kuwa ameshinda nafasi ya viti maalumu Singida....
Nimejaribu kumtafuta anipe details lakini simu yake unreachable. Kama tuna mdau yeyote...
Nimemsikia m/kiti wa chama chetu mafisadi akiwa usia wajumbe wa nyumba kumi kupiga kampeni kwa nguvu zote ili CHAMA kishinde uchaguzi wa 31 Oct.
Hivi dhana hii ya chagua CHAMA badala ya mgombea...
Katika stori ya "Marando ahamia Chadema" iliyoko Tanzania Daima ya 23 Jul 2010, Marando amewashambulia wabunge wa CCM wanaomuunga mkono Dr Slaa akiwaita "wadandia hoja" na kwamba lengo lao ni...
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: press@ikulu.go.tz
Fax: 255-22-2113425...
Joseph Mbilinyi, Mr. Sugu, maarufu kwa jina hilo, ukipenda Mr.II. Ameshinda katika kura za maoni yaliyofanyika Mbeya Mjini za CHADEMA za kumtafuta Mgombea wa Ubunge kwa tiketi ya CHADEMA...
Barabara mbovu, maji ya shida maisha magumu.
Foleni inaanzia Moroko hadi Mwenge, eneo ambalo kata yake ipo.
Barabara mbadala zipo, haziwekwi lami wala kukwanguliwa.
Zuzumagic huyo tumemchoka na...
Waheshimiwa wana wa nchi! nilipoandika jina langu Diwani maana yangu ilikuwa ni maandalizi ya kugombea udiwani katika kata moja iliyopo mkoani Tabora na sasa nimetoka kukagua vituo vyote naona...
Kati ya taarifa zilizonivutia ni hii hapa ya mwenyekiti wa serikali za mitaa mbagala alipokuta jina lake na watu zaidi ya 50 awapo na kusimamisha uchaguzi ,..si yeye bali niwatu waliokuwa majina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.