Alianza Shamsa ... sasa naona Shy-Rose anafuata nyayo.... Inawezekana huna chochote cha kuwaambia wapiga kura zaidi ya kupiga magoti na kuomba wakuchague?
Jimbo la Kinondoni
Mgombea ubunge...
Nimeona nyomi la watu, check hapo chini mniambie wadau.
1.Mwenyekiti wa CHADEMA akiwatambulisha wakazi mjini Mwanza.
2.Mwanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mabere...
Katika hatua nyingine, chama hicho leo kinazindua mpango wa Saidia Slaa Ashinde (SASA) katika mkutano utakaofanyika mjini Arusha.
Akitangaza mpango huo, Bw. Wilfred Lwakatare ambaye pia ni...
Habari za Jumapili wadau? Vipi,hivi kwa kuwa Pasco yupo Zenj ndo hakuna tena wa kutujuza yanayoendelea kwenye kura za maoni za CCM huku bara? Invisible vp,tunakutegemea mkuu...
Nimefuatilia kwa karibu sanani vyombo vingapi viliandika kuhusu Dr. Slaa kule Arusha na jimboni kwake juzi ilee, lakini ukweli ni kwamba ukiacha kwa upande wa TV stations; Channel Ten na ITV hawa...
Kwa walioangalia TBC1 taarifa ya habari inaonekana TAKUKURU wameamua kudili na CCM....
Huko iringa mwandishi wa TBC1 anasema Mh Mungai na Bw Frank Mwakalebela wamehojiwa baada ya kukutwa wakigawa...
Habari Ndo Hiyo Mwaya . . . . .
Habari kutoka kwa Wadau zinasema kuwa anagawa pesa si kawaida na ni kwa muda mrefu tu. Wapiga kura waliokwazwa naye wanayo matumaini bado kuwa hatimaye naye...
Samahan wapendwa kama ntawaudhi
kuna jambo linanitatiza kila nikiamka asbh ni kura za ccm
waziri wa ccm,diwan wa cc,katibukata wa ccm,mkuu wilaya wa ccm
kakamatwa na rushwa najiuliza hivi akuna...
Mambo ya CCM kutumia fedha kwa kujipatia uongozi yanaendelea kujidhihirisha. Kwa sasa PCCB ina mshikilia Mh.Mrema na mabalozi kadhaa kwa tuhuma za rushwa.....nitawaletea habari kamili baadaye...
Ndugu wana JF wote, wanaChadema na wasio wanaChadema wapenda maendeleo na wapenda mabadiliko. Nimeanzisha thread hii makusudi kabisa kuweza kupata mawazo yenu juu ya uendeshaji wa kampeni za...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric James Shigongo amekanusha uvumi unaoendelea kwenye Jimbo la Buchosa kuwa amekamatwa na TAKUKURU.
Shigongo, aliliambia gazeti hili juzi (Jumatano) kuwa...
Habari gani?
Mimi ni Irene, natoka Italy, Naples na nasoma kiswahili katika chuo kikuu.
Lazima nisome kwa tasnifu na ningependa kuandika kuhusu maswala ya uchaguzi ujao na kufuata kampeni zima...
siasa zilizopitwa na wakati za maji taka hata wananchi wanawashangaa
wanajiuliza iweje kila chama cha upinzani kiwe cha kidini?
wanajiuliza ule ukabila wa Chadema umeishia wapi?
CCM hawana...
Wakuu,
Nimekuwa nikisikia harakati zinazoendelea huko CCM kuhusu kuwania viti maalumu wanawake, walemavu, vijana, wafanyakazi na zingine. Inavyoonyesha karibu kila mkoa wanatoa washindi wawili...
Dont bypass election, Go and cast your vote for Slaa....
Tunguli haziwezi kushindana na nguvu za Mungu hata siku 1.
Kimsingi inabidi tumuombe Mungu ili zote zisizo kuwa halali njia ambazo CCM...
WAKUU,Kutokana na mapokezi makubwa aliyoyapata Dk W.Slaa Arusha Mjini kwenye ngome ya CCM unafikiri itawezekana kwa chama hicho kutetea jimbo lake??????????????.mpaka sasa Dr.Batilda ameanza...
DC wa Kasulu ,Betty Machangu amekamatwa kwa Rushwa,Rushwa ya uchaguzi!!!
UUUwi aibu gani hii?
Kiongozi anayetakiwa kuwa mhimili wa mamlaka ya Rais Wilayani ndiye anakamatwa kwa rushwa.
Huyu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.