GREEN DARD WA CCM IRINGA MJINI WANATUMIWA NA WAGOMBEA KUIVURUGA CCM
Katibu mtendaji wa Club ya waandishi wa habari mkoa wa Iringa Bw Frank Leonard jana amezingirwa na vijana wasiojua...
Ndugu watanzania wenzangu, tumeona vielelezo kadha wa kadha kwamba wana CCM wameoza kwa rushwa na ufisadi! Hata wale ambao hatukuwategemea kabisa tunaona wanakutikana na matukio ya ajabu!
Hebu...
Wadau, nawaletea maelezo ya Mtanzania ambaye aliniambia akipata nafasi ya kumuona rais atamueleza yaliyo moyoni mwake...haya ni baadhi ya maelezo...endeleeni
"Mimi ni Mtanzania wa kawaida sana...
Na. M. M. Mwanakijiji
Tumepiga kelele kwa miaka minne na kelele zetu zimebatizwa kuwa ni "chuki binafsi". Tumewapigia mbiu waamke lakini panda zetu zimekuwa ni "kelele za mlango" ambazo hazimzuii...
Kamanda wa TAKUKURU Mkoa wa Kilimanjaro aliemkamata DC ahamishwa, ashushwa cheo.
Taarifa za uhakika zinasema kuwa kamanda wa TAKUKURU mkoa wa Kilimanjaro ambaye maafisa wake walimkamata Mkuu wa...
Kwanza napenda kusema kuwa nimefurahishwa sana na DK Slaa kugombea Urais, yaani siwezi kuelezea furaha yangu.
Kwanza nimewaambia ndugu zangu wote kama kumi na zaidi KURA kwa Dr Slaa.
Ila...
Tunamuomba Rais wa Tanzania aliyeko madarakani ampatie Mh Dr W.Slaa ulinzi wa uhakika kutokana na nafasi anayogombea na ukizingatia yuko kwenye hali ya hatari kuliko wakati mwingine wowote.
Hili...
Hivi mwananchi anapopokea tshirt na khanga anatarajia kiongozi aje amfanyie lipi zaidi atakapochaguliwa?
Ni nini kitambana kutumikia wananchi ilhali alichaguliwa kwa bei?
Hivi mwananchi...
Hii kamata kamata inayoendeshwa na Takukuru hivi sasa za wagombea wa CCM watoa rushwa zina udhati wowote katika kukabiliana na ufisadi uliokithiri ndani ya chama hicho au ni changa tu la macho...
Wachache wetu tuliokuwapo wakati wa harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika, tunakumbuka jitihada za serikali ya kikoloni kujaribu bila mafanikio kuvinyamazisha vyombo vya habari visitangaze...
mpaka sasa idadi ya kadi nyekundu kwa timu mbili za ccm ni:
mafisadi 0-2 wapambanaji
waliopewa kadi nyekundu ni:
james lembeli: (aliingizwa chaka na kocha wake kwani kocha alimwita nje ya...
Ni dhahiri kwamba kila Mtanzania mzalendo na mwenye uchungu na nchi yetu anatamani kuona mambo yakibadilika huko nyumbani.Nchi yetu ina takriban miaka 50 tangu ipate uhuru mwaka 1961.Ukiondoa...
Wakuu jana na leo kunashughuli nyingi za ukarabati wa barabara zilizogeuka mahandaki hapa mjini Arusha.Maeneo ya Sanawari,barabara inayotenganisha Sheck Amri Abeid na CCM mkoa nyingine nyingi...
Gazeti la rai katika toleo lake la leo limeendelea kuandika habari zinazomhusisha mgombea wa chadema katika nafasi ya urais (dk slaa) na maaskofu.
Eti sasa wanadai wabunge waislamu wa chadema...
wakuu, gazeti hili nilipata kulijua zaidi ya miaka 10 iliyopita; likiwa na uadilifu na weledi wa hali ya juu kiasi cha kufanya mmiliki wake kutangazwa kuwa si raia wa nchi hii kisheria.
lakini...
Bado nakumbuka yaliyotokea kwa jirani zetu Kenya ambako tamko la aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, Bwana Samuel Kiviutu, lilivyoweza kuigeuza nchi jirani, Kenya, kuwa uwanja wa mapambano...
Wandugu, baada ya kumpata mgombea makini kutoka CHADEMA, nafikiri kwamba sasa ni wakati mzuri kwa CUF kuamua kumuunga mkono bwana huyu. Na katika kutekeleza hilo, napendekeza msemaji wa kambi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.