Sawa ni haki yako ya kikatiba, kila la kheri...Hivi wale wasomi wote waliokuwa NCCR miaka ile wameishia wapi? Hiki chama kinazidi kuporomoka.
Hii toka Daily news
THE opposition party...
Serikali imetoa kauli ya kusitisha kuanzishwa kwa Mahakama ya Kadhi nchini na sasa mfumo mpya wa sheria wa kukidhi haja ya jamii ya Waislamu, utaingizwa katika sheria za nchi katika mwaka huu wa...
Amkeni wanachama wa CCM- Mfumo wa Kupiga Kura umekaa kitapeli
Kwanza natoa shukrani kwa MM kwa kuleta hoja ya msingi na sasa ni Wakati wa kuwaamsha makada,wanachama wa CCM kwamba huo mfumo wa...
TUNAHITAJI VIONGOZI WALIO WATANZANIA ZAIDI.
Utaratibu wa kuwa na dola haujaanza wakati wa enzi hizi za hivi karibuni, bali ni wa muda mrefu sana. Si rai yangu kutumia kalamu hii muda huu...
Well the way CCM primaries are supposed to work toward getting candidates for different political offices in the General Elections. Watch this:
TAREHE
TUKIO...
Ama kweli watanzania sijui itakuwaje! Napiga picha wajukuu zetu watatuelewaje jinsi tulivyo changia kuharibu nchi tuliyo jaliwa yenye maziwa na asali.
Juma pili nikiwa nyumbani, baada ya kutoka...
Kutokana na matukio ya hivi karibuni ya wagombea wengi katika sisi m kukamatwa wakijihusisha na rushwa, hii inatuthibitishia kuwa ni kweli sisi m imejengwa juu ya msingi wa rushwa na ni tatizo...
Wana JF,
Asubuhi ya leo nimepata taarifa toka jimbo la Mh Sita kwamba Walinzi wake wamejeruhi watu wa PCCB na baadhi ya wajumbe wa CCM.
Jana jioni vijana wa PCCB wakiwa na mwenyekiti wa...
Hivi karibuni tumeona na kusikia kua TAKUKURU wamekamata watu wengi sehemu mbalimbali kwa kuhusishwa na Rushwa.
Sijaona au kusikia mtu wa chama pinzani katika hizo tuhuma ila kila wakikamatwa ni...
Tunawaomba Chadema watafute muda na siku muafaka ya kumtambulisha mgombea wao wa Urais Dr Wilbroad Slaa hapa Dar Es Salaam na ikiwezekana Visiwani. Tunaisubiri tarehe hiyo kwa hamu sana.
Chonde...
Ninapenda kujitolea kuifanyia CHADEMA kampeni bure mwaka huu. Ni kutokana na uhaba wa fedha CHADEMA na kwa kuzingatia kuwa mabadiliko yanahitajika Tz. Miaka zaidi 40 ya umaskini ni aibu kubwa kwa...
Kabla ya Juni 2010 ilikuwa ukipita kwenye barabara zenye bahati ya kuwa na nguzo za taa za ummeme zinazomulika barabarani ilikuwa ni kawaida kuona mabango ya kampuni mbalimbali za simu za mkononi...
kwa tathmini nyepesi ya yanayojiri kichwani mwa mh. augustine mrema ambaye ni mwenyekiti wa TLP, mnadhani ya urais wa JMT atampigia nani mwaka huu, JK (CCM), DR slaa (CHADEMA) au mutamwega...
Kikwazo kikubwa cha kuleta mabadiliko ya kweli nchi hii ni wasomi na wakaazi wa maeneo ya mjini. Nimesoma kwenye threads nyingi hapa, watu wengi wenye mashaka kuwa DR Slaa hatapita ni watu ambao...
Na Mwandishi Wetu, Mbeya
Baadhi ya waumini wa makanisa mbalimbali mkoani hapa, wako katika kilio kufuatia kitendo cha mgombea Ubunge wa CHADEMA aliyerudisha fomu, George Mtasha (50) kudakwa na...
Wakuu,
Leo nachukua fursa hii kutangaza rasmi kwamba nimechoka kuwa vuvuzela na badala yake naingia ulingoni kugombea udiwani katika kata moja ya huko Kwetu kwa tiketi ya Chadema.
Hivi...
RAIS Jakaya Kikwete ameushangaza umma wa Watanzania baada ya kuanza kukiuka misingi iliyokiunda Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya kuwaheshimu Wakulima na Wafanyakazi pale alipokutana na wazee wa MSkoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.