Katika hatua nyingine, wagombea wawili wa udiwani walizimia kwa nyakati tofauti baada ya kusomewa matokeo ya kura zilizopigwa, huku yakionyesha wao hawakupata kura hata moja licha ya kujipigia...
wadau mimi nipo kahama na ni mwanajamii sasa nataka kupata uhakika hili jimbo analogombea lembeli lipo au wamemfanyia usanii wamtosee? hebu wenye taarifa na sio tetesi watuweke wazi maana haya...
Katika hali kushangaza mtangazaji wa TBC1 Marine Hassan Marine wakati anamalizia kipindi chake cha jambo leo asubuhi ametangaza kuwa Kikwete ndio mshindi wa urais na Dr. Slaa na Prof. Lipumba...
WanaJF naomba mnijuze...
Asubuhi ya leo nilimsikia Mnyika akisema kuwa mchakato wa kumpata mgombea ubunge Rombo umekamilika na ulikuwa mkali sana. Nani kashinda?
HOTUBA YA MWENYEKITI WA KAMATI YA TAIFA YA BARAZA LA VIJANA WA CHADEMA
(BAVICHA) JOHN MNYIKA AKIFUNGUA MKUTANO WA WAWAKILISHI WA WANAVYUO VIKUU VYA
MKOA WA DAR ES SALAAM KATIKA VIWANJA VYA...
Jamani mbona sijamskia Wilfed Lwakatare kama amechukuwa fomu? na anagombea jimbo gani? kile kifaa mbona kiko kimya namna hii? Huko Kagera ina maana Chadema haina mikakati ya kuzoa majimbo?
Wana JF mimi Binafsi nimefurahishwa sana na suala la CHADEMA Kumteua Dr. wetu achuane na "mbayuwayu" katika uchaguzi mkuu mwaka huu. Nimefurahishwa kwa sababu atatoa changamoto na kama siyo...
Kuna tetesi kuwa Shigongo (wa Global Publishers) na Meya Kimbisa wamechukua form kutafuta nafasi za ubunge.
Shigongo inasemekana anakwenda jimbo la Buchosa na Meya Kimbisa anaenda Jimbo la...
kwenye uchambuzi wa magazeti wa radio mbalimbali leo tumepata kusikia ya kwamba mkurugenzi wa uchaguzi rajabu kiravu amekanusha uwepo wa jimbo jipya la ushetu.
siku za karibuni imepata kusemwa...
MKURUGENZI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Rajab Kiravu amesema hana taarifa za tume hiyo kutangaza jimbo jipya la uchaguzi la Ushetu mkoani Shinyanga.
Kiravu alisema hayo wakati...
25th July 2010
Waandishi wa habari wawili waliokuwa wakifuatilia mchakato wa kampeni za kura za maoni ili kuwapata wagombea wa udiwani na ubunge wilayani Mbinga kupitia CCM...
Kwa kweli kelele za wana CCM kufisadiwa katika kura za maoni na wana CCM wenzao kuchukuliwe kwa tahadhari kwani wengi wanaolalamika wanajua chama kimezoea kufanya nini ili kupata unaoitwa "ushindi...
Yes,
yeye Malaria Sugu, na pacha wake Tumaini, na binamu yake Kanda2.
Kwa kadri ambavyo mods wanayakubali yale wanayobandika hapa na kuacha yaendelee kukaa kwa miezi na miaka kadhaa (kitu...
WanaJF
Nina mpago wa kurudi nyumbani kabla ya Uchaguzi ili nitoe kura yangu kwa DR Weapon(Slaa) juzi ndo nimesikia kuwa anagombea Urais. Niliposikia habari hii nilishutuka kidogo nikaona Dr...
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimeipongeza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU), kwa kuonyesha utendaji na uwepo wao hasa katika kufuatilia mchakato mzima wa uchaguzi kwa kuanzia...
Na Mwandishi Wetu
Mtangazaji anayekuja kwa kasi kwenye field hiyo Zamaradi Nketema ambaye anapiga mzigo katika Kituo cha Radio Clouds Fm, naye ameamua kwa moyo mmoja kuingia kwenye siasa huku...
Ni mkakati wa CCM kuhakikisha watu hawapati elimu ya uraia hasa viijini,na wanatumia njia hiyo kushinda changuzi mbalimbali.Naomba tutumie njia mbadala kuhakikisha watu wetu walio vijijini...
22nd July 2010
Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa
Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa, amesema kitendo cha Jeshi la Polisi kukataa kutoa kibali kwa vyama vya siasa vinapoomba...
Tangu wiki iliyopita Chama cha Mapinduzi CCM kimeanza Mchakato wake wa Kuwapata wagombea wake wa viti vya Udiwani na Ubunge, katika michakato hiyo watoa nia Mbalimbali wamekuwa wakipita katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.