Inasemekana kuna mtu katoka marekani anakoishi amekuja kumpokea ubunge dr ngasongwa,
kama kuna mtu anahabari zozote kuhusu jamaa tunaomba atujuze tafadhali.
jamaa nasikia ni mtu mkali.
Wanajamvi naomba mnijuze kama Mh Basili Mramba bado amechukua fomu kutetea kiti chake cha ubunge Rombo huku kesi yake ya matumizi mabaya ya madaraka ikiwa bado yaendeleaa!!!!
Kisheria imekaaje...
Mwandishi wetu
UFISADI umeishika nchi pabaya. Tukiendelea kuwa na wabunge legelege na madiwani legelege, watendaji wetu wa halmashauri wataendelea kufanya vitendo vya ajabu hujapata kuona...
kama mtu kapoteza kitambulisho chake cha mpiga kura na tayari anayo Police Loss Report, afanye nini ku-replace kitambulisho chake? anaishi jimbo hilo hilo aliliojiandikishia.
Wadau, niliibabatiza hii kutoka stesheni flani ya redio flani asubuhi hii ktk mishe zangu za kuhemea..!
John Momose Cheyo(UDP): Ubunge ni wa wazee... nawashauri vijana wajenge maisha... waoe...
MKUTANO Mkuu wa Chama Cha Siasa, Tanzania Labour Party[ TLP] juzi kilifanikiwa kumpitisha Mutamwega Mugahywa kuwa mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho katika uchaguzi mkuu ujao.
Mkutano huo...
WanaJF nimekuwa najiuliza kwanini CHaDEMA mpaka sasa hawajatangaza Rais atakayechuana na JK au Chibuda etc. Kimya hiki kinanipa wasi wasi kinaweza kuwa kizito na cha kutingisha Medali ya siasa za...
Nape katangaza kuwania ubunge kupitia jimbo la ubungo. Kati ya wagombea watano wa ccm waliotangaza nia ni wazi kuwa nape atapenyeza na hatimaye kukutana na kijana mwenzie, mnyika kwenye mchuano wa...
Ati mgombea mmoja wa urais waganga wake wamedhibitiwa na mmoja wa watu wake wa karibu kiasi kwamba ameambiwa hawezi kumtimua huyo jamaa kwa sababu akimtimua tu mambo yake yataenda kombo. Kumbe...
Wapendwa wanaJF,
Wabunge waliomaliza ngwe ya kwanza ya awamu hii ya nne wanaranda sana majimboni kumwaga vijisenti ambavyo yumkini wamelambishwa toka Bungeni baada ya kutumikia Bunge kwa miaka...
Nimekuwa nikifuatilia sana vipindi (miaka) ya chaguzi na kugundua kuwa fedha nyingi sana hapa Tanzania zinapotea kisa tu kufanikisha demokrasia. Naomba nieleweke, tatizo hapa sio demokrasia bali...
Chama gani kitakwenda mahakamani kupinga uteuzi wa Dr Shein?
Kufuatana na story ya kuu Mwanahalisi wiki hiiuteuzi wa Dr Ali Mohamed Shein kuwania kiti cha urais wa Visiwani ni batili...
Mtikila alikomaa hadi akapata usajili wa kudumu.
Subira na uvumilivu na ari ya kupambana ndizo zilipeleke D. P kusajiliwa.
Hawa viongozi wa C . C. J waliojitoa, sidhani kama wana nia ya kudhati ya...
Kama CCM ikichukua Zanzibar, Mh. Nahodha hawezi kuwa Waziri Kiongozi. Je ni nafasi gani atapewa?
1. Naibu Waziri wa Mambo ya Nje?
2. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano?
3...
Wananchi wenzangu kipindi cha Kampeni kimefika tena - Kipindi cha ulaji , Neema ya muda inafunuliwa
Ni kipindi ambacho wananchi mtaonekana ni lulu, mtawaona hao waheshimiwa na suti zao...
Mgombea ubunge mtarajiwa kupitia chama tawala (CCM) mkoani Tabora Bwana CLEMENT NSANYAMA, ambaye in PLANNING OFFICER WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO, amembambikiziaa kesi kijana aitwaye October,Bwana...
Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM ndio wanaingia sasa katika kikao na kwa sasa upepo wa Dk. Shein unaelekea kumng'aria ila kwa CCM lolote linaweza kutokea
MATOKEO:
Shein kura 117
Bilal kura 54
Nahoda...
Wakuu
Nimesoma kwenye blog moja kuwa mmoja wa wanachama wa CCM ametanagaza kugombea jimbo la karamagi ambaye nasye alikwisha sema kutetea nafasi yake licha ya kashfa za richmond,buzwagi nk...
Jamani imenishangaza sana kuona kwamba Chama chenye nguvu, wasomi, sera nzuri leo wanaingia kwenye mtego wa CCM. Wameanza kwa kumtumia Mfadhili wa CCM kupewa fedha za msaada, Chadema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.