Nimepata taarifa hivi sasa kutoka kwa mmoja wa waandishi walioko Dodoma kuwa kuwa Dk. Shein ameondoa jina kwenye kinyanganyiro cha urais Zanzibar.
Mwenye data atupatie jamani
Na M. M. Mwanakijiji -
NAWEZA kusema kitu ambacho watu wengi tayari wanakijua au kukikubali bila haja ya kufanya jitihada kubwa ya kuwashawishi.
Kwamba, bila ya kubebwa na vyombo vya dola na...
WAKATI hatima ya kumpata mgombea urais wa Zanzibar kupitia CCM inaelekea ukingoni mwishoni mwa wiki hii, makundi ya ushabiki yanahaha kuwapigia debe wagombea watatu ambao ni Dk Ali Mohamed Shein...
Wadau kama mnavyofahamu leo hii ndio itifaki ya soko la pamoja la Afrika Mashariki inaanza kufanya kazi. Kuna maengi ambayo yamejadiliwa na kuandikwa humu humu kuhusiana na hili swala na haya yako...
they pleased us to VOTE for them, yes we did it, ..But we asked them about better life for all...then they ignored us.. now onother period comes, they get readay with khanga, tishirt an caps so as...
WAPINZANI WAKE WAMKAMIA KUMG'OA DODOMA
na Mwandishi wetu
KINYANGANYIRO cha uteuzi wa urais Zanzibar, kimeingia katika hatua mpya baada ya kuwapo mkakati wa kutaka kumwengua Dk. Ali...
Hivi what are the chances za Huyu kijana-Richard kasesela, kuweza kumshinda mheshimiwa waziri David mwakyusa kwenye primaries? It seems like ni waziri anaependwa sana jimboni kwake na sio fisadi...
Kuna kamtindo kwamba ukitaka Ubunge kwa haraka (chap chap) ni rahisi ukiwa mgombea wa CCM. Hii inaletea hata wale wenye mtizamo tofauti na CCM, huwa wananunua kadi na kutafuta ugombea Ubunge...
Wadau mimi nashindwa kupambanua baadhi yavitu kwamaana nakuwa sioni logical!Kwa mfano mbunge anapokuwa amechaguliwa na chama chake inabidi akawatumikie wananchi wake jimboni na baadhi yamambo...
Piga Kura
Ingia
Nani atakuwa Rais wa awamu ya sita Zanzibar?
Dk Ali Mohamed Shein
Mohamed Gharib Bilal
Ali Juma Shamhuna
Shamsi Vuai Nahodha
Ali Abeid Amani Karume
Mohamed...
Na Asha Bani - Tanzania Daima
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kinatarajia kutumia vikundi mbalimbali vya sanaa na bendi 30 ambavyo vimetunga nyimbo za kuhamasisha wananchi kumpigia kura Rais Jakaya...
DK. ALI MOHAMED SHEIN
KUZALIWA
Dk Ali Mohamed Shein alizaliwa tarehe 13 Machi 1948 katika kijiji cha Chokocho kilichoko Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba. Dk Shein ameoa, ana...
Printer-friendly versionSend to friend
Ni ikiwa hatamteua kugombea urais Zanzibar
Mabilioni yamwagwa kutoka Uarabuni
Mbunge Rostam Aziz ahusishwa
Dk. Mohammed Gharib Billal
RAIS Jakaya...
Kamati Maalumu ya NEC ya CCM imeanza kikao chake muda mchache uliopita hapa Zanzibar, Kisiwandui. Kikao hicho kitachagua wana CCM watano kwenda Kamati Kuu na baadaye NEC.
Majina yanayotajwa...
Kikao cha kuwajadili chaanza leo
Watawekewa alama za kukubalika
Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC
Wagombea 11 wa nafasi ya urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.