Hii ni Openda maalum ambayo ni miongoni mwa 'sample' 2,000 zilizoletwa na wana DIASPORA huku zikiwa kivutio kwa Rais Jakaya Kikwete ambapo ametoa oda ziletwe 100,000 zitakazotumika kama moja ya...
Kwa ujumla sielewi sheria gani zinachukuliwa mtu akitaka kugombea ubunge,Labda mtu yoyote yule anaweza kwenda kuchukua form na kujaza basi,Sidhani kama kuna sheria zozote zinaangaliwa kama...
Tanzania ilirejea katika mfumo wa Vyama vingi vya Siasa mnamo mwaka 1992, toka kipindi hicho tumeshuhudia Chaguzi tatu 1995, 2000, 2005 na mwezi October 2010 tunatarajia kufanya Uchaguzi wa nne...
Nilishangaa kumuona dokii kwenye mkutano wa ccm,
mara flora mbasha mara marlaw........
Sijui kama ni burudani au ni kuganga njaa....
But honestly ....nimeona kama hawa wasanii wamejidhalilisha...
Ndugu wana JF
Mimi binafsi sijafurahishwa na vile Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ulivyotumika kuwananga viongozi na wanachama wa vyama vya siasa kwa kuitwa mavuvuzela...
WAKATI vyama mbalimbali vikijitokeza kuwania nafasi ya Urais, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hakina papara ya kumtangaza mgombea wa nafasi hiyo mapema kwa kuhofia...
MENEJA Uhusiano wa Benki ya NMB, Shyrose Sadruddin Bhanji, amejitosa kuwania nafasi ya ubunge jimbo la Kinondoni jijini Dar es Salaam kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa lengo la kuwa...
Wana JF,
Nilipita mikoani katika safari yangu na kwali niliyo yaona ni mengi sana esp. ktk kinyang'anyiro cha Ubunge kweli kuna makubwa sana mfano mtu yuko mwanza anataka agombee udiwani mwanza...
Jamani inakera ndio maana naona huu upinzani wizi mtupu na thaman kwako ukiwa ndani ya hicho chama ..naona lipumba kwenye tv ya tbc anawahadaa watu kuna rais alianza kugombea toka 1975 amepata...
Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, imeishauri Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, kulifanyia kazi suala la mafuta kuwa la Muungano ama la ili kulitolea...
Wananchi wenzangu, wapiga kura, wapigiwa kura na wapigwa kura 2010. Kuna tetesi zimezagaa kwenye kitaa chetu hapa uswazi, na jamaa wananihakikishia kuwa wamepata nyeti kutoka White House zote...
Mwaka 2010 Tanzania inaingia kwenye mchakato wa kuchagua viongozi wake, kwa miaka mingine mi-5!! Wakati mwingine najiuliza sana nini umuhimu wa kujihusisha na uchaguzi wakati nchi hii haina...
Wana JF, nilimsikiliza mwenyekiti wa TLP, I was realy fed up!!! Jamaa nadhani amepukutika upstairs. Hivi anaweza kuwa ndiye Malaria sugu humu jamvini nini? Hivi akiingia bungeni kupitia (anakodai...
Baada ya Dr. Slaa kukaa kimya nimeona heri tumpe suport huyu ambaye anasema anafikiria kugombea. Haitakuwa mbaya sana tukimuonyesha moyo wa kuwa na imani na yeye baada ya kuvunjwa imani na CCM kwa...
Haya tena wanajamii CCM imetowa uamuzi utakaogusa mustakbali wa nchi kwa kumteua Dr. Shein kuwa mgombea wa urais wa sehemu moja ya Muungano (Zanzibar)
Tulisikia mengi kutoka kwa wana CCM...
Gazeti la habari leoiImeandikwa na Ikunda Erick, Dodoma; Tarehe: 9th July 2010
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Dodoma kwa kushirikiana na Polisi wanawahamisha wapangaji kwa nguvu kwenye nyumba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.