Kishatumbuiza Vick Kamata kisha wakatumbuiza wasanii wa TMK wakiongozwa na Juma Nature, wametinga mavazi ya CCM kwa raha zao.
Sasa anatumbuiza Flora Mbasha, anaimba "Kikwete Kiongozi bora...
CCM ni chama cha Dhuluma, hili lipo wazi.
Tumesikia tayari wagombea wa CCM wameshaanza kumwagiwa mchanga wa macho.
Peter Msola (waziri wa mawasiliano) amefanya ghiliba ili awanie kiti cha Ubunge...
Katibu mkuu wa ccm Yusuph Makamba
SIKU moja baada ya kuripotiwa matukio rushwa katika mchakato kupata wagombea ubunge ndani ya CCM, chama hicho kimesema mgombea yeyote atakayekamatwa na...
Mawaziri na baadhi ya watendaji wakuu wa serikali ya Rais Amani Abeid Karume wamekumbwa na hofu kufuatia upinzani mkubwa unaowakabili katika kutetea nafasi za ujumbe wa Baraza la Wawakilishi...
Viongozi wa Kiislamu Zanzibar, wamesema wanaunga mkono Serikali ya Umoja wa Kitaifa na kusisitiza kuwa watabeba jukumu la kuzunguka visiwani na kushawishi wananchi kupiga kura ya ndiyo...
Na Ally Sonda, Moshi
KATIKA hali inayoonekana kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekusudia kumng'oa Mbunge wa Moshi Mjini, Phillemon Ndesamburo (Chadema) ifikapo mwaka 2010, kimeamua kuutumia Umoja...
Mabere Marando anatarajia kujiunga rasmi CHADEMA akitokea NCCR Mageuzi
chanzo changu ni watu walioko karibu naye na kuwa atatangaza uamuzi huo muda wowote kuanzia sasa.
viongozxi wa vyama vigine...
Wadau nijuzeni... Hivi utitiri wa watu kutangaza nia za kugombea ubunge... ni hela za bwerere... Ni kuongeza wigo wa kuatamia fursa za mahela... Kujiongezea umaarufu hata kama watshindwa... Ama ni...
Wana-JF wenzangu, nisaidieni, maana nimechanganyikiwa. Hivi karibuni vyombo vya habari, hususan magazeti, vimekuwa vikiripoti vituko, vurugu, umafia na ufisadi katika kampeni za uchaguzi za CCM...
Wanajfnina kiu ya kujua nani atamrithi dk.slaa karatu.nia zaidi kuweza kufahamu jinsi chadema itakavyo weza kuweka mtu ambaye hatatuangusha,je kuna mwana jf anayefahamu? Help
Jamani kazi iliyobaki rahisi na tamu ni Ubunge tu!!
Wakati Mwenyekiti wa chama Tawala CCM alipokimbiza muswada wa sheria ya gharama za uchaguzi, leo CCM inazidi kujiingiza yenyewe kwenye tanuri...
Ndugu wana JF salaamu. Mimi si mwanasiasa, ila naomba ushauri/majibu kwenu.
Kutokana na taharifa zinazotolewa na vyombo vya habari, pomoja na baadhi ya post ambozo zimewekwa humu JF, nimekuwa...
Aliyekuwa miongoni mwa waasisi na mwanachama front liner wa Chama Cha Jamii CCJ, Mashaka Seif, asubuhi ya leo ametangaza rasmi kujitoa CCJ na kuhamia TLP, katika mkutano na waandishi wa habari...
Mbunge wa zamani wa jimbo la ukonga Mahanga ameamua kurejea jimbo jipya la Segerea baada ya kuona maji yapo shingoni..
Kwa sasa akiwa na kiasi kikubwa cha fedha za kumaliza ubunge na uwaziri...
HOPE DIES LAST
Hayawi hayawi yamekuwa. Wengine walitucheka ila ninaamini kuwa JF tumechangia Dr. Slaa kubadili mawazo na kugombea. Asanteni wote waliojiandikisha hadi namba 95. Ila sasa...
Taifa la Tanzania halitaongozwa tena na wapiga ramli na washirikina.
Kiongozi mzuri ni wewe chukua hatua sasa, fomu za uongozi kupitia chama BORA zipo hapa chini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.