Wanabodi,
Nijuavyo mimi, kampeni rasmi za Urais na Ubunge, zitaanza rasmi Tarehe 20 mwezi ujao. Katika pita pita yangu huku na kule, nimetua mjini Dodoma na kushuhudia mji mzima wa Dodoma...
Mtunzi wa kitabu hiki maridhawa si mwingine bali ni mchambuzi na mwandishi mahiri wa makala,Mwalimu Nkwazi Nkuzi Mhango,Mtanzania mwenye makazi yake nchini Kanada.Licha ya ualimu na uandishi wa...
Kama kweli Kikwete anaipenda Tanzania, anatakiwa amuunge mkono Dr. Slaa.. Hakuna ubishi, Dr. Slaa ni zaidi ukilinganisha na JK.. Sasa kwa sababu kapatikana rais makini, inabidi yeye kama mmoja ya...
Mada hii inahusu uhusiano kati ya Sataranji na Siasa. Sataranji ni mchezo ambao hutumia fikra nyingi na mipango mingi tarajali kumshinda mpinzani. Katika mchezo huu, ambao vinara wake walikuwa ni...
Mgombea Urais kipitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kesho ataunguruma Nyumbani kwake Karatu. Dr Slaa anakwenda kukutana na wanakaratu aliowatumikia kwa kipindi cha miaka kumi...
Vikao vya siri vinaonyesha ya kuwa jk amepanga kumchagua slaa kuwa waziri wa nishati na madini iwapo atashinda uchaguzi wake ujao, je na yeye dr slaa akishinda uchaguzi huu ataweza kumchagua jk...
Katika makala ya Mungu aliyemchagua Kikwete anaruhusu 'madudu' haya?, kwenye gazeti la raiamwema la hivi karibuni, deusdedit jovin anatueleza kuhusu mafundisho ya Machiavelli; kwamba, katika hali...
Jamani naombeni huyu mkubwa wa Jiji hili atuambie amefikia wapi na hawa mafisadi wa ardhi wilaya ya kinondoni? mbona kimya tena? pia ajaribu kuangalia na wilaya za TMK na Ilala nako kuna uozo pia
MGOMBEA wa Ubunge kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Bw. John Mnyika amepitishwa na na chama chake kugombea jimbo hilo kwa asilima 100.
Bw. Mnyika alipitishwa na wajumbe wa...
Sorry wanaJF, Sorry mod naomba mniruhusu nitoe ombi dogo...
Katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi, kwa kuzingatia umuhimu mkubwa wa kuwepo kwa timu imara katika kulinda kura zetu, nawaomba...
Nimeamua kutumia maneno hayo kwa sababu nina shindwa kupata neno la kutumia badala yake. Si kawaida kuona watu wa namna hii. Mtu huyu si mbinafsi na amejitoa kwa maslahi ya watu wake. Watu wa...
Tukiwa bado katika dukuduku ya kuteuliwa Dr Slaa kugombea urais kwa kupitia Chadema swali najiuliza ni yupi anafaa kuwa mgombea mwenza wake, ukitilia maanani kuwa kwa mujibu wa katiba yetu huyu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.