1. Leo (02/08/2010) umechukua fomu ya kugombea Urais mwaka huu. Ni nini hasa unataka kuifanyia nchi yetu ambacho umeshindwa kukifanya toka Mwaka 2006?
2. Katika zile fedha za EPA, je kampuni ya...
Jamani kwa wale ambao mko maofisini na barabarani maeneo ya city centre....along Ohio str...usumbufu mnaoupata sasa na kele za mafisadi wakijani ni JK anaelekea kuchukua form. Kwani si wangemtumia...
kura za maoni kupata wagombea wa viti vya udiwani na ubunge kupitia tiketi ya ccm nchi nzima limegubikwa na matukio ya kustaajabisha ya uchawi, rushwa ya waziwazi ila kilichotia fora zaidi ni hali...
Wale walio karibu na Kawe
Jamani au kama mna waandishi wa habri kuna picha ya bure hapa wanakaya wa kata ya Kawe wanachapaa makofi live karibu na shell ya KOBIL.
Ni moto, sakata halisi lilikuwa...
SIKU moja baada ya Takukuru mkoani Tabora kumnasa Waziri wa Maendeleo ya Jamiii Jinsia na Watoto Margaret Simwanza Sitta, jana aliibuka na kusema taasisi hiyo inawabambikia wananchi makosa ili...
Kwa heshima ya chama na serikali kwa ujumla
kwa heshima ya wana ccm wote wanaokitakia chama chao mapenzi mema
ninatarajia kesho kumwona mzee wetu mathread akieleza imekuwaje uhuni ama naweza ita...
Ayawi ayawi yamekuwa
kadi 400 za waanachama wa ccm feki zimekamatwa ktk kinyanganyiro cha uchaguzi ilala jangwani huku wakilalama iweje uchaguzi ukafanyike nyumbani kwa mjumbe;;matatizo haya...
Wapendwa naomba msaada wenu
leo hii nimeona sehemu nyingi za kupiga kura dar kawe wakitukana nana hasa
na wengine kulalamikia iweje londa anagombea udiwani huku kinondoni
na ubunge seehemu...
Kwa wale walioangalia TBC habari saa mbili mnaweza kuamini sasa hii biashara ya kupiga kura ilikuwa wizi mtupu ..nasema hivi kwa maana tukianza na dar wameshindwa hata kupeleka viafaa vya kupiga...
Tangu DK. Slaa apendekezwe na kamati kuu ya CHADEMA kuwa mgombea wa Chama hicho nimetembelea tovuti ya CHADEMA kuona kama habari yake imepewa nafasi ya kwanza lakini nimeambulia patupu. Tovuti...
'siamini hata kidogo kuwa watoto wanaozaliwa na mama au baba fulani ndio wana uwezo au kipaji cha kuwa viongozi '
Hayo si maneno yangu bali maneno ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu...
Kwa jinsi hali ya kisiasa na joto la uchaguzi lilivyopanda, binafsi sichelei kuyamka kuwa hakuna kizuizi kitakachomzuia Dr. Slaa kuingia Ikulu baada ya Oktoba 31. Mtu pekee ndani ya CCM ambaye...
Raia Mwema: Slaa awataka Duni, Hamad wa CUF
Baada ya mgombvea urais kupitia Chadema, Dk W. Slaa kubadili upepo wa kisiasa nchini kuelekjea uchaguzi mkuu mwaka huu, chama hicho sasa kimo katika...
Taarifa za jana usiku zinaeleza kwamba kuna watu wanaojiita maofisa wa Takukuru walikuwa wakipitia katika mabaa na kuwabughudhi wagombea wa CCM waliokua wakijipongeza kwa kunywa bia ama kula tena...
Hi dear friends,
Me and my little ones (vinzi) we have been moving around the country following CCM's election primaries. It has come to my attention that yesterday RO has confirmed what some of...
Slaa avunjika mkono
Alianguka bafuni, apanda jukwaani na POP
na Kulwa Karedia
SAFARI ya mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.