Ngome ya JK kusambaratika?
Na Waandishi Wetu, jijini - Dar Leo.
KATIKA ngome ambayo Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete, anaishi na kufanyia kazi, Kivukoni...
Nadhani wengine bado hatujasikia...mfano morogoro mjini na maeneo mengine kama Zenj kule
Orodha ya wabunge waliochemsha CCM
Tuesday, 03 August 2010 22:12
MAWAZIRI zaidi, vigogo wa CCM na...
MKE wa mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA, Dkt. Willibrod Slaa, Bi. Rose Kamili aliyekuwa akigombea ubunge Jimbo la Hanang kwa tiketi ya CCM, ametangaza kujitoa kwenye chama hicho tayari kujiunga...
Habari nilizosikia asubuhi hii toka ndani ya udondozi wa magazeti katika gazeti la Nipashe ni kuwa John Malecela-Mbunge wa Mtera ameshauriwa kutogombea Ubunge tena katika uchaguzi wa mwaka huu...
Mwita Waitara Mwikwabe ameshinda kura za maoni za CHADEMA kwa kura nyingi dhidi ya Mbunge wa Sasa Charles Mwera, ambaye ni Mwenyekiti wa Halmashauri akimfatia. Nafasi ya tatu imeenda kwa John...
Stephen Ngonyani alias Prof. Maji Marefu amemshinda dokta Edmund Mndolwa kwa kula 12,441 dhidi ya 2,289 za Dokta Mndolwa. Naona bunge la safari hii lina watu kutoka 'matabaka yote'.
Zaidi soma...
Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Dk. Wilbroad Slaa akihutubia umati wa wakazi wa Mtwara alikoenda kutafuta udhamini
sehemu ya umati mkubwa wa wakazi wa Mtwara mkutanoni hapo
Mmoja wa...
Tumeona jinsi gani taifa letu linavyoendelea kuwa la takwimu na watu kuishi kutegemea takwimu ya watawala wetu bila kuzingatia hali halisi,ni kejeli na dharau ya hali ya juu kwa wafanyakazi kuja...
Wakuu mwenye CV/ maelezo ya kina kumhusu huyu Mchungaji aiweke jamvini tumfahamu huyu Mheshimiwa. Binafsi nimeshindwa kumuelewa/kumsoma ni Mwanasiasa wa aina gani
05 August 2010
Joyce Joliga, Songea
WAFUASI wa Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema Dk Willibrod Slaa na wale wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliokuwa wakisubiri kumdhamini Rais Jakaya Kikwete...
:crying:Wapendwa,
Kwa TZS 100,000 watu 100 JF tunaweza kuandaa mdahalo wa urais.
Muda wa kupiga domo umekwisha je? Tunataka na mwaka huu kusiwe na mdahalo kama 2010? Je unadhani kuna mtu...
Slaa awaambia wafanyakazi, Nazitaka kura zenu
Thursday, 05 August 2010 06:36
Baptist Mapunda,Songea na
Charles Mwakipesile, Mbeya
MGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia...
Jully 2010
DONOR FUNDED PROJECTS
Hospital to benefit from Sh30m drug
IMA World Health has donated drugs worth Sh30 million to the Ocean Road Cancer Institute (ORCI) for treatment of burkits'...
Hivi majuzi tu huyu bwana alisema yaliyopo hapa chini, wengi sana tukaumizwa kwa ulevi huu na jeuri. Tukajiuliza anatoa wapi jeuri ya kejeli hii?
Je, watanzania, tutakumbuka ufinyu wa fikra...
Kama kuna kitu ambacho CCM watakuja kukijutia maishani ni kitendo chao cha kubadilisha mtindo wao wa zamani wa kumpata mgombea na kuanzisha mtindo huu mpya wa kura za maoni wakati uchaguzi mkuu...
Kura zachomwa moto Singida
Thursday, 05 August 2010 06:30
Na Kitiko Mpacha, Singida
JESHI la Polisi mkoani hapa linawashikilia watu wanne wakazi wa Kijiji cha Iglansoni Kata ya Muhintiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.