I am watching live as the elections returns are announced and being desplayed on The television and other journalist..its is the first time in East Africa that a country is using these degital or...
nimekuwa nikifuatilia Vyombo vya Habali,, na kusikia Mgombea Mmmoja anapiga Campaign katika mikoa mbalimbali na Juma mosi alikuwa Jangwani DSM,, na nikajaribu kuulizia nikasikia ETI ANATAFUTA...
Leo nimeona kwenye Magazeti Julius Mtatiro atagombea Ubunge katika Jimbo la Ubunge kwa tiketi ya CUF.
Huyu Jamaa nilikuwa sifahamu kwamba yuko CUF, anyway kila la kheri lakini Mnyika lazima...
Akizungumza wakati wa kutangaza majina ya wagombea wa nafasi ya ubunge na uwakilishi yaliyopitishwa na Baraza Kuu la Uongozi, Dar es Salaam jana, Profesa Lipumba alisema pamoja na umakini wa Dk...
Mmhh wapnezi wa chadema na wote wa upinzani naona neema inazidi kurtufungua kupitia uchaguzi wa ccm hivi majuzi kuna kura nyingi za kawe zimekutwa msituni za kugombea ubunge na udiwani ambapo...
Katika taarifa yao ya saa moja usiku huu, kituo cha Channel Ten kimeonekana kimewafanyia Chadema uharamia kwa kutoa footage ya mkutano wa chama hicho uliofanyika katika viwanja vya Jangwani...
WAKUU,
Naomba kwenu weledi wa politic hivi CCM itapata athari zozote kutokana na kufuata mfumo wzamani wa kura ya maoni kutoka kwa wananchi??Je kubwagwa kwa wabunge takribani 70 kunamtikisiko...
Taarifa iliyotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni kuwa Dokta Slaa ameanza kampeni kabla ya Muda.
Ni kinyume cha sheria maana kila anapopita anaeleza atakayowafanyia Watanzania pindi akichaguliwa...
CCM imezoea kumtumia Malecela unapotokea uchaguzi ambao ni uncertainty, walifanya hivyo Busanda na Biharamulo. Kuna wakati niliwahi kumsikia Malecela akilalamika eti CCM inamfanya kama tingatinga...
Wakati tukielekea kwenye Uchaguzi Mkuu, naona mchecheto unazidi kukikumba moja ya chama Kikongwe kabisa barani Afrika yaani CCM, nasikia Mkuu wa Kitengo cha Propaganda ( Hivi inakuwaje chama...
Leo katika Jimbo la Karatu mrithi wa kiti cha Ubunge katika Jimbo hilo amechukua fomu kwa maandamano makubwa na kusindikizwa na wananchi wa mji wote wa Karatu.
Huyu anaitwa Israel Yohana Natse...
Kigumu chama cha mafisadi! Kigumu!
New CCM primaries system still marred by corruption, fraud
By Rodgers Luhwago
8th August 2010
Contrary to expectations, the newly introduced system by...
Haya ni maneno ya Makamba wakati Kikwete akirudisha form ya kugombea uraisi
Kwa miaka mitano umeonesha umahiri mkubwa, na nataka kukuambia kazi ya kukurudisha Ikulu ina wenyewe. Nawaambia wenzangu...
Yule kijana mwenye mbwebwe yuko wapi? si arudi kundini jamani mbona anaharibu future yake ya siasa? Chadema inakukaribisha kwa mikono miwili mwana mpotevu!
jana nilibahatika kusikia mazungumzo ya wana ccm pale lumumba,kinahofanyika sasa kuhusiana na kura za maoni na matokeo yaliyotea ni kwamba wale watu walioshinda kura za maoni lakini hawawataki...
Habari za Uhakika zinasema kuwa, viongozi wooote waandamizi wa CCM hivi sasa wapo kwenye mkakati madhubuti kuhakikishisha kuwa Dk Slaa hafui dafu kwa JK.
CCM imeshtushwa kwa kiwango cha juu...
Wakuu, matokeo ya kura za maoni yanaonesha kuwa Mh Edward Lowassa has won big, na Mh Basil Mramba has won big. Swali linakuja, ni kwanini haa jamaa wamepata ushindi mkubwa? NI kwamba wanafaa zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.