Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Huu muungano huu kiukweli pamoja na kusoma kwangu shule zote sijawai kupata majibu kutoka kwa wanasiasa au walimu wanaofundisha ! Nina maswali wataalamu naomba mnijibu Tanganyika iko wapi...
6 Reactions
40 Replies
2K Views
Kikundi cha Wanawake SHUJAA Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya wamchangia Fedha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan zaidi ya Milioni Moja kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea Urais, ikiwa ni kumuunga mkono...
0 Reactions
2 Replies
109 Views
Salaam, shalom!! Lengo la mada hii ni kuwasaidia wote waombao Kwa Mungu ulinzi wa kimwili na kiroho. Lengo lingine pia ni kuwaondoa HOFU wale waombao Kwa mashaka, ulinzi atoao Mungu Kwa...
0 Reactions
7 Replies
446 Views
Teuzi tunazoziona kila siku watu ni wale wale mbaya zaidi viongozi wengi wanaoteuliwa ni wazee hii inamaanisha Nini wadau? Swali je vijana hawatoshi kwenye nafasi hizo wazee hawa tumekuwa nao...
1 Reactions
2 Replies
606 Views
Ni kimya kimetawala Kitongoji cha Hiti kilichojificha katikati ya mashamba ya migomba, kahawa na miti mikubwa. Ni katika miteremko ya Mlima Kilimanjaro wilayani Rombo ndiko kinakopatikana Kijiji...
5 Reactions
55 Replies
7K Views
  • Redirect
Mwanasiasa wa Chama Cha Mapinduzi, aliyekuwa mbunge wa jimbo la Iringa mjini na Mjumbe wa zamani wa Kamati kuu ya CHADEMA Mchungaji Peter Msigwa ameeleza kuwa vuguvugu la CHADEMA la No Reforms No...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumapili Machi 09, 2025 anatarajiwa kuwa Mkoani Kilimanjaro ambapo pamoja na mengine, anatarajiwa kuwa Nyumba ya Mungu...
0 Reactions
Replies
Views
Rais Samia akizindua Mradi wa Maji Same-Mwanga-Korogwe Machi 9, 2025 https://www.youtube.com/live/ZwUZMNQWlbc?si=stvFOddgPgJ_0AHW Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan...
0 Reactions
4 Replies
339 Views
Tanzania is facing the economy whose stability is yoyoing as time goes Infact the voodoo economy which was implanted by the passerby and recent present is dwindling in our homesteads with no...
0 Reactions
0 Replies
63 Views
Anaeleza ujinga wake mbele ya wazazi na watu wanaoheshimiana nao Angalia kwenye video. Kama mzazi nimeumia sana
10 Reactions
81 Replies
2K Views
Waliopelekwa Jela kujifunza wapi kuna maisha Marahisi Jela au Uraiani Tunaweza kupata sababu ya kuelendelea kupambana No election no Reforms https://youtu.be/E42aCOaTDIQ?si=r_QmNOTi6iT5Mxzr
1 Reactions
10 Replies
191 Views
Bila shaka kila mzalendo wa taifa hili, na mfuatiaji wa siasa za Tanzania mwaka huu October atakuwa anahamu sana kumwona Samia akiwaomba kura watanzania. Mm binafsi namwaonea huruma sana samia...
17 Reactions
71 Replies
2K Views
Ni muda mrefu sasa nguli Huyu wa siasa za Upinzani nchini hajaonekana Kwenye majukwaa ya Siasa za Chadema Yuko wapi Mzee Marando? cc: Mrangi Ufipa st, Kinondoni Shamba
1 Reactions
14 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Habari Wana jf Kama katiba ni Ile Ile, Msajili wa vyama vya siasa ni yule yule, Tume ya uchaguzi ni Ile Ile, matokeo ya uraisi hayahojiwi popote baada ya kutangazwa. Wasimamizi wa uchaguzi ni...
3 Reactions
12 Replies
647 Views
Minyukano ya makada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), inayoendelea kupigania Jimbo la Kigamboni imeuibua uongozi wa Chama hicho unaodai haufurahishwi na vitendo hivyo huku ukiahidi kuwashughulikia...
1 Reactions
10 Replies
650 Views
  • Redirect
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla amewakosoa baadhi ya Wanachama wa CCM wanaoonesha nia ya kuwania Jimbo la Kigamboni lililokuwa likiongozwa na marehemu...
0 Reactions
Replies
Views
Wakuu, Naona zoezi la uandikishaji linazidi kuwa la moto, naona waandikishaji sasa hivi washaanza kula viapo huko Kwenye taarifa ya tume hawa waandikishaji wameapa "kutunza" siri za Ukumbi wa...
0 Reactions
4 Replies
159 Views
Mwanasiasa Bernard Membe anasema kuna umuhimu kwa viongozi wote kufanyiwa uchunguzi wa kina ili kujua historia na taarifa zao kwa kuwa baadhi yao si Watanzania. Huu ni mfululizo wa habari...
29 Reactions
182 Replies
17K Views
Wakuu, Serikali ya mkoa wa Lindi imesema kuwa ndani ya Mkoa wa Lindi watoto kati ya miaka 10 hadi 19 wakiwa na jumla ya watoto 7,840 wamepata Mimba na kukatisha masomo jambo ambalo halikubaliki...
1 Reactions
11 Replies
251 Views
Wakuu, Naona huu msiba wa Profesa Sarungi unaendelea kukutanisha magwiji mbalimbali wa siasa hapa nchini. Soma pia: Tundu Lissu afika nyumbani kwa Sarungi kuhani Msiba, wakutana na Mzee Kikwete...
1 Reactions
10 Replies
734 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…