Hali ya rushwa ndani ya CHADEMA inatisha watu waadilifu hiki chama hakiwafai tena tafuteni chama kingine,
Hii CHADEMA sio ile mnayoijua.
Habari za rushwa CHADEMA ni za kiwango Cha Juu sana...
Akiwa Katibu mkuu wa CCM Luteni Kanali mstaafu Yusuf Makamba alisema JK anauzika kirahisi sana Kwa Wapiga Kura Kwa sababu ana mvuto wa kisiasa Kwa Vijana
Ndivyo nami nimwonavyo Tundu Lisu wa...
Kama Samia ni Mchapa Kazi: Nini Maana ya Gharama za Kumtangaza?
Rais Samia Suluhu Hassan, ambaye alichukua wadhifa huo mwaka 2021 baada ya kifo cha Rais John Magufuli, ameonekana kuwa na mtindo...
Kinachoendelea Chadema siyo tena hekaheka za Uchaguzi Bali ni kama Kuna Laana Fulani
Chadema wamfanyie Hitma Mohamed Kibao Kwa sababu Kwa ajili ya Chadema Meddy aliuawa
Nakumbuka Simba SC...
Mpo salama!
Ninachowakubali CCM wanajua kusukuma Kete zao kwa AKILI Sana na pale inapohitajika nguvu kidogo wanatumia
CCM KAMWE haitaruhusu Chama chochote cha upinzani kiwe chama cha siasa cha...
Asubuhi ya leo Januari 14, 2025 pameamka na sintofahamu baina ya Daniel Naftali ambaye ni Meneja wa Kampeni(Campaign Manager) wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe akizozana na aliyekuwa...
Hiki kituo ni kama extension ya chama cha chadema. Chadema wanapofanya ukukwaji wa haki za binadamu kwa kudharau jinsia ya kike, kudharau wazanzibari na waislamu. Hawa jamaa hawasemi neno...
Kwa sasa nchi ilipofika bila KATIBA MPYA, ni tunapoteza muda.
Huu sio wakati wa kuongoza nchi kwa busara za wazee ambao wengi wao ni marehemu.
Ni muda sahihi wa REFORM ya katiba na katika hili...
Kuna chama cha Siasa katika Nchi moja mashariki mwa Afrika kimeamua kuwa Demokrasia itaishia kwenye Viongozi wa Chama chao tu.
Wameamua kabisa kuwa sasa haitatokea Wananchi wa nchi yao inayoanzia...
Sababu zetu ni zile zile.
1. Hatujui kwanini unagombea awamu hii. Huna ilani wala vipaumbele! Tutakupima vipi?
2. Umeishiwa mbinu na hilo linaonekana waziwazi kwenye muelekeo wa wanachama.
3...
Wakuu,
Uchaguzi wa ndani ya CHADEMA umeendelea kupamba moto
========================================
Wajumbe wa mkutano mkuu wa taifa wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kutoka mkoa wa...
https://youtu.be/f1iGQkhTgC8?si=_WO3Xc6_s9UbYlff
Huu Uchaguzi tayari umekwisha, Tundu Lissu ni mshindi kwa zaidi ya 80% huu ndio Ukweli,
Kwa idadi ya wajumbe wanaomuunga Mkono Lissu ni wazi...
Ndugu Mwenyekiti, miaka 21 ya kuwa mwenyekiti ni mingi sana, isitoshe umeshafanya mengi mazuri kama Mwenyekiti na kwa sasa hatutarajia jipya lolote kutoka kwako bali tunatamani kukuona unastaafu...
Nawaonea huruma sana wanaopingana na madhalimu CCM alafu wanakimbilia nchi za Afrika Mashariki au China au Urusi.
Kwa kifupi hutakuwa salama nchi yeyote ya Afrika au kwenye hizo nchi marafiki wa...
Wa Tanzania wenzangu tunajipanga kwa uchaguzi mkuu ifikapo October 2025 wana siasa sasa wanajipanga kuchukua nafasi. Walio nje wanajitahidi kurejea ndani. Walio ndani wanajipanga kubakia kwenye...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu ameulizwa kuhusu ushiriki katika kuondoa ukomo wa muda wa uongozi katika Katiba ya chama hicho.
Pia, Soma:
- Mbowe: Lissu alikuwa Mwanasheria Mkuu...
Taarifa ya BAVICHA iliyo chapiswa kupitia mtandao wa X imeeleza kama ifuatavyo
Si kweli kuwa kuna mazingira ya rushwa (kwenye uchaguzi wa BAVICHA Taifa , Idrissa Kassim alikabidhiwa fedha za...
Wakuu,
Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo, Abdul Nondo, Nondo wakati akitoa salamu za ngome hiyo katika mkutano wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha) unaoendelea katika ukumbi wa...
Haiwezekani uchaguzi umeanza wewe unaitwa vyombo vya habari kutaka kuzua taharuki.
Nashauri chama kimzuie asilete taharuki.
Kamkimbia mh Makonda Arusha akiamini katika siasa hana tena chake
Wanajukwaa! Mmesikia huko
Naona Bungeni ni patamu sana kila mtu anataka akale utamu wa Bunge
=================
Baraza Kuu la Waislamu nchini Tanzania (BAKWATA) kupitia kwa Naibu Katibu Mkuu...