Naibu Waziri Mkuu na waziri wa Nishati Dkt Dotto Biteko ameshuhudia uwashwaji wa mtambo namba tisa katika bwawa la kuzalisha umeme la Julis Nyerere JNHPP ambao umeanza kusambaza umeme megawat 235...
Tafadhali mheshimiwa rais tunaomba sana usitumie fedha nyingi za walipa kodi maskini kwa ajili ya kushinda uchaguzi. Watanzania wanahitaji maji ya kunywa, barabara angalau za vumbi, vituo vya...
Wakuu,
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Ruvuma Ndugu Oddo Mwisho amewataka baadhi ya viongozi kutowaondoa Madarakani Mabalozi kipindi hiki Cha uchaguzi Kwa madai ya kutokuwaunga mkono...
Tuliambiwa tule manyasi ili tuchimbe bwawa kuuuubwa kumaliza haja ya umeme nchini na kuuza mwingine nje ya nchi. Mzee Magufuli alidanyanywa na wataalamu wetu?
Ni mkakati wa kuhakikisha Wananchi wanafikiwa kirahisi kuhudumiwa. Halmashauri ya Chalinze yatenga Bilioni 2.2 kwa Wanawake, Vijana na Walemavu.
Mbunge wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani na Waziri...
Kuna viongozi wengi sana ambao ni usalama wa taifa. Mmoja ambaye nina uhakika naye kwa 💯 ni Professor Mkumbo ambaye ni waziri kwa sasa. Miaka yote hata kabla ya kuingia Chadema alikuwa usalama wa...
Huu ni upigaji ndo unaoendelea yaani hamjifunzi katika
Escrow
Richmond
Na sasa mmekuja na huu mchongo Mpya na mlivyo wajanja mmeshamtia mkuu wenu ndani.
Salaam!
Je, ni sawa kupanga kujenga mnara pasipo kukaa chini na kupiga hesabu juu ya gharama zake?
Siasa ni sayansi, je ni sawa chama Cha siasa kumpitisha mgombea asiyekubalika ,asiyekidhi...
Huwa nazungumza sana akiba ya pesa za kigeni sababu ni kitu muhimu sana kwa nchi. Nchi inatakiwa kutumia kwa busara sana pesa za kigeni. Hizo ndizo tunaagizia mafuta, madawa, kulipa madeni na...
Ndugu zangu Watanzania,
Ni Neema na Baraka kubwa sana kwa Taifa Kuongozwa na Mtu kwenye kibali kutoka kwa Mungu Mwenyewe. Kwa sababu Taifa na Nchi inakuwa na baraka na kupata Neema kwa Mambo...
"Kiongozi bora ni yule anayehakikisha watu wake wanapata huduma bora" .... John C. Maxwell
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameendelea kuthibitisha kuwa...
Mnajua watanzania wengi mpaka leo kuna kitu hawajakigundua kuhusu bwana mkubwa na ndio maana anafanikiwa kuwa-manipulate kwa kiasi kikubwa tangu aingie ofisini.
Msilolijua ni kuwa bwana mkubwa...
Waziri Kombo apongeza mabaoresho Kituo cha Mikutano cha AICC
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amepongeza maboresho makubwa...
Mkulima analima mahindi. Baada ya kuvuna, anapata uvivu wa kupeleka mashineni yasagwe na kupata unga wa kula kwa kuona kwamba ni gharama kuyaosha na kuyaanika juani na baadae kuyasaga.
Anaamua...
Baadhi ya Nukuu za Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza kwenye Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika.
“Tanzania ni moja...
Leo nimemsikia msemaji wa serikali TBC akitoa taarifa kwamba mitambo minane kati tisa katika bwawa la Nyerere sasa inazalisha umeme. Akasema umeme sasa tunao wa kutosha na ziada kubwa tu. Akasema...